CHAMA KWA PACOME KAYAKANYAGA | ORUMA AMPASUA | "MPIRA UKIKUSHINDA MPE PACOME" | UBAYA UBWELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku หลายเดือนก่อน +3

    Pacoume zouzoua
    Ni class ya juu kabisa

  • @salehestambul5535
    @salehestambul5535 29 วันที่ผ่านมา

    Nilibaini, Pacoma ball Carrier mzuri sana, Max anauwezo mzuri wa kuzunguka uwanja mzima, ila wote waponyuma sana kwa Chama kufanya vitu vitokee mf magoli na assist .hawana jicho la goli km Chama. Chama skills

  • @nassibnassib2078
    @nassibnassib2078 หลายเดือนก่อน +7

    Oruma.... Miaka YOTE ulikua nyuma ya chama.... Hukuwahi kumkubari pacome.... Au ukihama inakua shida...

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا หลายเดือนก่อน +1

      Mimi naona huyu huruma anatafuta kazi yanga nasisi wanayanga hatumtaki mana alikuwa akitusema snaa vibaya

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

      Umeona kka hyu ni mchambuzi Ramli 😅😅😅😅 Ramli inaposikika ndipo anaelekea 😅😅😅😅😅😅 hana jipya 😅😅😅😅😅

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

      ​@@زيتونتنزانيا. Hafai hata kidogo. Ni COVID-19 😅😅😅😅😅😅

    • @richardkimori5008
      @richardkimori5008 หลายเดือนก่อน

      Hawapend Yanga ndio maana chama kuja yanga imemuuma sahiz anamdiss

    • @browntv1119
      @browntv1119 หลายเดือนก่อน +1

      mnafiki huyu

  • @PatrickSombo-c5w
    @PatrickSombo-c5w หลายเดือนก่อน

    Oruma unajuwa ile kweli pası yang iyi ni Pacome kabisa ni Class ya juu sana

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana Oruma, leo ndo nimekukubali

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 หลายเดือนก่อน

      Kisa kasema unayopendezwa nayo 😄

  • @AZIWANKULIKWA
    @AZIWANKULIKWA หลายเดือนก่อน +1

    Si mlisema chama ni bora kuliko pacome kilasku mlikuwa mnaongea kila mar eeh vipi sasa nadhani mshakubarii eeeh 😂😂😂😂

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 หลายเดือนก่อน +4

    Acha kumchukilia Poa Max kwenye upande wa kukaba kak,, Pacome ni mzur zaid kumiliki mpira, chenga na kudrible na hata kukaba yuko vizur lakini hawezi fanana na Max,,, upande wa defending Max ni mzur zaid kak

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 หลายเดือนก่อน

      Hiyo aina ubishi Max mapafu ya mbwa

    • @ramamakelo3780
      @ramamakelo3780 หลายเดือนก่อน

      Saluti

  • @alexoswald1725
    @alexoswald1725 หลายเดือนก่อน +2

    Pacome ni fundi jmn ukweli upo wazi

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu หลายเดือนก่อน

    Naona umekuwa sasa hvi😊😅😅😅

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Wilson sasa ameanza kuuelewa ukubwa wa Yanga. Amakataa kuendelea kujidanganya.

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

    Uchambuzi wa oruma ni kma anapiga ramli. Leo yeye wa kumsifia Pacome kweli . Hii YANGA mtalia sana . Ubaya ubwege 😅😅😅😅😅😲

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba หลายเดือนก่อน

    Ili uanze kikosi cha kwanza onyesha uwezo unapopewa nafasi hata kwa uchache

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Wale waliokuwa wanalinganisha pacome na chama walo wapi?? Subiri chama gari liwake😂😂😂😂 mtafunga midomo.

  • @EslomMwalongo
    @EslomMwalongo หลายเดือนก่อน

    uyu jamaa sijawahi muelewaga hata mara moja

  • @SaidChande-g4e
    @SaidChande-g4e หลายเดือนก่อน +1

    Hapa sielewi oruma anazungumzia Simba ipi ...hi ama ile ..@ Mr Oruma talk the reality we watched the game yesterday the aggregate was 50/50 yours is propaganda in football ...😮 kenya 🇰🇪

    • @Alex-k1i8k
      @Alex-k1i8k หลายเดือนก่อน

      Not 50/50 but was 70/30

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Mhhh 😂😂

  • @KhamisBoss
    @KhamisBoss หลายเดือนก่อน

    Acha uongo ww oluma

    • @ameirfaki9277
      @ameirfaki9277 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka utakuwa kolo ww.....au una matatz ya uoni....

  • @BoniphasLukas-c3c
    @BoniphasLukas-c3c หลายเดือนก่อน

    Uyu mchambuz kundu kwel amuombee yeye na babaake na ukoowake

    • @johnabery-vn7eb
      @johnabery-vn7eb หลายเดือนก่อน

      Matusi yann ndgu huo nimpila kama inakuuma wat kuchambua mpila kachambue ww

    • @GentleGiant-pj2rk
      @GentleGiant-pj2rk หลายเดือนก่อน

      Acha ubishi na matusi wewe, kamuombee Pacome