"SAFARI YA MATESO": NILIZAMIA SOUTH AFRICA KWA MIGUU/ NILITEKWA NJIANI/USIKU/(S02EP02-B- "PART 02")

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Malume...Kijana wa kitanzania anae jaribu bahati yake maishani kwa kufanya safari ya kuingia nchini Afrika Kusini kwa magendo, safari inayo mgharimu na kuacha kovu lisilofutika maishani...... karibu hii ni MBANGA
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #StoriYangU #Harakati #Maisha

ความคิดเห็น • 15

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 ปีที่แล้ว

    Marume ukimcheki uwezi zania kama kapitia hii mikasa. Big up dupa mdupange 👊🏿

  • @claramzuri488
    @claramzuri488 2 ปีที่แล้ว

    Ni nzuri ..

  • @dulakapopo8522
    @dulakapopo8522 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani katika watu wote wastor marume kahadisia vizuri bira mbwembwe

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 2 ปีที่แล้ว

    Respect ma braz

  • @omarymohammed3873
    @omarymohammed3873 2 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja broo dupa

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว

    Huko ndani wanafira watu

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว

    Hawa vijana wetu huwa sielewi vitu wavyogNya! How do they go through such hardships

    • @abdullatifhassan9399
      @abdullatifhassan9399 8 หลายเดือนก่อน

      Hayaja kufika brother... Na omba yasikufike

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 หลายเดือนก่อน

      @@abdullatifhassan9399 wewee wengine wamezaliwa kwenye familia za vigogo mambo hayo hawayajui, Baba Gogo Mama gogo serikalini wana shida gang? Kama unavyojua Serikali zetu za Africa Viongozi ndio Matajiri

  • @jilalamaligisa6298
    @jilalamaligisa6298 ปีที่แล้ว

    Mpangilio wenu unaboa, yaani hayo maneno kwenye mabano ni complicated mtu unashindwa kujua ipi inafuata, mara SOEP2 B PART 3 unadhani mtu wa kawaida ataelewa? Msiwe mnawafikiria waliosoma zaidi peke yake, kwani ungeandika part 1, part 2, part 3 hata kama ziko 1000 ungepungukiwa nini?

  • @geofreylupenza355
    @geofreylupenza355 2 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa namuona ana akili san kichwan

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว +1

    Njooni njoooni nyie marume karudi Tena😅

  • @omarymohammed3873
    @omarymohammed3873 2 ปีที่แล้ว

    Bro tupa naitaji T-shirt la nalipatajee

    • @omarymohammed3873
      @omarymohammed3873 2 ปีที่แล้ว

      @@dar24media nitafurahi sana kama nikipata T-shirt la Dar24.