🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8] - JUNE 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @irenedenis4141
    @irenedenis4141 6 หลายเดือนก่อน +6

    Dada vero umependeza na wigi lako❤

  • @SalmaMasoud-ry4pg
    @SalmaMasoud-ry4pg 6 หลายเดือนก่อน +6

    🇰🇪🇰🇪Onee number pole sana Sarah Mungu wangu umepita Mapito makuubwa Hila uyo Nabii Mchawi Allah Atamjibu Iko siku yake, Masikin Mama Sara ameumiaa maana aliyajua ayayote #Nimejifunzaasana

  • @MacklinaJohn-nf9vh
    @MacklinaJohn-nf9vh 6 หลายเดือนก่อน +6

    Utapeli ni mwingi sana watu wanatumia Neno la Mungu kama bidhaa ya kujipatia mali sina shida na hao wachawi wanaodanganya watu bali nina shida na hao wanaodanganywa hata kama hujui maandiko lakini Mungu huwezi kumnunua

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Sarah, kweli watu wengine hawana huruma kabisa 🇰🇪

  • @saudahassam3031
    @saudahassam3031 6 หลายเดือนก่อน +8

    Wale mlikuwa mnaomba namba ya mtumishì mko wapiiiii

    • @mysteriousmj3233
      @mysteriousmj3233 6 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 6 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂tupo hapa

    • @hasnanadhiru2168
      @hasnanadhiru2168 6 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa, kupata mbinu mpya ya ulaji 😂

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu Amtanguliye Katika Yote Hasa kiafya ya Akili na Mwili, Akapande Uzima na Uhai Mrefu Amen.

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 6 หลายเดือนก่อน +2

    Oooh pole xan da SARAH " mmmmmmh kiukwel hii inaumiza xan dah pole xan!!

  • @saudahassam3031
    @saudahassam3031 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejifunza sana kupitia hii story...sara nadhzni kwa sasa utakuwa na iman sana ,,nataman mama yko awe hai mpaka leo

  • @mocranaburugi3486
    @mocranaburugi3486 6 หลายเดือนก่อน +5

    Matayo 24:11-24
    Neno: Bibilia Takatifu
    11 na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu. 12 Kwa sababu uovu utakuwa umeenea sana, upendo

  • @complex7582
    @complex7582 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawaambia kila siku achaneni na hawa watu wanaitwa watumishi wa Mungu, manabii ni matapeli hamsikii

  • @HappyJuma-wo3rr
    @HappyJuma-wo3rr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman Nampa pole sana sara

  • @marthaurio2329
    @marthaurio2329 6 หลายเดือนก่อน

    Mwachie mungu, atapigwa mapigo mengi sana mpaka arudi kukutafuta Sarah , pole sana.

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 6 หลายเดือนก่อน +2

    HASANTEE hii story imenigusa sana tujiangalie sana

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sanaaa Sara

  • @NISERAALFRED
    @NISERAALFRED 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ukwelii nimekuwa nikifatilia smlizi hila hii nimejifunza saana sara pole saana wanadam ndo tulivyoo atujuhii kesho yetuu ukwelii

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana sara yanawakuta wengi pia

  • @YustinaGozbert
    @YustinaGozbert 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo alikuwa ni mtumishi wa shetani,,na sio wa Mungu.

  • @PendoMacha-ib6oc
    @PendoMacha-ib6oc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani pole sana😢 ila malipo ni hapahapa duniani

  • @RightnessDaud
    @RightnessDaud 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman dada vero umependaza san ila sisi huku Tabor hatuwapti kabisa ikifka saa10 tu inakata hadi saa2 ndo inaludi lipoti tunaikosa

  • @beatricemganga8285
    @beatricemganga8285 6 หลายเดือนก่อน

    Nimejifuza mengi kwenye hii story

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Veroo sms zangu mbona hausomagi jamani

  • @EmmanuelKavumbu
    @EmmanuelKavumbu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Haya sisi familia yetu ilitupata hiyo tulipia ada watoto zake nabii mpaka tulikoma tulimsafirisha mpaka 🇿🇲, alie mleta ndio alimwalibia mpaka ndoa tukashituka.

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 6 หลายเดือนก่อน

    Duh, pole sn Sarah

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 6 หลายเดือนก่อน

    Pole saaana Sarah 😭😭😭😭

  • @rachelalinda7007
    @rachelalinda7007 6 หลายเดือนก่อน

    Wale waliotaka namba ya mtumishi vipi mbona kimya? Madam Veronica namba ya mtumishi jamaniii!!

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada sara ndio changamoto za dunia hizo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 6 หลายเดือนก่อน

    yaani jmni. binti wa watu jmni ameumizwa mno kwa kweli

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 6 หลายเดือนก่อน +2

    YANI HUYO MCH NYOKOOOO KAKUGOMBANISHA NAWATU WOTEE HILI UWAONE WABAYA
    NA BADO AKULIZIKA AKAAMUWA KUKUPIGA NAKITU KIZITO
    KWELI USIMWAMIN MTU📌

  • @esteredmund7053
    @esteredmund7053 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada vero inabidi umshauri Sara aende kwa Mtumishi philipo

    • @KimEveline-x3j
      @KimEveline-x3j 6 หลายเดือนก่อน

      Kumekucha Philipo tn 😂

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umewahi kwenda

    • @vailetadam3366
      @vailetadam3366 2 หลายเดือนก่อน

      Philipo Tena😂😂😂😂

  • @dianarosekaugira5608
    @dianarosekaugira5608 6 หลายเดือนก่อน +1

    jamani comment zinachekesha

  • @CasterWilliam-hx7ut
    @CasterWilliam-hx7ut 6 หลายเดือนก่อน

    Da Vero huo mchezo mpaka uwe hela kwenye Salio la. Kawaida na sio m pesa?

  • @lucybatista2631
    @lucybatista2631 6 หลายเดือนก่อน

    Hiii dunia ina mambo mentioned sana

  • @Modeshing
    @Modeshing 6 หลายเดือนก่อน

    naomba menu ya mchezo jamani

  • @mariamufadhili9245
    @mariamufadhili9245 6 หลายเดือนก่อน +1

    🥳

  • @HajiriMwasomola715
    @HajiriMwasomola715 6 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢😢

  • @neemaissa3011
    @neemaissa3011 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna marefu yasiyo na ncha,hatahuyo anaye jiita nabii Kuna mwisho wake,mwenyezi mungu ni wawote,anafichua ya Siri nayadhahili.

  • @YustinaGozbert
    @YustinaGozbert 6 หลายเดือนก่อน

    Saraaa

  • @ZainabjumaNyika
    @ZainabjumaNyika 6 หลายเดือนก่อน

    Mchangieni bs

  • @estershilla1560
    @estershilla1560 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unakaaje mwaka mzima bila kitembelea eneo lako?? sara bwana😅😅

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 6 หลายเดือนก่อน

      Alipumbazwa na nabii

  • @estershilla1560
    @estershilla1560 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu aniombe ela tuu ntamlamba kofi azimie😂😂😂

  • @Modeshing
    @Modeshing 6 หลายเดือนก่อน

    nachezaje uwo mchezo me natumia mpesa

  • @ErickKikoti
    @ErickKikoti 6 หลายเดือนก่อน

    Tupo apaaaaa

  • @Shezamo
    @Shezamo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ndiyo mana mnahambiwa dini ya kweli ni uhislam

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +3

      Na wale wanaolawiti watoto madrasa sio waislamu? Amini Mungu achana na dini zote zina watu batili

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 6 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MsAggie5 ubarikiwe sana

    • @estershilla1560
      @estershilla1560 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂​@@MsAggie5

    • @Jackylyimo-t4m
      @Jackylyimo-t4m 6 หลายเดือนก่อน

      29:44 ​@@dayana5513story

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 6 หลายเดือนก่อน

    Tangu jana eti unakamilisha unachosha 😂😂😂

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 6 หลายเดือนก่อน

      Yaaaani kiukweli anachosha siku hizi yupo bize sana na michezo ya vuna deile

    • @GraceCrispin
      @GraceCrispin 6 หลายเดือนก่อน

      Anarudia rudia tu yale yale ili amalize wiki

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 6 หลายเดือนก่อน

      @@GraceCrispin kabisa yaaani mi nasikiliza tu sababu napenda simulizi ila anarudiarudia sana pia na michezo ya vuna deile

  • @NasraRama
    @NasraRama 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu n mwema

  • @Modeshing
    @Modeshing 6 หลายเดือนก่อน

    nachezaje uwo mchezo me natumia mpesa

    • @ImaniMlisho
      @ImaniMlisho 6 หลายเดือนก่อน

      *150*80# ok

    • @ImaniMlisho
      @ImaniMlisho 6 หลายเดือนก่อน

      Mtandao wowote ndio kanuni hyo

    • @Modeshing
      @Modeshing 6 หลายเดือนก่อน

      asante lakini mpaka uweke vocha ya kukwangua ndo unaweza kutumia??