SEMAJI BAADA YA MNYAMA KUMKAANGA KENGOLD CHUMA 2 BILA/"TUMEENDELA TULIPOISHIA/ANAYEFUATA NI KAGERA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @JoyceNelsonkessy
    @JoyceNelsonkessy 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu tunakuomba uendelee kuwa upande wetu wana simbaa

  • @georginadamas6655
    @georginadamas6655 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki simba yangu ikashinde na mechi ya Kagera ila tunataka idadi ya magoli iongezeke hii ya goli moja mbili hazitoshi Semaji tufikishie ujumbe kwa kocha na wachezaji maana kipindi cha pili huwa hawachezi vizuri sijui huwa wanaridhika na matokeo ya kipindi cha kwanza huwa sielewi jamanj

  • @DevothaNemes
    @DevothaNemes 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa ushindi huu❤❤❤❤

  • @magretpita3017
    @magretpita3017 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante Mungu

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Asante Mungu baba kwa ushindi huu wa leo Aamen 🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪🙏🙏🙏

  • @Edward_Simon6
    @Edward_Simon6 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Simba hii ni atari❤

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Asante MUNGU tumepata ushindi 🎉🎉🎉

  • @drizy-t8q
    @drizy-t8q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    kiwango cha timu yetu kwasasa tunakifurahia ila tungependa kuona kikizidi kuimalika zaid hivyo bas tunawaomba viongozi wetu mpanzu ajiunge katika kikosi kwenye hizi mecha ili azoeane na wenza kuelekea mechi za kimataifa asanteni sana.

  • @ObedKhan-t6v
    @ObedKhan-t6v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongera sana team yng ila kipindi cha pili wachezaji kuna kitu wanakosa

  • @Merrymerry-l4n
    @Merrymerry-l4n 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🦁🦁🦁🦁

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimefurshi kumuona Kibu Denis ameanza kujaribu kupiga mashuti golini mara kwa mara hii itamsaidia kuweza kufunga magoli.Tunaomba wachezaji wengine waige

  • @AlfredPeter-rn8iz
    @AlfredPeter-rn8iz 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asant mungu kwa ushindi huu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MohamedBiki
    @MohamedBiki 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @TumwaMgaya
    @TumwaMgaya 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ ubaya ubwelaa

  • @CareenJulias-iu7tf
    @CareenJulias-iu7tf 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Semaji Kuna wachezaji hatujawahi kuwaona kabisa mfano. Duchu, Hussein Kazi, Mashaka Mashaka, Kalabaka na Omar Omar je, wako wapi semaji?

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Timu yetu kipind cha pili haichez vizur mechi nyingi sana kuna timu itakuja kutufurahisha ndiyo mana hata bravo walitaka kutuonjesha sema hawakuwa makin tu

  • @agnesswai7174
    @agnesswai7174 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnyama mkali Wa msituni 🦁❤️

  • @BaleleLucas
    @BaleleLucas 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ligi ni ngumu, so simba tuzidi kukaza kila mechi tuicheze kama final

  • @CossyRichard
    @CossyRichard 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉❤

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Congratulations to my team

  • @drizy-t8q
    @drizy-t8q 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    kabla ya yote nianze kwa kutoa shuklani kwa viongozi benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla kwa kupata ushindi leo wa bao 2 . ila bado mashabiki tupo na maswali juu ya swala la mpanzu kilasiku imekuwa atacheza mala hajakmilisha usajili kiukwel mashabiki tunaitaji kumuona uwanjani kwasababu yupo mda mlefu sana hapo

    • @LucasRuben-x1t
      @LucasRuben-x1t 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Timu aliyo toka hawajatoa ITC kama boka tu wa kongo wa gumu sana kwenye kumuachia mchezaj kibali

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mungu ahsante kwa ushindi huu tunaomba uendelee kutupa ushindi

    • @ashrafumbawala
      @ashrafumbawala 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Exactly, kwanini waanze kufuatilia saizi hicho kibali WHY NOT PREVIOUSLY DAYS

    • @LucasRuben-x1t
      @LucasRuben-x1t 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@ashrafumbawala naona kukueleza hapo sijui nikueleze vipi unazan wao simba hawatak huduma ya mpanzu au bas

  • @abouamazing3406
    @abouamazing3406 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kadogodogo aworeeeeee tishaaaa xana 🎉🎉

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Che Malone bado anafanya makosa mengi sana!

  • @Benzeema_graphics
    @Benzeema_graphics 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Taa za uwanja zisizimwe jamn taa zisizimweeeee...😂😂

  • @Shebyomar
    @Shebyomar 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ubaya ubwelaaaaa

  • @GeorgeOdilo-x2w
    @GeorgeOdilo-x2w 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kipindi chapili kunashida tusidanganyane iali muingalie kunashida kaka kama puzi inakata

  • @bedomgwalupogo2652
    @bedomgwalupogo2652 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NIKUWAPIGIA KELELE BENCHI LA UFUNDI KUWA TUNATAKA MPIRA WA KASI SIYO MPIRA WA PASS ZA KURUDI NYUMA....

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tumefunga ila timu mbele bado sana cjuhi kocha anakwama wp. Imagine mechi ka yaleo hakuna assit hata moja

    • @kifandenabil
      @kifandenabil 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani ile kona sio assist😂😂😂

  • @justinemasudanyuha
    @justinemasudanyuha 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuendelee kupambania point zetu,simba nguvu moja!

  • @jonyjaksony
    @jonyjaksony 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mpanz anacheza lini?? Mban mnajikanyaga sna

  • @Noelisaya-z6c
    @Noelisaya-z6c 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela

  • @Abdul_wahidMohamed-g5l
    @Abdul_wahidMohamed-g5l 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kesh kutw usij ukakuta Ali kamwe anza Mohamed ali anasubiri hii ndio ubay ubwel bab 😂😂😂

  • @MatarazaMussambili
    @MatarazaMussambili 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kipindi cha pili tufanyie kazi

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumekuchaaa kila mchezaji ni wamoto hatariiiiii hata kama katokea bench

  • @JosephSaidi-g3l
    @JosephSaidi-g3l 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba mmebebwa timu yenu nimbovu sana

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      nikweli kabisa simba ni mbovu siunaona ligi kuu iko nafasi ya nne na kimataifa ina point moja na inaburuza mkia kwenye kundi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We ni mpumbavu kabisa kawabebe na wewe utopolo

    • @kushipappa7277
      @kushipappa7277 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli bado tunajenga timu

  • @patrickmuvendi142
    @patrickmuvendi142 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kibu aache uchoyo wa pasi siyo kupiga piga pasipo mpango.Utakuta mchezaji yupo nafasi nzuri ya kufunga lakini hapewi nafasi.

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU NI MWEMA

  • @AnnaJohn-o3g
    @AnnaJohn-o3g 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Cmba ubaya ubwelaaa

  • @HamiduKiulunga
    @HamiduKiulunga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya ubwelaa n kuwapelekea pumzii yamoto tu ubingwa wetu msimu huu

  • @AgnesMashaka-ph6uw
    @AgnesMashaka-ph6uw 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbukeni usajili

  • @MagrethMasessa
    @MagrethMasessa 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ibariki simba

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa we mwandishi hivi unajua kazi yako Hilo ni swali kweli. Sasa siwamecheza kwa hiyo?

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏💪💪🙏🙏

  • @NassirHajiTete
    @NassirHajiTete 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🫡🔥🔥🔥🔥🦁

  • @GeraldJames-q3o
    @GeraldJames-q3o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤