ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Waoooo Sheila nimesubiri sana exclusive yako na Leo nimempata nimefurahi sana I love you so much 🎉🎉🎉
Waooooh Sheila nakupendaa sanaaa nimejifunza mengi kupitia tamthilia zakoo💓💓💝💝💗💗💗
Queen Mtiti aka Sheyla. Nakupenda, una tabasamu zuri sana na sauti nzuri pia
Shaila nakupongeza sana kwa maigizo yako kiukweli unajitahidi ila naomba ile roho mbaya ulio nayo kwenye filam isiwe ya undani iwe ya maigizo tu naomba ivo
Niko zangu burundi nawafuatilia 5\5
Uwez igiz kitu Ambacho huna asil ya roh hiyo anayo sem tumshauri asiiruhusu kuitumia iyo roho
Ukweli kabisaaaa, iwe hivyo Tu, ya kuigiza, wala sio ya kuzaliwa😂😂
Mimi cheilla simpendi kamwe ajili ana roho mbaya saaana
Kabisa Hilo nalo neno
Sheila weye ni noma sana nakupenda sana kwenye Benzema ume nifurahisha sana I love you ❤ from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Nakupenda sana sheira mungu akufikishe mbali zaidi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sheila mwanangu 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Good work Sheila,mrembo Sana tena hu-act real.
Nakupenda sana shaila Kwa kazi Yako nzuri
Hongera sana Sheila nakupenda sana nimejifunza mengi kutoka kwako
Nakupend san dada Ang Sheila upo vzr san 🫡🫡 kwako ❤️❤️❤️❤️❤️ mung azind kukulinda kipaji chako kizind kuwa kubwa una roh zuri san ❤❤
Aky huyu mdada ananibamba saana, moreso kwa filamu ya plan b,nimempenda saana, hongera nyingi kutoka Kenya 🎉
I love you Sheila unaingiza vizuri sana endelea ivivo 💞💞💞💞💞💞
Sheishei...jina langu.haaaaaa maman we noma kweli napenda sana kazi zako hogera Mungu aku fikishe mbali kweli ❤❤❤❤❤❤
I love Sheila kumbe unaroho nzuri sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kupitia Queen najifunza kuwa binadamu ni wanafiki, cha msingi ni kuishi nao kwa akili. Nakupenda Sheila ❤❤
Yupo vizuri aisee
Mi na tamarind kuigiza
Ila unajua kuingiza roho mbaya wew mpaka nilitak kumaanish kumbe hamna very good sheira
Sheila unaweza saana kuigizaa. Mungu akulindie kipaji chako big up saana.
Nakupenda Sheila mwanz nime kucukiya Ila nakupenda Burundi
Sheila you are the bomb , I love the way you do ur thing
Nakuomba Ingia katika account Yangu naimani utazipenda kazi zetu❤❤❤
Shaila I love you so much naomba benzema iendelee nitamu sana na tena Ina SoMo nzuri.
Mashaallah Sheila hongera sana sikujua kua bint nyoka ndio kazi yako ya kwanza ia hongera sana uliweza kmanakwamba uianza zaman❤❤more love guys
Uko vizuri sheila ❤
Hongera sana Sheila nakupenda from Kenya 🇰🇪
Hongera queen uko very smart
Sheila is always on top,, congratulations girl ❤️❤️❤️
Shaila I love you keep up the good job
Sheila much love from Kenya 🇰🇪🇰
Shaillah hakika we ni mrembo kweli so beautiful girl 🥰😍😍
❤❤❤❤❤❤❤nakupongeza sana dadaangu mungu azidi kukuongoza kwenye kazi yako
Shey shey we love keep it up good work 🎉🎉🎉
Sheila tunakupenda sana big up
I like it ,, umecheza vizur sana kwenye plan b
Aki nakupenda Sana shei shei napenda uigizaji wenu mkiwa n KP n zebuu
Nakupenda sana shail pamoja na timu yako❤❤❤
Wow kazi nzuri,nakuwatch nikiwa Kenya,Ila Ile ya filamu ya wamangushi
Kiukwer mmenifanya nikapenda maingizo yakitanzania mnajitahindia sanaaaaaaaaa ❤
Sheira mnafika hii anaiweza zaidi ❤nakuombea mazuri Sheira sema kuna mda unakuwa mnafiki mpaka me mwenyewe naumia ujue.
Nakupenda sana dadangu Sheila ❤❤❤❤
Hongera san sheila kazi zuri nakupenda natoka Kenya 🇰🇪
Hi sheila ninakuombea movies nyengine kali kama hizo nnakushukuru pamoja na akina kp na zeebuu
Nakupenda saana unaigizag vizurii,💓💓
Move nimzuri
Sheila wewe ni mtu wa mkoa gani mamy Hakika upo vizuri sana ike benzema ndio imenibambaa zaidi❤❤
Nakupenda shey shey ❤❤❤❤❤❤
Huyu Demu fundi sana nampenda Buree and she has beautiful smile.
she's super talented 😍
❤❤❤❤❤
❤❤You Know What I Love Her.
Tunakupenda sana mwenyezi mungu akubali
Sheila nakupeda ❤❤❤Sana you are a good teacher
Wamangushi yaaan hilo Jina mmetuachia kazn kwetu tumepeyana majina tunaitana m'mangushi jaman nawapenda sana❤️❤️❤️❤️💯
😊😊😊❤❤❤penda wewe beby girl kwanza last cord uuuuiiii umeicheza amazing sana 😊
I love you shaila😅😅 yaaan uko sawa daaa
Sheila umeuwa sana kweny plan b
Shakira pokeya hongera yako napenda San vitu vyako yes❤
Shaila napenda movie sako sana
Mungu akuzidishie( amin)🤗🤚✋✋✋✋✋✋ God bless you 🙏 ❤
Sheila ako n smile mwaah❤
Waoo sheila nakupenda ❤❤❤
Sheila niungani mm kw kuati sw❤❤❤❤❤❤❤❤❤
nilikua natamani uwe demu wangu mana nakupenda sana shela wangu
TIKSA LASITA JAMAN MM SHEY UJUE NAPENDA SANAA🎉🎉🎉
Nakupenda sana Sheila mungu akulinde muda wote
Kweli hudjadanganya kbx nilikukupenda mpakabasi❤❤❤💋
Sheila Mara ya kwanza kukuona ww nilikupenda sana we ni mlembo sana.Ila unavyo iigiza mama nilikuchukia kweli. We ni zaidi ya zaidi kabisa
Sheila much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu akuzidishie kipaji chako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love you Sheila namuomb mungu mafanikio yenu yawe makubwa l like this game,,, umetisha sana🎉🎉😅
Nakubali San dada mmoja Ivi anaye upiga mwingi San
Nakupenda Sheila huwa unavaa uhusika sana unaweza sana
Nakukubari sana dadangu unanipanga guvu sana🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupenda Sheila ❤❤❤❤
Sheira naikubali sana rasd kadi umetisha sana ongela sana
Saf sana sheela
Hongela sana Sheilla 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nakupenda Sana shaila 🥰🥰🤲
Nakupenda xana
Shaila Cheki ambia bosi agalia bezema sana ... Ni tamu
Nakupenda Sana dad sheira uko poa sana
Waoo hongera Sheila Kwa kazi nzuri ,pia sasa unapendeza
Uko viziri sana Sheila unatufundisha mambo mengi sana mm binafs I nomejifunza mengi sana jinsi ya kuishi
Shaila ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sheila mwanangu nakupenda sana
Napendasana maigizo Yako sheira unaweza nakupendasana
From kenya Sheila n supu
Sheila my favourite🥳
Nakupenda Sana shila naomba nambaya KP
Nakukubali sana Sheila uko vizuri kuigiza
Sheila jmn lv ♥️♥️♥️
Sheila anaweza kuwa na Roho mbaya
Napenda kazi Yako Sheila ila natamani kujua ww ni mtu wa wapi ❤
Safi ,mmhhhu mhhhu Kamuitikio kako tu
Nakupendaa xnaa mremboo
Hogela sana upo vizuri kwausiliazi
I like this game,,,wamaangushi uliipeperusha kabisaa
Sheilla Nakukubali sana ❤❤
Nakupenda Bure mostly last card and plan B
A,ww unatisha san sheila nakupenda kwl😍respect unawez kwl
Aki nakupenda sana Sheila, tafuta likoma,dibozi suraj
Pongezi sana Sheila, tunakupenda 🇰🇪
Shey shey namkubali kinoma yaaan maua yako hyo🎉🎉🎉🎉🎉
Kubwa la maaduu😂😂 nakupenda sana sheila

Sheila Mara ya kwanza kukuona ww nilikupenda sana we ni mlembo sana.
Ila unavyo iigiza mama nilikuchukia kweli. We ni zaidi ya zaidi kabisa
Sheila much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu akuzidishie kipaji chako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love you Sheila namuomb mungu mafanikio yenu yawe makubwa l like this game,,, umetisha sana🎉🎉😅
Nakubali San dada mmoja Ivi anaye upiga mwingi San
Nakupenda Sheila huwa unavaa uhusika sana unaweza sana
Nakukubari sana dadangu unanipanga guvu sana🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupenda Sheila ❤❤❤❤
Sheira naikubali sana rasd kadi umetisha sana ongela sana
Saf sana sheela
Hongela sana Sheilla
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nakupenda Sana shaila 🥰🥰🤲
Nakupenda xana
Shaila Cheki ambia bosi agalia
bezema sana ... Ni tamu