Jifunze Hasara za Kuiga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @shamsudintwalha
    @shamsudintwalha 5 ปีที่แล้ว

    Nashkur kaka somo zuri sana....mungu akulipe kila la kheir.....ila hapo mwisho umenichekesha...mafuta ya taa dawa ya mbu...😊😊😊😊

  • @frankmsangi
    @frankmsangi 3 ปีที่แล้ว

    shukrani sana bro Mungu azidi kukubariki kwa kazi kubwa unayofanya kutuelimisha vijana maana kata mm pia nilikuwa naiga watu lakin nilivyoanza kukusikiliza kaka yan nimeyafanyia kazi yale yote niliyojifunza kwako na sasa ivi napata matokeo mazur san

  • @ramohacompany8412
    @ramohacompany8412 6 ปีที่แล้ว +2

    Ninaahidi kaka nitayafanyia kazi haya yote.
    Nitakuwa m,bunifu mzuri kaka Ezden.
    Shukran sana,
    Ramoha from Zanzibar

  • @esrompatrick3748
    @esrompatrick3748 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa ujumbe mzuri mungu akubariki

  • @kenethngamoga9523
    @kenethngamoga9523 6 ปีที่แล้ว +3

    Dah yaani kila kitu ulichozungumza ni sahihi kabisa.... Ujumbe mzuri na Utawasaidia sana vijana watakaobahatika kuusikiliza 100%

  • @mohdmahamudu7793
    @mohdmahamudu7793 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa kutufunza

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran kaka unayotufanyia mazur sana

  • @prosperkibiki6384
    @prosperkibiki6384 5 ปีที่แล้ว +1

    that is great of you bro ....we shoul not die as copies of some people ...we shoul die as you ..as self person and not somebody else

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza kitu kikubwa sana brother indelea kutupa madini hayo!

  • @thurayaalriyamyal2068
    @thurayaalriyamyal2068 5 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana kwa jawabu lako.napata faida sana kwa masomo yako mpaka nimefanya desturi nikikaa Na familia huwa nawapa mafunzo kutoka kwako na kwa nanauke

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 ปีที่แล้ว +1

    Usfanye masihara sheghe kuna wakina dada wanaiga kutembea uchi ni uwendawazimu

  • @judithsalva2814
    @judithsalva2814 5 ปีที่แล้ว

    Asante nakuguswa sana mada zako,najifunza mengi kutoka kwako.Mungu azidikukubariki.

  • @AngelMawa
    @AngelMawa 6 ปีที่แล้ว

    Kaka
    Mabrook
    Yaani umeongea sahihi kabisa
    Nimependa kutoka moyoni
    Ndio mana siku ya kwanza kuicheki hii channel yako nili subscribe fasta kwani niliona kuwa unakitu ndani yako kitakachoweza kunisaidia kwa namna yeyote
    Allah bless you

  • @edmarkmlm9796
    @edmarkmlm9796 6 ปีที่แล้ว +2

    kazi nzuri sana kijana.
    ukweli Ni kwamba kila siku nachelewa kulala Na mala nyingi sana nikiwa Na watch mafunzo unaotugawia bure kabisa.
    brother wetu ezden naomba namba yako ya simu kuna tabia ambao nimeshindwa kuondokana nao kupitia wewe naamini nitaweza tuu

  • @mariamogelasanayohana7442
    @mariamogelasanayohana7442 4 ปีที่แล้ว

    kweri buro

  • @emidahayoub8849
    @emidahayoub8849 5 ปีที่แล้ว +1

    Thank you j4

  • @eliadaabel8991
    @eliadaabel8991 6 ปีที่แล้ว +1

    kaz nzur ezden mtamgazaj nkupendae

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 ปีที่แล้ว

    imewafunza aana vijana

  • @darrusenglish7845
    @darrusenglish7845 6 ปีที่แล้ว +1

    Good job bro ...keep it up

  • @shemahabdallah5594
    @shemahabdallah5594 5 ปีที่แล้ว

    Najifunza

  • @FrancisLyamuya-ou1eb
    @FrancisLyamuya-ou1eb 6 หลายเดือนก่อน

    Brother Kweli bwana umenikumbusha freduwaa R F A hu safi?

  • @biboytv6335
    @biboytv6335 5 ปีที่แล้ว

    braza natamani kuwa presenter nisaidie bro

  • @mohamedngwali4436
    @mohamedngwali4436 5 ปีที่แล้ว

    thnx for evrthng

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 ปีที่แล้ว

    sawa mafuta yataaa

  • @eliazere
    @eliazere ปีที่แล้ว +1

    Asante sn kaka ndo vitu vyagu ivyo vyakuiga😅

  • @fredpetter9457
    @fredpetter9457 4 ปีที่แล้ว

    background music imenifanya nisikiiizee kwa umakinii barikiwe kaka

  • @nassororamadhani6016
    @nassororamadhani6016 5 ปีที่แล้ว

    nimecheka sana ila nakuelewa sana broo.kwa iyo maana yako tupende watu wanachofanya ila tuckopy

  • @darrusenglish7845
    @darrusenglish7845 6 ปีที่แล้ว

    hahaha nimecheka sana mwishoni

  • @alphanmartin6003
    @alphanmartin6003 5 ปีที่แล้ว +1

    god bless you

  • @zahirgomelo198
    @zahirgomelo198 6 ปีที่แล้ว +1

    Mic Can Break or Mic You make absolutely

  • @abdallahkigube2897
    @abdallahkigube2897 5 ปีที่แล้ว

    Kizazi hiki kimepoteza ubunifu

  • @mariamnahodha2390
    @mariamnahodha2390 5 ปีที่แล้ว

    Possibility blindness

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 5 ปีที่แล้ว

    Kaka punguza mziki kidogo maana tukijifunza ili viingie vizur kichwan, tunahitaji ukimya kidogo, sauti yako ni nzur sana inatutosha. Samahan lkn.

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁 Inabidi tuachane na kukopikopi, eti mm mafuta ya taa dawa ya mmbu 😁😁😁,tumekuelewa kaka

  • @medystar1273
    @medystar1273 4 ปีที่แล้ว

    Haah kaka Edzen yaani toka uhanze kunichekesha, hii imoja ni namba one my best bro. ... so niadd kwenye group lako la mashauri sasa please, my contact is : +27735855033... naishi South africa kaka yangu,, kiukweli nakufatiliaga sana kaka yangu, ila leo sasa ndo umenikubalisha hadi nimeachiya namba sasa kaka 🙏🙏...

  • @thurayaalriyamyal2068
    @thurayaalriyamyal2068 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini lazima nyuma yako kuwe na mziki sasa tusikilize mziki au tukusikilize wewe

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana, hii ni video ya nyuma sana, wakati bado sikua vizuri kurekebisha...Tazama video zangu mpya ziko vizuri sana. Hili somo nitalifanya tena! nashukuru kwa mawazo yako

    • @chamam5031
      @chamam5031 5 ปีที่แล้ว +2

      Upo hash sana Thuraya duh

  • @gracerenady9425
    @gracerenady9425 6 ปีที่แล้ว

    🙄We kaka sijui nakufananisha au ndo wewe ?

  • @eliadaabel8991
    @eliadaabel8991 6 ปีที่แล้ว +1

    kaz nzur ezden mtamgazaj nkupendae