Uzao wangu nihadithi inayo Zungumzia koo ilio na changamoyo ya kukuza watoto pindi wanapo zaliwa hiyo yote ikitokana na kulithi mira potofu kutoka kwa wazee wa kale
Jamani sister Rachel hongera dear unajua mpaka unajua Tena 😢umeniliza Kuna rafiki angu aliolewa kwenye familia Kama hiyo yaani Kila akizaa mtoto anakufa mama mkwe wake alikuwa mchawi ...Mungu abariki kaz yenu lakini RACHEL wewe ni star mkubwa Sana piga kaz Na utafika mbali usikate tamaa nakuamini sana
Mpanaji wa ukweli Safi Sana 🔥🔥kaushauli kangu ni camera man atulize mkino picha seem nyingine zina sheki Sana uwa sina la kujaji Kwa majanga maana ana juwa mpaka ana kela lakini tukaze Tu ipo siku Saud Mme tisha sana
Sound track ziko poa sana. Yaan zinahasisha kuangalia hata km hutaki. Ongera sana kazi ni nzuri sana ila umakini uongezeke zaidi kwenye sauti.zinaingia puuh paah. Kaaah tiiih.
Nice kijana wangu
Nimeamgalia pia ni nzuri hongera
Hongera sana star wa mwanza Rachel shikalile unajua sana dogo
Nimecomment kabla ya kuitazama
Hongra mwanafunzi wangu unanipa raha
Mwalimu Sinto kuangusha naomba sapoti Yako kazi ifike mbali
Leo ndio nimejua kwamba shikalile unakipaj hongera mama
Asante ndugu yangu usisahau zinakuja kazi kubwa zaidi ya hiyo
Safi Sana Kaz inahamasisha endeleeni kwa Kaz nzuri Rachel ukija Arusha zawad yako ipo umeiwakilisha Mwanza vizuri Igoma pale huna mpinzan
Asante
Hongera sana ndugu
Asante
Ndg iko poa ila ni low quality
Hizi ndio filamu sasa
Asante soon kazi kubwa inakuja hivyo usisahau kuwa Rafiki wa Akaunti hii
Jamani sister Rachel hongera dear unajua mpaka unajua Tena 😢umeniliza Kuna rafiki angu aliolewa kwenye familia Kama hiyo yaani Kila akizaa mtoto anakufa mama mkwe wake alikuwa mchawi ...Mungu abariki kaz yenu lakini RACHEL wewe ni star mkubwa Sana piga kaz Na utafika mbali usikate tamaa nakuamini sana
Asante Vic ujumbe wako atauona
Mpanaji wa ukweli Safi Sana 🔥🔥kaushauli kangu ni camera man atulize mkino picha seem nyingine zina sheki Sana uwa sina la kujaji Kwa majanga maana ana juwa mpaka ana kela lakini tukaze Tu ipo siku Saud Mme tisha sana
Tunamshulu soon tutawaletea kitu kitamu
Sound track ziko poa sana. Yaan zinahasisha kuangalia hata km hutaki. Ongera sana kazi ni nzuri sana ila umakini uongezeke zaidi kwenye sauti.zinaingia puuh paah. Kaaah tiiih.
Aaante na #IGO MEDIA tunawaahidi kufanya vizuri zaidi ya hapa ingawa mapungufu hayato kosa pia soon tutakua na Tamthilia hivyo usiende mbali
Asante pia tunaomba radhi haita jiludia tena