Byabato azuru kwa mbunifu umeme wa Sumaku/atoa maelekezo kwa TANESCO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • #NaibuWaziriNishati #UbunifuSumaku
    Tunafahamu vipo vyanzo vingi vya kuzalisha umeme Duniani nchi ya Tanzania inazalisha umeme kwa kupitia Maji,Jua,Gesi,Upepo,Mafuta mazito na mepesi,mawimbi ya Bahari,
    Wakati wataalam wanafanya utafiti wa Joto ardhi ili kuona kama je joto la ardhi litafaa kuzalisha umeme?
    Jijini Dar es salaam katika eneo la Kawe Mzimuni mzee Rojas Msuya yeye ameonesha teknolojia mpya kabisa ya kuzalisha umeme kwa kutumia Sumaku kitu kilicho lishangaza zaidi Shirika la umeme Tanzania(Tanesco) na hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Dkt. Tito Mwinuka kufunga safari ili kujionea maajabu hayo.

ความคิดเห็น • 45

  • @user-rd8cg7su6v
    @user-rd8cg7su6v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Japo kweli ndg msuya Sio msomi, lkñ alichofanya ni zaidi ya wasomi

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera waziri nishati kwa maamuzi mazuri

  • @user-rd8cg7su6v
    @user-rd8cg7su6v 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli huyo bwana ni mtaalam
    Ukimsikiliza vzr
    Utajua anaelewa anachoongea
    Anastahili kuwezeshwa kwa faida ya taifa

  • @simonayo362
    @simonayo362 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Mbunifu Wetu Tanzania.

  • @priscusjoseph7664
    @priscusjoseph7664 3 ปีที่แล้ว +1

    The greatest scientist from TANZANIA asee lazma awekwe kwenye vtabu vya wazungu na wazungu wasome principles za mzee Msuya.....!!!

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah!!!

  • @ndaromachumu2558
    @ndaromachumu2558 3 ปีที่แล้ว +1

    Angekua ulaya angekua mbali sana lakini apa bongo njaa Sana na wivu wanaona Kama wakimsaidia mzee atawazidi kwa kipato ndo tatizo la wabongo

  • @timothmatiku6115
    @timothmatiku6115 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali byabato hapo kwenye gharama. Pendeza Tanzania mpya, utendaji mpya.

  • @godfreymrosso2051
    @godfreymrosso2051 3 ปีที่แล้ว

    Naibu uko vizuri sana

  • @user-rl6rd3yp2y
    @user-rl6rd3yp2y หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yake please

  • @yuvencepatrice792
    @yuvencepatrice792 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn hamtoi namba yake?

  • @rogggndos
    @rogggndos 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee baba no yako basi nataka iyo nishat Na mim

  • @respikiusrevokatus2312
    @respikiusrevokatus2312 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zake

  • @fideliwilliam3925
    @fideliwilliam3925 2 ปีที่แล้ว

    mawasiliano ya mzee jamani malipo kwa atakae niunganisha nae

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 3 ปีที่แล้ว

    Nathani wizara ya sayansi na teknolejia na veta wanausika. Kisha tanesco wanunue hio mitambo au umeme.

  • @renatowebtech2090
    @renatowebtech2090 2 ปีที่แล้ว

    Namba za mtaalam mwenye nazo plz naztaka

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Msuya umeukata

  • @maganjila
    @maganjila 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya mbunifu

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipeni nabma zake

  • @wisdommrema8367
    @wisdommrema8367 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mzee msuya kwa kunyesha kwa vitendo hayo ni Mambo ya Ohms low

    • @nehemiamhepe1892
      @nehemiamhepe1892 3 ปีที่แล้ว

      Tunaomba namba zake tunahitaji machine hiyo

    • @franciskomatina9731
      @franciskomatina9731 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunaomba namba za mzee huyu mbunif... Apatiwe hati miliki

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika huyu mgunduzi apewe support na serikali. Waziri ameongea vya maana kabisa!

    • @dallasmayson4342
      @dallasmayson4342 3 ปีที่แล้ว

      i realize it is kind of off topic but does anybody know of a good place to stream new tv shows online ?

    • @leonidasheath438
      @leonidasheath438 3 ปีที่แล้ว

      @Dallas Mayson I watch on Flixzone. You can find it on google =)

    • @darioreid244
      @darioreid244 3 ปีที่แล้ว

      @Leonidas Heath yup, I've been watching on flixzone for months myself :)

    • @dallasmayson4342
      @dallasmayson4342 3 ปีที่แล้ว

      @Leonidas Heath thanks, signed up and it seems like they got a lot of movies there =) Appreciate it!

    • @leonidasheath438
      @leonidasheath438 3 ปีที่แล้ว

      @Dallas Mayson happy to help =)

  • @Kombo2989
    @Kombo2989 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano yake tafadhali

  • @jonathankazungu7397
    @jonathankazungu7397 3 ปีที่แล้ว

    2

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 3 ปีที่แล้ว

    Maneno meeeeeengi hakuna lililotendeka.

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 3 ปีที่แล้ว

    Anaejua anakopatikana uyu faza tafadhali anipeleke nitamlipa laki ya usumbufu

    • @benmtenga7382
      @benmtenga7382 3 ปีที่แล้ว

      Mkuu twende nikupeleke kesho

    • @samsonkisigo6488
      @samsonkisigo6488 3 ปีที่แล้ว

      Kawe

    • @Kombo2989
      @Kombo2989 2 ปีที่แล้ว

      @@samsonkisigo6488 kawe kubwa.
      Kawe sehemu gani?

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 ปีที่แล้ว

    Vp

  • @emilianimwaliga8474
    @emilianimwaliga8474 3 ปีที่แล้ว

    Napataje number za uyo mzee

    • @apolloa3442
      @apolloa3442 3 ปีที่แล้ว

      Ipp ila ni tapeli tu huyu mtu

    • @Kombo2989
      @Kombo2989 2 ปีที่แล้ว

      @@apolloa3442 kwaio ilijambo ametudanganya?

    • @apolloa3442
      @apolloa3442 2 ปีที่แล้ว

      @@Kombo2989 anachukua pesa za watu kisha hafanyi kitu, mnaanza kudaiana, uwe mvumilivu kudai na kama utarudishiwa. Cases zipo nyingi nazifahamu, hakuna aliyetengenezewa zaidi ya kutapeliwa.

    • @jacquelinematandiko6716
      @jacquelinematandiko6716 2 ปีที่แล้ว

      Mwenye namba tunaomba jamni

    • @emilianimwaliga8474
      @emilianimwaliga8474 2 ปีที่แล้ว

      @@apolloa3442 Duh...kwahyo ni mpigaji ?

  • @ndotosafariltdtz178
    @ndotosafariltdtz178 2 ปีที่แล้ว

    Naomba number zake