Safi kwa sasa lakini hinahitajika Bridge for long term ni mto mpana sana na maji mengi sana Tunajua nguvu ya maji si mchezo Tafuteni fedha ZA kujenga daraja hiyo hitakuwa solutions
Nadhani panahitajika maelezo ya kitaalam kutoka kwa wahandisi kuhusu uimara wa hilo tuta ili kuondoa hofu na mashaka kwamba linaweza kusombwa na maji. Kwanini lisingejengwa daraja?
Duu kuna watu wazito sana kuelewa asee? Maswali mengine ni ya..... hv mtu na kazi yake wagharimu muda na pesa then wafanye utoto kweli? Wamesema mpaka jumatatu litakuwa tayari subirini siku ifike sio mbali
This railway does not look great, especially compared to the others that are under construction! Maybe it's just to help a bit before you build a railroad worthy of the name.
Kadogosa wewe hili shirika umeliweza hongera Sana Kama kiongozi
Ben na team nzima ya ufundi wa TRC mnafanya kaz nzuri Bila kumsahau mkurugenzi kadogosa #reliyetukwamaendeleoyetu
Angalieni
Uimara
Hapo
Mtoni
Magufuli,,kwa maendeleo yetu,hapa kazi tu, CCM oyeeee
Nafikiri hiyo iwe short term solution but long term daraja would be a perfect,, I🤷🏿♀️am not an engineer thooo
Kweli
Weka like kama unampa Saruti kwake kiongozi magufuri
Great work ! God bless you all !
Safi kwa sasa lakini hinahitajika Bridge for long term ni mto mpana sana na maji mengi sana
Tunajua nguvu ya maji si mchezo
Tafuteni fedha ZA kujenga daraja hiyo hitakuwa solutions
hakika ni jambo jema Sana tuna furahi Sana kwa kinacho fanyika
Hapo ndio huwa Tanzania tunafeli, haiwezekani kuzuia maji.... fikirieni daraja la kudumu! 🙄
Hapo itavukaje bila daraja? Sijaelewa vizuri
@@emmalexrelaxingsounds7403 mpaka uone wazungu au wachina ndio uamini kwamba hiyo ni reli.
Good, Congratulations you all!
Nadhani panahitajika maelezo ya kitaalam kutoka kwa wahandisi kuhusu uimara wa hilo tuta ili kuondoa hofu na mashaka kwamba linaweza kusombwa na maji. Kwanini lisingejengwa daraja?
Sasa apo bila kuingia darasani uwezi kuzuia maji yanayotembea ni kuweka daraja tu ili maji yaendelee na safari yake ndio itapendeza zaidi
Hapo panahitaji daraja najua Mzee mtamweleza hilo kwenye kampeni zijazo ili alifanyie kazi msilale kwa hili najua mtamweleza
Mbona msingeweza jenga daraja iliyo imara hapo lipite juu ya maji badala ya kutumbukiza mawe ndani ya maji? Si mtaizuia maji yasipite?
Its better you could construct caravan on the path across the river and not blocking it , it will take short time for it to operate
Hapo mimi nashauri inatakiwa kujenga Daraja. Kwasababu hapo ni kama Maji yamezuiwa kupita. Mto ukijaa tena hapo patabomoka tena.
That's a good idea
Kazi nzuri
Safi sana
Hapo bila daraja linavukaje? Maana hapo bila daraja lazima lazima maji yajae na mwisho wa siku reli isombwe na maji
Maji yanapita kwenye mawe
@@husseinkhalfan9467 haiwezekani maji kupitia kwenye mawe bwana
Kazi iendelee na sgr ipite hapo baadaye. Magufuri hoyeee
Kwa Nini treni na Kiberenge vigongane Tanga..Hii usikubali..
Hongera 🙏🙏
Hii kazi imeisha au bado ?
Duu kuna watu wazito sana kuelewa asee? Maswali mengine ni ya..... hv mtu na kazi yake wagharimu muda na pesa then wafanye utoto kweli? Wamesema mpaka jumatatu litakuwa tayari subirini siku ifike sio mbali
Hapo lzm daraja sio kuweka tuta lbd kuwe Kuna daraja mbele hapo sawa tofauti na hivyo NI kucheza maigizo
Sasa jamani bila daraja hapo si hilo tuta lita sombwa na maji 😂😂 maji yana nguvu sana
mbona mnazuia maji,wekeni daraja kwanza
This railway does not look great, especially compared to the others that are under construction! Maybe it's just to help a bit before you build a railroad worthy of the name.
Hyo ni risk kubwa kuyazuia maji naona future yake ni majanga ni heri itakapoharibika pasiwe panapita treni ya abiria maana itakuwa sad news kwa taifa
Abiria kwa DSM wanapandia wapi Mana stesheni ya zamani inajengwa so wanapandia wapi wakiwa dsm abiaria!???
Bona wameziba maji yamto huo