MSIRI WANGU | Swahili Movies |African Movies |Best Bongo Movie 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @sadicksince2008
    @sadicksince2008 2 ปีที่แล้ว +9

    Inasikitisha, inahuzunisha na inafurahisha ila kikubwa inafundisha kwa sababu ni mambo yanayotokea katika maisha yetu ya kila siku. Kazi nzuri sana.

  • @eliaisinika7900
    @eliaisinika7900 ปีที่แล้ว +2

    Jax vip mpo ma kamanda mpe hi s dady mwalimu wangu wa Sanaa bless you master

  • @melvinniceanyango2919
    @melvinniceanyango2919 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimesikia hadithi zuri sana....asanteni nimeipenda mno.

  • @mperamperatv2001
    @mperamperatv2001 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwanza mganga umetisha.halafu ngoja niendlee na uhondo sana

  • @wardenly1403
    @wardenly1403 ปีที่แล้ว +1

    Movie tamu jmn 🥰🤗🔥🔥

  • @abdulhafidhmussa7882
    @abdulhafidhmussa7882 2 ปีที่แล้ว +1

    Umaimaliza vbaya saana haifaiii mwisho

  • @rehemamaricha3041
    @rehemamaricha3041 2 ปีที่แล้ว +2

    At inakosa part 2 hi Kali Sana Sana yafaa Kua Na part 2

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukran sana kwa maoni yako

  • @fatmaqhta8528
    @fatmaqhta8528 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah nzuri Dana🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌👌

  • @juvenaljaypi2957
    @juvenaljaypi2957 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya ongera sana kwa kazi Ila munge Pima recrute wengine wa sanii toka butembo DRC pengine wana weza ku saidiya tena

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukrani kwa hlo mkuu

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukrani kwa hlo mkuu

  • @adamibrahim3838
    @adamibrahim3838 2 ปีที่แล้ว +2

    Mume wangu naona aibu jinga sana

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 ปีที่แล้ว +4

    kazi mnzuri_jamani ongereni_washiriki

    • @monicahjoseph2528
      @monicahjoseph2528 2 ปีที่แล้ว +1

      Take heart Broo next tym usiwahi ambia mtu Siri zako we eka moyo. Tuu waonaa xx, sorry 😐 m

  • @jeanpytshiany6868
    @jeanpytshiany6868 2 ปีที่แล้ว

    Bro mutumke zahidi pole Na kazi

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 ปีที่แล้ว +4

    kazi mnzuri jamanu

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    Hanifa we mungu anakuona

  • @abdulhafidhmussa7882
    @abdulhafidhmussa7882 2 ปีที่แล้ว +3

    Movie kali inakosajee part 2 sasa

  • @denotheactor
    @denotheactor ปีที่แล้ว +2

    Kali saaana

  • @jamesngusa2766
    @jamesngusa2766 3 ปีที่แล้ว +1

    ndoa moyo sana.. sio kwa misukosuko hyo maisha

  • @Maximum_Tz
    @Maximum_Tz 3 ปีที่แล้ว +6

    Kazi iendelee 🖐🖑

  • @honhonhaule9232
    @honhonhaule9232 2 ปีที่แล้ว +3

    mko vizur sanaaaaa

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukrana sana

  • @andichumeibrahimo9803
    @andichumeibrahimo9803 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba pty 2

  • @omaryteddy62
    @omaryteddy62 2 ปีที่แล้ว +1

    Mganga Mganga da noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    kwahio mama hajui au

  • @ustadhothman.h.bekawendo287
    @ustadhothman.h.bekawendo287 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzur

  • @antonybanda2176
    @antonybanda2176 2 ปีที่แล้ว +5

    Unyama 🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯

  • @najmaabduli9593
    @najmaabduli9593 3 ปีที่แล้ว +5

    Mganga muongo🤣🤣🤣jamani kahaaa maana uyo mteja kachoka alichojia mengine anaambiwa mengine🤣🤣🤣mbavu zangu

    • @edwardouma1630
      @edwardouma1630 3 ปีที่แล้ว +1

      Naja dadaangu inauma pale mzazi anpoingilia kazi yake mwenyezi Mungu kila mtu anapenda awe na mtoto

  • @bintrashid6967
    @bintrashid6967 3 ปีที่แล้ว +6

    Move nzuri sasa wapi part 2

  • @KhadijaWambua-qf9xq
    @KhadijaWambua-qf9xq ปีที่แล้ว +3

    I feel ur pain lukuba

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +3

    hao ndo marafiki wa leo

  • @hamisibwanamdogo8708
    @hamisibwanamdogo8708 2 ปีที่แล้ว +2

    Move nzur

  • @nuratmokiwa1636
    @nuratmokiwa1636 2 ปีที่แล้ว +2

    Rafiki mnafiki

  • @LadyLizzProductions
    @LadyLizzProductions 2 ปีที่แล้ว +2

    Fazzy APA hatariiiiiiiiii

  • @teklamatingu254
    @teklamatingu254 2 ปีที่แล้ว +2

    Kikulacho ki nguoni mwako,Rafiki yako ndie aduo yako

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว +1

      Kwe kabisa

  • @teklamatingu254
    @teklamatingu254 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice movie

  • @daviddaudi8329
    @daviddaudi8329 2 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukran sana tunajitahidi kuwaletea vizuri zaidi

  • @hamisingonde6605
    @hamisingonde6605 2 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri kweli

  • @adamibrahim3838
    @adamibrahim3838 2 ปีที่แล้ว +2

    Ningekuwa nisha ua

  • @fatumaali1722
    @fatumaali1722 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe na

  • @saburimajengo3277
    @saburimajengo3277 2 ปีที่แล้ว +2

    Saluti kwako mwandishi

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukran sana

  • @razeenarazee1775
    @razeenarazee1775 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice moves

  • @philipmahava7168
    @philipmahava7168 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania hoyeeeee

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    jianae tuondoke

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว +1

    Muko. Vizur. Sana

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  3 ปีที่แล้ว

      Shukran sana

    • @asmahhasan5833
      @asmahhasan5833 2 ปีที่แล้ว

      Safi sana lakini tunaomba part 2 please

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 2 ปีที่แล้ว +2

    Nishapata dawa kaoge nichachue

  • @teklamatingu254
    @teklamatingu254 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hapo mwisho Lukamba hakulala na mkewe tukajuwa kama amepona?

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazikaz

  • @ijohnixmadrega.90
    @ijohnixmadrega.90 2 ปีที่แล้ว +2

    Video tam

  • @shannyasumanshannyasuman2613
    @shannyasumanshannyasuman2613 3 ปีที่แล้ว +3

    Part 2 please

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  3 ปีที่แล้ว +1

      Soon tutaiweka

  • @salhaaa4996
    @salhaaa4996 2 ปีที่แล้ว +3

    Nic

  • @lightmovietv609
    @lightmovietv609 2 ปีที่แล้ว +3

    nc film

  • @husseinfaki7380
    @husseinfaki7380 2 ปีที่แล้ว +5

    hakuna mkate mgum mbele ya supu

  • @eddahmwinzi
    @eddahmwinzi 3 ปีที่แล้ว +3

    Woooo

  • @adamibrahim3838
    @adamibrahim3838 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni wakati wa kuenjoi

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 ปีที่แล้ว +2

    To be continued

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    dah inauma

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukran sana kwa saport yako

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    mana usha kua fungfunga sasa

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Ha ha haaaa funga funga

  • @aishasaidi467
    @aishasaidi467 3 ปีที่แล้ว +3

    ❤️🙏

  • @bintrashid6967
    @bintrashid6967 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakimbia mbio kumbe hali bado ni hio

  • @ahmadgoha3904
    @ahmadgoha3904 2 ปีที่แล้ว +2

    weee

  • @mwanakombojuma7486
    @mwanakombojuma7486 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @c.kemooo
    @c.kemooo 2 ปีที่แล้ว +2

    this is the most fake movie I ever watched! wtf fr?? sasa ati huyu mdio mganga? hehe Tanzania mnajoke sanaaaaaaaaa!

  • @Melisacr1147
    @Melisacr1147 2 ปีที่แล้ว +2

    Move nzur

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Shukran Sana tunajipanga waletea kazi nzuri zaidi

    • @nairatomar9389
      @nairatomar9389 2 ปีที่แล้ว +1

      move tam sn iko poa kinoma nimeikubali sn bigap wote mlio shiriki👊🏼✌🏼💯💯 Allah awaongezee zaidi🙏🏻🇹🇿🔥🔥🔥❤️❤️❤️

    • @jaxflixtv
      @jaxflixtv  2 ปีที่แล้ว

      Respect sana best 🙏🏽