MAOMBI JUU YA MFUMO MZIMA WA UZAZI WA MWANAMKE-DAY 1(29.9.2021)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024
  • Shalom sweethearts
    Leo ni siku ya kwanza na ndio utakua mwanzo wa MWISHO WA UTASA KWAKO,
    Neno la Mungu linasema;
    “Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.”
    ‭‭Yn‬ ‭10:10‬ ‭SUV‬‬
    Leo Mungu atatufungua na kuondoa kila mapando ambayo yamewekwa ndani ya mfumo wetu mzima wa uzazi,tunayoyajua na tusiyoyajua,
    Unapoomba na unaona unapata shida ya nguvu za giza endelea kuomba mpk uone uko sawa kabisa
    Roho Mtakatifu yupo hapo kuhakikisha unakua sawa kabisa..
    KWA JINA LA YESU,KILA ATAKAEOMBA NATAMKA UMEFUNGULIWA NA HIYO SHIDA HAITARUDI TENA..
    Kumbuka kutuma ushuhuda wa kile ambacho Mungu amefanya, iwe kwa kuandika,kutuma picha au kwa kurekodi ili shetani aendelee kupigwa na Yesu ainuliwe zaidi na zaidi.
    Tuma kwa kila mtu clip hiyo ili Mungu aendelee kuponya watoto wake.
    Min Mocky

ความคิดเห็น •

  • @BenadethaFrancis-wv7ie
    @BenadethaFrancis-wv7ie 9 หลายเดือนก่อน +1

    Axant mng akbark pia

  • @ashakimasa5937
    @ashakimasa5937 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen nimepkea uponyaji kwa dam ya Yesu kwanzia sasa mm ni mama wa watoto wangu wazri

  • @LatifaLazaro
    @LatifaLazaro ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa kunifungua kwa kupitia mtumishi wako maombi haya yanifungue mfumo wangu wa uzazi nikapate watoto kwa damu ya yesu

  • @neemaallen1
    @neemaallen1 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Yesu kwa kuniponya mfumo wangu wa uzazi.🙇‍♀️
    period yangu ilikuwa chafu sana yaan damu inakuwa kama nyeusi na kunatoka kama vinyama laini pia nnapomalizia hua inakuwa chafu zaid na yenye harufu, naamini kupitia haya maombi ya leo nmefunguliwa kwan nilikuwa nikipiga sana miayo na kunamuda nilitaka kama kutapika so nikabeuwa hivi.🔥🔥🔥
    Nimepona ndio kitu naamini, ahsante Yesu kwa kushughurika na mfumo wangu wa uzazi ahsubuhi hii ya leo.🔥🔥👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙏🙏🙏

  • @mutakoalphonsine3240
    @mutakoalphonsine3240 6 หลายเดือนก่อน

    Asante my sister. Naamini Mungu amenifungua. Nimepima nikakuta fertility level yangu Iko chini sana. Na ukweli umri wangu ni mkubwa lakini area zote zilizobaki ziko sawa. Naamini Mungu muumba wa vitu vyote atanipa uzao wa tumbo pangu mwenyewe. Nimemtumainia Yeye Yesu peke yake. Amen

  • @TheresiaPaschal
    @TheresiaPaschal 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nikapokee ujauzito we Mungu

  • @TheresiaZimlinda-x4f
    @TheresiaZimlinda-x4f 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nimepokea naamini

  • @HadijahAnnah
    @HadijahAnnah 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nimepokea uponyaj Kwa dam ya yes kristo ❤😂😂❤

  • @happykomba2443
    @happykomba2443 3 ปีที่แล้ว

    Amen, nimepokea uzima kwa imani. Kwa jina la Yesu.

  • @eclinemaro4873
    @eclinemaro4873 3 ปีที่แล้ว

    asante Yesu ww ni mwaminifu

  • @juliethbhoke1710
    @juliethbhoke1710 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @siandowo5654
    @siandowo5654 3 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu

  • @rachelkilyenyi9314
    @rachelkilyenyi9314 8 หลายเดือนก่อน

    Amen