Mahojiano mazuri sana... Maswali mazuri... Majibu mazuri... Billnas so relaxing n cool... Music at background safi na sauti yake level nzuri Watu wanasikilizana... Sio kama interview nyingine sauti ya back ground kama bar... Hongera Diva keep it up.
Unaulizwa ni vitu gani unapenda kwa mke wako huvitaji😅inamaanisha ulilazimika hii ndoa. Huna hata hisia za kusema vitu vilivyokufanya umpende Nandy😅. Alafu jitahidi ujifinze kujibu maswali. Eti unasema mama yake alikuwa anampenda hata sasa Hivi anampenda mtoto wake😅😅😅😅😅😅😅😅😅what?like seriously
Billnas amesema comment ya mtu inaweza kuonesha kiwango chake cha ufahamu na kuchanganua mambo, sasa dadaangu kwa comment yako hii, unajionesha ni kiasi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mdogo mdogo mno.
BillNas & Nandy🤩
My favorite couple ❤ wishing you B.N a lifetime of happiness and love that grow stronger with each passing day.
Baba Naya ni very humble, MUNGU awalinde katika ndoa yenu,mapito ,changamoto mkae muongee kama watu wazima, maisha mema
I love how billnas anaongea😢❤ mungu awaweke❤
My favourite couple ❤❤❤❤❤Mungu ailinde ndoa yenu ikadumu ever my role model couple ❤❤❤❤❤billnass loves nandy😘😘😘😘
Mashaalah bilinass ukovizuli Sana nawaombea mapemzi yenu adumu nandy amepata mume mashaalah
Mungu nipe mume kama billnass🥹
Utapata ila so kama huyu atakuw kama kibweke whozu
Whozu kafanya nini😂😂😂😂
@@manirambonajeanne3876 whozu kivuruge saanaa so umeona juzi tyu kamdunda wema ni hataree
Atakupa Kama baba levo
Mume waweza pewa ila na mumu apewe mke mzuri pia
Proud of you brother ❤️
Mahojiano mazuri sana... Maswali mazuri... Majibu mazuri... Billnas so relaxing n cool... Music at background safi na sauti yake level nzuri
Watu wanasikilizana... Sio kama interview nyingine sauti ya back ground kama bar... Hongera Diva keep it up.
😂😂
Mungu aendelee kuwapigania vita ya ndoa n kubwa sanaa
very good brother
Genius broski
Nand kapata mume sana yuko vizul pia anabusala sana❤
Naomb mungu anipe mwanaume kama billnass
Hongera Nandy umepata mume
❤❤❤
Hii inaitwa kuoa katika umri sahihi na utayari wa kuoa
Dj❤❤
Bilnass
The cap 🧢 like of diamond the one was stolen in nanguanda
Crown fm jaman imekuj
Nouma sana
Unaulizwa ni vitu gani unapenda kwa mke wako huvitaji😅inamaanisha ulilazimika hii ndoa. Huna hata hisia za kusema vitu vilivyokufanya umpende Nandy😅. Alafu jitahidi ujifinze kujibu maswali. Eti unasema mama yake alikuwa anampenda hata sasa Hivi anampenda mtoto wake😅😅😅😅😅😅😅😅😅what?like seriously
Billnas amesema comment ya mtu inaweza kuonesha kiwango chake cha ufahamu na kuchanganua mambo, sasa dadaangu kwa comment yako hii, unajionesha ni kiasi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mdogo mdogo mno.
2pac
😂
Na Mungu alikuangalia wewe diva...akajua akikupeleka marekani utajifanya kama mzaliwa wa kule ndio maana huendi...😂😂😂
😂😂😂😂😂kula kunywa nakuja kulipa😅
Asubutu utakuja kulipa wap 😂😂😂kula utalipa mwenyewe utapata shida wwewe
😂😂😂😂
Sema belenasi ana mdomo mtamu sana na macho pia..bado huo mwili wake ni mtamu zaidi ..sauti yake very sex....
Uko na mambo 😂😂😂😂
Bado hujasema mwaya 😢😢😢
Acha umalaya vitamu ume vinja
Nand atakutoa pua😂😂😂
😂😂 nyege za ughaibuni izo zinakutesa
❤❤❤