- 787
- 167 201
EBC Church
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 6 มิ.ย. 2020
The Ekklesia Believer’s Church (EBC) is Christian Pentecostal Church denomination headquartered in Luguruni, Mbezi Louis, Dar es Salaam, Tanzania. As of 2003, it was established in Ubungo, Kinondoni, Dar es Salaam.
The EBC is a member of the Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT). CPCT has many regional administrative structures national wide.
First called the Pentecostal Global Evangelical Church (PGEC), the PGEC was formed in 2003, Ubungo before adopted to Ekklesia Believer’s Church (EBC) in 2020,
The church is led by Bishop Weston Mandota. It has branches in other districts within Tanzania Mainland in Tanzania. Each district is served by its Pastor.
Moderator/Chairman:
Bishop Weston Mandota: 2003 - Current
General Bishop/Pastor:
Bishop Weston Mandota: 2003 - Current
Pastoress Florence Mandota: 2003 - Current
Pastor Richard Mwangosi: 2016 - Current
The EBC is a member of the Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT). CPCT has many regional administrative structures national wide.
First called the Pentecostal Global Evangelical Church (PGEC), the PGEC was formed in 2003, Ubungo before adopted to Ekklesia Believer’s Church (EBC) in 2020,
The church is led by Bishop Weston Mandota. It has branches in other districts within Tanzania Mainland in Tanzania. Each district is served by its Pastor.
Moderator/Chairman:
Bishop Weston Mandota: 2003 - Current
General Bishop/Pastor:
Bishop Weston Mandota: 2003 - Current
Pastoress Florence Mandota: 2003 - Current
Pastor Richard Mwangosi: 2016 - Current
.TENGENEZA MAMBO YA NYUMBA YAKO . Na Askofu Weston Mandota
Ibada ya jumapili ya siku ya Bwana ya tarehe 10/11/2024
มุมมอง: 96
วีดีโอ
NJOONI KWANGU MPATE UZIMA. Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 6612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Neno na Maombezi, 6.11.2024
VUKA MAKEDONIA PAMOJA NAMI
มุมมอง 10319 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya jumapili ya siku ya Bwana ya tarehe 3/11/2024
ROHO WA KWELI AMEFUNGIWA NJE Na .Askofu Weston Mandota
มุมมอง 8314 วันที่ผ่านมา
Ibada ya jumapili ya siku ya Bwana 27/10/2024
NIRUDIENI MIMI NAMI NITAWARUDIA NINYI .Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 10614 วันที่ผ่านมา
Ibada ya jumatano ya tarehe 23/10/2024
SHAHIDI WANGU MWAMINIFU Na. Mama Askofu. Frorence Mandota
มุมมอง 15221 วันที่ผ่านมา
Ibada ya Jumapili ya siku ya Bwana 20/10/2024
DHIKI KUBWA. Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 17828 วันที่ผ่านมา
Ibada ya jumapili ya siku ya Bwana 13/10/2024
KAMA ILIVYOKUWA SIKU ZA NUHU .Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 122หลายเดือนก่อน
Ibada Ya Jumapili Siku Ya Bwana 06/10/2024
KABLA YA MAMBO YOTE. Na Askofu weston Mndota.
มุมมอง 62หลายเดือนก่อน
Ibada ya jumapili siku ya bwana. 29./09.2024
UTAWAKANYAGA SIMBA NA NYOKA. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 68หลายเดือนก่อน
Ibada ya Neno na Maombezi, 25.09.2024
Sikiliza Ujumbe huu Kutoka kwa Bishop Weston Mandota, UTABARIKIWA SANA.
มุมมอง 130หลายเดือนก่อน
Sikiliza Ujumbe huu Kutoka kwa Bishop Weston Mandota, UTABARIKIWA SANA.
MALAIKA AKASEMA ENENDENI HEKALUNI. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 97หลายเดือนก่อน
MALAIKA AKASEMA ENENDENI HEKALUNI. Na. Askofu Weston Mandota
NGUVU YA UTOAJI .Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 1012 หลายเดือนก่อน
NGUVU YA UTOAJI .Na Askofu Weston Mandota
SEHEMU YA 3: NGUVU YA MWANAMKE. Na. Mch Upendo Lihete
มุมมอง 1482 หลายเดือนก่อน
SEHEMU YA 3: NGUVU YA MWANAMKE. Na. Mch Upendo Lihete
SEHEMU YA 2: MISINGI YA UJASILIAMALI/ Na. Mama Askofu Vesta Mlaki
มุมมอง 712 หลายเดือนก่อน
SEHEMU YA 2: MISINGI YA UJASILIAMALI/ Na. Mama Askofu Vesta Mlaki
SEHEMU YA I: MWANAMKE BINTI WA YESU/ Na. Mama Askofu Florence Mandota
มุมมอง 1602 หลายเดือนก่อน
SEHEMU YA I: MWANAMKE BINTI WA YESU/ Na. Mama Askofu Florence Mandota
KUZIVUNJA MADHABAHU ZA MIUNGU/ Na.Askofu Weston Mandota
มุมมอง 532 หลายเดือนก่อน
KUZIVUNJA MADHABAHU ZA MIUNGU/ Na.Askofu Weston Mandota
HAWAJANYENYEKEA HATA LEO/ Na. Askofu Mkuu Weston Mandota.
มุมมอง 592 หลายเดือนก่อน
HAWAJANYENYEKEA HATA LEO/ Na. Askofu Mkuu Weston Mandota.
ITAFUTENI KWELI UINUNUE. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 783 หลายเดือนก่อน
ITAFUTENI KWELI UINUNUE. Na. Askofu Weston Mandota
MAANA WAO NI CHAKULA KWETU. Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 933 หลายเดือนก่อน
MAANA WAO NI CHAKULA KWETU. Na Askofu Weston Mandota
MWINGIE KATIKA USHIRIKA WA YESU KRISTO. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 913 หลายเดือนก่อน
MWINGIE KATIKA USHIRIKA WA YESU KRISTO. Na. Askofu Weston Mandota
KWAWOTE WAINGIAO. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 513 หลายเดือนก่อน
KWAWOTE WAINGIAO. Na. Askofu Weston Mandota
NGUVU YA IMANI. Na. Askofu Weston Mandota
มุมมอง 613 หลายเดือนก่อน
NGUVU YA IMANI. Na. Askofu Weston Mandota
USIWE MPUMBAVU MILELE. Na Askofu Weston Mandota
มุมมอง 1053 หลายเดือนก่อน
USIWE MPUMBAVU MILELE. Na Askofu Weston Mandota
SOMO: ASIZIMIE MOYO MTU YEYOTE. Na Mhubiri Richard Mwangosi
มุมมอง 584 หลายเดือนก่อน
SOMO: ASIZIMIE MOYO MTU YEYOTE. Na Mhubiri Richard Mwangosi
Haleluya tunakusubiri babaetu!
Aminaa ni lazima nitoe zaka na sadaka
Naangalia das hii na kusikiliza somo hili tengeneza mambo ya nyumba yako
Pia nimejifunza umuhimu Wa kuangalia mambo ya nyumbani mwangu
Asante baba kwa somo zuri nimejifunza neema aliyoipata hezekia
Nabarikiwa nikitokea moshi kazi njema sana watu wa media nyie ndio sababu yakufanya na sisi tusipitwe na vitu vizur ujumbe mzuri picha ang'avu mhbarikiwe🎉🎉
Amen! Tunabarikiwa sana na neno la Mungu linalofundishwa mahali hapo sisi tulio mikoani tunawafatilia kwa makini sana! Mungu azidi kukutumia na kukutunza Bishop
.mungu akubariki mtumishi
Mungu akubarikimtumishi
❤❤
Mungu akubariki na mafundisho Aya Askofu wangu
Mama mungu akubariki na mafundisho Aya
I appreciate Mother B.shop Mandota now I like to be like Antipa.
Amen upendo haujivuni ,ukiwa na upendo ,hakika uko na Kila kitu ndio maana matunda ya roho mtakatifu,upendo ndio wa kwanza
Amen, Asante kwa Somo nzur kukata tamaa kwangu mwiko
Amen na MUNGU akutie nguvu.
Amen
Amina mtumishi🎉 Neno fupi zuri nimepata kitu
Amen, Karibu sana Kanisani uzidi kupata baraka tele.
Barikiwa mtumishi kwa ujumbe mzuri
Amen na MUNGU akubariki sana.
Ameen mtumish wa Mungu
Somo kubwa kweli asante sana Mungu nisaidie niweze kuiga tabia ya wazazi wangu wa kirohoo🎉
❤ Amen bishop
Amen ubarikiwe.
Amen 🙏 🙏 asante sana kwa somo hili mama ..Mungu akubariki na azidi kukuinua zaidi 🎉
Mafundisho mazuri sana🙏🙏🙏
KARIBU KANISANI JUMAPILI UBARIKIWE ZAIDI
Amen,My B.shop for your good Preacher
Amen
Ameen
Amen mtumishi
Amen
Praise the Lord, I am following and blessed from Kampala Uganda, stay safe and blessed.
amen
ameen " watu wangu waendelee mbele"
Hawakusema mavazi ya mwanamke ni gauni na mwanaume suruali 2.Kihistoria ya biblia wanaume na wanawake walivaa kanzu yaani magauni tofauti ilikuwa mashono Natafuta mahali ilipochanganua na kusema wanawake wasivae suruali na mwanamme asivae gaining SIJAONA 3.Muktadha wa andiko alikueleweka ni kwamba kulikuwa na Tabia ya kubadilishana mavazi wanaume na wanawake na hii ilipelekea Mungu apige marufuku si kwamba aliongelea aina ya mavazi LA HASHA Kuna mambo ya period kwa mwanamke sasa we ukivaa gauni au chupi yake ni NAJISI 4.mavazi ni tamaduni za watu Scotland mfalme uvaa sketi na askari wa kirumi walivaa sketi
Amen🎉 asante sana Baba Askofu kwa mafundisho hayo makuu....Mungu niumbie moyo wa unyenyekevu🎉
🙏🙏🙏🙏
Balikiwa sana baba Kwa somo zuri sana Mngu azidi kuku tumia zaidi
Kihusu mavazi inatakiwa kuangalia mazingira. Kama unaishi maeneo ambayo suruari ni vazi la kiume inabidi wamama wasivae. Pia mazingira ya kazi unayofanya kama kama hayakulazimu kuvaa suruari inabidi usivae. Lakini kama yanakulazimu, huna budi kuvaa. Mfano mfanyakazi fundi wa TANESCO au TTCL anapopanda juu ya nguzo kurekebisha hitilafu, hawezi kupanda akiwa amevaa gauni au sketi. Alifanya hivyo wapita njia wanaopita chini watumchungulia. Vazi la heshima ni suruari. Shule zingine sare za shule ni suruari. Maeneo mengine ya kazi wanavaa sare ya suruari. Ukienda JKT, combat (sare) kwa jinsia zote ni suruari. Je katika hizo utaacha kazi, shule au jeshi kwa vile wanavaa suruari. Dunia inabadilika kila wakati, mavazi yanabadilika kila wakati. Kipindi Biblia inaandikwa suruari zilikuwa hazipo, walikuwa wanavaa kanzu. Sasa hivi kule ambako suruari zilitoka zinavaliwa na jinsia zote. Ila Kuna suruari za kiume na zile za kike. Miaka ya nyuma, wakristo walikatazwa mambo mengi. Hii ni pamoja na kukali nywele, kuvaa suruari ambayo ni nyembamba chini (si pekosi), kusuka Rasta n.k. Sasa hivi imeruhusiwa. Kupiga vyombo vya muziki kanisani ilipingwa, ilionekana inapigwa disco. Sasa hivi haya yote yameruhusiwa.
Amen Amen Amen🎉
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Angalieni sana sana hasa huko cpct pamoja na huko kwenye vyuo VYA Biblia. Mwingine juzi kakurupuka akihi iza wanawake Sasuke nywele mpaka wazibe mucho Moja. Injili siyo biashara.
amen amen mungu abariki andiko
Amen
Am blessed amen from Kenya
Amen
Safi sana kaz nzuli
Asantesana baba kwakufundisha kweli Mngu akulinde sana baba angu
Amen
Aminaa katika jina la yesu Kirsto mungu mkuu na mwokozi wetu
Amen
iNjiri endee mbere zaid
Amen
Ameni askofu
Barikiwa sana
Amina baba Neno fupi ujumbe mzito kwa hakika ukiwa ndani ya Yesu ambaye ni mwamba imara hakuna mashaka
Hakika
Amen hakika hakuna mwamba kama Yesu
Hakika yeye ni kwamba wetu
Amen Bishop Mungu tusaidie tuishi katika upendo ule wa uposo,wa kwanza🎉🎉🎉🎉😊
Hakika atusaidie
Ameeen!!!
Barikiwa sanaaa mtumishi 🙏🙏
Amen