ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
I like the confidence with this Girls mko pouwa n looking cute 🔥🔥🌹💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gara B Mc mzuri tunakukubali ila hii entrance ina ubabe gani jamani!😅😅😅 Yaan wanacheza kama wamekazimishwa! Sijapenda!
Kweli wanacheza vibaya
Wanacheza vizuri japo ni wajawazito😅😅😅
😂😂😂
Waoooh!: Nice❤
Gara b ,boss we are behind you apo ongeza shushi tyu mdomoni
Vp bro kwema
Maico wa jua Kali🤣🤣🤣🤣 he is very smart
For youth-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
Uhm mc unatudanganya sana kwanza wankuwa kama awakufanya mazowezi kweli 😁😁😁😁😁
Nice one ❤
wooow .. amazing...
I like it
Mmetisha
I love your suit
Tami kama asali
Yesu ni jibu Kwa tote
Nakubal sana Mr Michael
Wamevaa sana du!! Wasema mwanamke wastara lakini kwa hapa wamezidiii
Mbona kawaida sana.. wamekiwasha kipi apo.. MC na mwandishi bwana!.. Lakin ndo kunogesh japo kwa mandishi
Matumbo
Hamna kitu apo
Kucheza hawajui
Hy black ndy kacheza vizr
Wow l love it
Cheusi Mangala kanogesha
Binadam bwana kwan matumbo yamefanyaj ila GM nayo ni wito
Waoooo ipendas san
Wadada wako na matumbo balaa.. wamechaguana
Vitambi mbonyeo havitoki ivyo labda kwa njia y maombi🤣😅😂😂😂😂😂😂
Good 😜❤️♥️💞
Matumbo makubwa sana wafanye maziezi
😂😂 tutafanyaje sasa ndio shepu zetu
Hahahaaq,afu kama wakubwa kuwa maids
@@sukariyao6537 wewe na huku upo duuu we free wi-fi mwenzangu noma 🤣🤣
@@sifatiiman mie kila secta nipo ukiniona sipo basi sijacoment tuuh chezea wi-fi za bure wewe 😂😂😂😂💃
@@sukariyao6537 yaan kitu ntakacho kimisi huku omani ni free wi-fi na nyama 🤣🤣🤣🤣
Kwa kwel mmeharibikia na nguo zenu za uchi au mnamtega bwana harus jmn!!!!
Maajabu
Cheusi umetisha sana nahuo mshono wako balaaaa
Wonderful
We are ready for uee bro gara B
🎉
Kwakweli sijafurahiswa nauvaaji huuu
Nice MC.
Dadambua halua halua..⛰️🌪️⛱️🌪️🌪️🌪️
Wana harusi acha kunajisi ndoa ndo mnasema ndoa zinasumbua kumbe unafungandoa kimalaya
Wamependeza jaman
Walah haya matumbo yanaaibisha jaman tuwe tunanunua mikanda 😂😂
Km wajawazito 🤣🤣🤣wameambiwa na doctor wafanya mazowez kidog ili mtt ashuke🤣🤣
@@nasraabdallah850 aa
Mbona matumbo ya kawaida kabisa watu tuna matumbo😆😆
Hakuna cha mkanda niwapunguze kula😂😂😂😂😂😂😂
Chezea uzazi w mpango ww 😂😂😂😂
The second song is nice
Mbaya
Hi🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️👍🤝✋️
Saana
Mwaliki baraka
Mmechemsha nguo hazijafanana ziko bright sana mna aibu mmebanana hamjanoga
Very
🎁
Thanks tee we aw
Kawaida bhana
Huyo mbele ajapendeza
Who that song? Artist
Joli
Najulizaga sipati jibu haya matumbo mnakulaga nini mpk yanakua hivyo
❤
Mmh huyo black alipania shughuli
Hawajapendeza hata hao madance wamearibu shuguli
Watoto wangependeza makubwa zima hayo Mhh au angekua mumoja
Ajali korogwa
Go check crown maids wanavyopiga shughuli za maana
Ni kanisani ni kwenye.disko acha kuchafua nyumba za ibada
Ooooh!
Mh mishono mengine muwe mnajiangalia na miili yenu 🤔🤔🤔🤔
Kabisa unaenda kuwa kituko mbele za watu
Mmependeza sana
th-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
Eeeeeh hvo ndo kunaendaga mmeweza
❤️🥰❤️🥰
Asa kukuacha naanzaje 🔥🔥🔥😂😂😂😂
Ptttho! Hamkufanya mazoezi
Wow!I love ur dance mmmmh 👍
Gospel
Kwaya
Kwayaa
Nice
Jack shen
A very organized soft dance
well
I had to be harusi ya Brenda...if you know you know ha ha
Ovyooo😅
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Mk
Hawa ni wajawazitoo
Kabisaaa yaan uchezaji wa hovyoooo na hayo matumbo lol si wangeshona mishono mingine
huyo mweupe Anaharibu stempu hajui chochote hao walio tangulia
san
Kwan wanamimba hao😂😂
Mumedamshiii weeeee
Mbona mna vitambi vikubwa kama mameneja?
Hahaha kweli
Hio mipasuo Mmh
😂😂😂😂😂😂🇨🇩 awajuwi matumbu 🤭🤭😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Someone assist me with the title of the song for the kizomba dance ( the last song)
Cheche
Matumbo tuu yanache ezaaa
Makubwa
Naombeni subscribe
Hawajapendeza hata
Kakalila
Kwan wanamimba
Kwaya mtakatifu yohani mzehiy
Why mzey nimecheka😂😂😂😂😂
Mimi naona hawakufanya pactise kweri
M
Maids wote wajawazito
Huoni kitu apo. Vile hayakuhusu. Andaa YAKO tuta comment. Jifunze 2 be keep quit.
😍
Hamna staili hapoo
Lkn wamependeza
Lanakuum wapo uchi kabisa
This is it!!! Beautiful 😻
Special delivery for your marriageth-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
yogkile
I like the confidence with this Girls
mko pouwa n looking cute 🔥🔥🌹💕💕💕
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gara B Mc mzuri tunakukubali ila hii entrance ina ubabe gani jamani!😅😅😅 Yaan wanacheza kama wamekazimishwa! Sijapenda!
Kweli wanacheza vibaya
Wanacheza vizuri japo ni wajawazito😅😅😅
😂😂😂
Waoooh!: Nice❤
Gara b ,boss we are behind you apo ongeza shushi tyu mdomoni
Vp bro kwema
Maico wa jua Kali🤣🤣🤣🤣 he is very smart
For you
th-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
Uhm mc unatudanganya sana kwanza wankuwa kama awakufanya mazowezi kweli 😁😁😁😁😁
Nice one ❤
wooow .. amazing...
I like it
Mmetisha
I love your suit
Tami kama asali
Yesu ni jibu Kwa tote
Nakubal sana Mr Michael
Wamevaa sana du!! Wasema mwanamke wastara lakini kwa hapa wamezidiii
Mbona kawaida sana.. wamekiwasha kipi apo.. MC na mwandishi bwana!.. Lakin ndo kunogesh japo kwa mandishi
Matumbo
Hamna kitu apo
Kucheza hawajui
Hy black ndy kacheza vizr
Wow l love it
Cheusi Mangala kanogesha
Binadam bwana kwan matumbo yamefanyaj ila GM nayo ni wito
Waoooo ipendas san
Wadada wako na matumbo balaa.. wamechaguana
Vitambi mbonyeo havitoki ivyo labda kwa njia y maombi🤣😅😂😂😂😂😂😂
Good 😜❤️♥️💞
Matumbo makubwa sana wafanye maziezi
😂😂 tutafanyaje sasa ndio shepu zetu
Hahahaaq,afu kama wakubwa kuwa maids
@@sukariyao6537 wewe na huku upo duuu we free wi-fi mwenzangu noma 🤣🤣
@@sifatiiman mie kila secta nipo ukiniona sipo basi sijacoment tuuh chezea wi-fi za bure wewe 😂😂😂😂💃
@@sukariyao6537 yaan kitu ntakacho kimisi huku omani ni free wi-fi na nyama 🤣🤣🤣🤣
Kwa kwel mmeharibikia na nguo zenu za uchi au mnamtega bwana harus jmn!!!!
Maajabu
Cheusi umetisha sana nahuo mshono wako balaaaa
Wonderful
We are ready for uee bro gara B
🎉
Kwakweli sijafurahiswa nauvaaji huuu
Nice MC.
Dadambua halua halua..⛰️🌪️⛱️🌪️🌪️🌪️
Wana harusi acha kunajisi ndoa ndo mnasema ndoa zinasumbua kumbe unafungandoa kimalaya
Wamependeza jaman
Walah haya matumbo yanaaibisha jaman tuwe tunanunua mikanda 😂😂
Km wajawazito 🤣🤣🤣wameambiwa na doctor wafanya mazowez kidog ili mtt ashuke🤣🤣
@@nasraabdallah850 aa
Mbona matumbo ya kawaida kabisa watu tuna matumbo😆😆
Hakuna cha mkanda niwapunguze kula😂😂😂😂😂😂😂
Chezea uzazi w mpango ww 😂😂😂😂
The second song is nice
Mbaya
Hi🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️👍🤝✋️
Saana
Mwaliki baraka
Mmechemsha nguo hazijafanana ziko bright sana mna aibu mmebanana hamjanoga
Very
🎁
Thanks tee we aw
Kawaida bhana
Huyo mbele ajapendeza
Who that song? Artist
Joli
Najulizaga sipati jibu haya matumbo mnakulaga nini mpk yanakua hivyo
❤
Mmh huyo black alipania shughuli
Hawajapendeza hata hao madance wamearibu shuguli
Watoto wangependeza makubwa zima hayo Mhh au angekua mumoja
Ajali korogwa
Go check crown maids wanavyopiga shughuli za maana
Ni kanisani ni kwenye.disko acha kuchafua nyumba za ibada
Ooooh!
Mh mishono mengine muwe mnajiangalia na miili yenu 🤔🤔🤔🤔
Kabisa unaenda kuwa kituko mbele za watu
Mmependeza sana
th-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
Eeeeeh hvo ndo kunaendaga mmeweza
❤️🥰❤️🥰
Asa kukuacha naanzaje 🔥🔥🔥😂😂😂😂
Ptttho! Hamkufanya mazoezi
Wow!I love ur dance mmmmh 👍
Gospel
Kwaya
Kwayaa
Nice
Jack shen
A very organized soft dance
well
I had to be harusi ya Brenda...if you know you know ha ha
Ovyooo😅
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Mk
Hawa ni wajawazitoo
Kabisaaa yaan uchezaji wa hovyoooo na hayo matumbo lol si wangeshona mishono mingine
huyo mweupe Anaharibu stempu hajui chochote hao walio tangulia
san
Kwan wanamimba hao😂😂
Mumedamshiii weeeee
Mbona mna vitambi vikubwa kama mameneja?
Hahaha kweli
Hio mipasuo Mmh
😂😂😂😂😂😂🇨🇩 awajuwi matumbu 🤭🤭😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Someone assist me with the title of the song for the kizomba dance ( the last song)
Cheche
Matumbo tuu yanache ezaaa
Makubwa
Naombeni subscribe
Hawajapendeza hata
Kakalila
Kwan wanamimba
Kwaya mtakatifu yohani mzehiy
Why mzey nimecheka😂😂😂😂😂
Mimi naona hawakufanya pactise kweri
M
Maids wote wajawazito
Huoni kitu apo. Vile hayakuhusu. Andaa YAKO tuta comment. Jifunze 2 be keep quit.
😍
Hamna staili hapoo
Lkn wamependeza
Lanakuum wapo uchi kabisa
This is it!!! Beautiful 😻
Special delivery for your marriage
th-cam.com/video/eudPSOT1ZnU/w-d-xo.html
yogkile