Ila ni aibu tuseme tu ukweli mmeshindwa kuitetea kwa hoja sasa nikuimba tu yaishe nikama tu walosema tuliwakuta baba zetu wakifanya hivi. Alhatimy yukowapi
Allah AWAONGOZE ktk haki wa fate njia sahihi walizo pita mtume na maswahaba wake bora mngekusanyika kuisoma Qur'an kidogo mngesema lina asili la kusoma Qur'an na wema walio tangulia wamesoma Qur'an
@@namelessnameless4868 KUMBE BADO UJAELEWA NDUGU YANGU KTK IMANI youtube SIO KTK DINI KINACHO KATAZWA KTK DINI KUWEKA ibada ambazo mtume hakuzifundisha namtume kashakataza kuzusha ktk dini inatakiwa tutosheke na mafundisho aliyo tufundisha mtume hii dini imekamilika ahiitajii kuzidisha wala kupunguza
@@wazirihamisi6484Hataa wewe unasema usichokielewa kaka naomba nijibu hili swali jingine je Mtume aliwahi kufanya mashindano ya kuhifadhi Qur-aan kama hapana je ni sahihi kufanyika? Naomba nijibu🤝
@@namelessnameless4868 NAAM JAMBO HILI KWA UPANDE WA MTUME NA MASWAHABA AWAKULIFANYA BAADHI YA WANACHUONI MFN KUHUSU KUSHINDANISHA QUR'AN BAADHI YAO WAMEONA KUA NI BIDAA UZUSHI BAADHI YA WENGINE WAMEONA INAFAA KWAKUA QUR.AN INA ASILI IMESOMWA NA MTUME MWENYEWE NA MASWAHABA ZAKE NA NINJIA YA KUWACHAJIHISHA WATU KUISOMA Qur'an nk lakini kuimba Qaswida tunazalisha wasanii na watu wengi wa maulidi angalia kichwani viduku wengi wao hata swala ni mtihani tunawaona sana mtaani
Wewrle kama hutaki mauridi siuji nyonge acha watu wa kfurahiye mtume mabaa kila siku yana funguliwa magesti kamisi pants rodi madawa yakulevya bangi makahaba hamsemi lolote ilauridi tu hapamana nyie mba ajenda yasiri
@@kilulamofi4948 mnaiga manasara kusheherekea krismas.....halafu kweny uislam dufu walipiga kina mama ....na vijakazi......kwan nyie ni kina mama au munafanana nao?????au mnafanana na manasara
Mashallah shekhe Koba mtu hatar
#Mkumbalu
From mtongan
MashaAllah ,MashaAllah
Hvi jamni huyu koba mnachukuliaje wenzangu❤❤❤❤
Mashallah mashallah habib.
Allh amjaze kheri daima
Sheikh koba mashallah sana
koba nakutambua mashallah
MashAllah
mashallah koba
Maashaallaah
Ila ni aibu tuseme tu ukweli mmeshindwa kuitetea kwa hoja sasa nikuimba tu yaishe nikama tu walosema tuliwakuta baba zetu wakifanya hivi. Alhatimy yukowapi
Koba wewe ni mtu hatari sana katika hii sanaa ya utungaji Qaswida, upo juu kwakaweli, unakipaji cha ajabu sana
Makafiri
Allah AWAONGOZE ktk haki wa fate njia sahihi walizo pita mtume na maswahaba wake bora mngekusanyika kuisoma Qur'an kidogo mngesema lina asili la kusoma Qur'an na wema walio tangulia wamesoma Qur'an
Wahabi kila kitu kupinga
Je Mtume alitumia TH-cam au simu kwa hiyo ni Bid'aa?
@@namelessnameless4868 KUMBE BADO UJAELEWA NDUGU YANGU KTK IMANI youtube SIO KTK DINI KINACHO KATAZWA KTK DINI KUWEKA ibada ambazo mtume hakuzifundisha namtume kashakataza kuzusha ktk dini inatakiwa tutosheke na mafundisho aliyo tufundisha mtume hii dini imekamilika ahiitajii kuzidisha wala kupunguza
@@wazirihamisi6484Hataa wewe unasema usichokielewa kaka naomba nijibu hili swali jingine je Mtume aliwahi kufanya mashindano ya kuhifadhi Qur-aan kama hapana je ni sahihi kufanyika? Naomba nijibu🤝
@@namelessnameless4868 NAAM JAMBO HILI KWA UPANDE WA MTUME NA MASWAHABA AWAKULIFANYA BAADHI YA WANACHUONI MFN KUHUSU KUSHINDANISHA QUR'AN BAADHI YAO WAMEONA KUA NI BIDAA UZUSHI BAADHI YA WENGINE WAMEONA INAFAA KWAKUA QUR.AN INA ASILI IMESOMWA NA MTUME MWENYEWE NA MASWAHABA ZAKE NA NINJIA YA KUWACHAJIHISHA WATU KUISOMA Qur'an nk lakini kuimba Qaswida tunazalisha wasanii na watu wengi wa maulidi angalia kichwani viduku wengi wao hata swala ni mtihani tunawaona sana mtaani
Nzuri sana hiyo imewachoma mawahabi ambao hawatak kumsifu mtume et ni bidaa huku wao wamefanya bidaa mbaya hatar ya kugawa Tawhid
Wewrle kama hutaki mauridi siuji nyonge acha watu wa kfurahiye mtume mabaa kila siku yana funguliwa magesti kamisi pants rodi madawa yakulevya bangi makahaba hamsemi lolote ilauridi tu hapamana nyie mba ajenda yasiri
Mashallah
Mtume alifanya ????au munatuletea mila za kikristo za happy badhdei
kweli kabisa 👍
Duh kama choir ya kanisani jamaa!
Hivi hii ni dini jamani??? Maswahaba walikuwa namna hii na mtume swalla llahu aleihi wasallam???!!!
Kwani ulivyo wewe ndo walivyo maswahaba na mtume wake (s.a.w)
So wew unajiona abuubakr Swidiq 😝😝
Allah AWAONGOZE ktk haki
Pia walikua hawakoment Wala kuingia TH-cam,, nashangaaa wew unakoment haupo ktk din kabisa
Usishangae mambo yakifanywa ma wenye dini
mnaimba kama kwaya kanisani jamani mbona dini mna ipeleka combo tobaaa
Nyamaza ww,unaelewa kinachoimbwa hapo au na ww ilimradi uonekane umesema.kama kitu huelewi si lazma ukurupuke,,,
@@issafumo2954 saw saw issa bora umwambie huy zuhura
Wacheni kufanya dini ni mchezo jamani!
Ukiacha wewe Tu inatosha tuacheni na michezo yetu na hatuachi 🥰
Mchezo kwako kama huu mchezo Na hatuachi kwa ajili ya mtume.
UMESHAAMBIWA NI BINGWA WA UZUSHI (KUBUNI) BIDAA !!
@@ayububakari9942 HAHAHAHAHAHAH
Allah AWAONGOZE ktk haki
Maulid sio bidah hila yale matwar ndio kosa kupga na ku cheza lkn ukisoma unatakiwa usome tu bla matwar nKucheza ndio bidah
Matwali Kapigiwa Mwenyewe Akiwa Hai Akusema Nibidaa.
Uliona alipopigiwa au ndo ushabiki tu
Maulidi Sio ibada Abadan ni Katika Mambo ya Bidaa Ktk dini na
Afanyi bidaa isipokuwa Kiumbe Mwovu
Sema kausha mwanetu
Yaaani huelew chochote kuhusu hz mambo
Daudi. Unamzuka. Hhhhhh
Hizi bidaa zitawaangusha mbola ya mola mtukufu.
We mwenyewe bidaa,au hujioni ulivyozuka tu.Jitu gan huna Mahabba na Mtume,au huelewi kinachosomwa hapo ?
Kwa hyo wanaume kabisa na ndevu zenu munaimba ....hahahaahahahaha taaatabu hiii......halafu mnasemanafata uislam..,kwaya
Wewe usipenda akisifiwa mtime muhammad moto walk
Moto niwako wewe unaepinga sifa zamtume
@@kilulamofi4948 mnaiga manasara kusheherekea krismas.....halafu kweny uislam dufu walipiga kina mama ....na vijakazi......kwan nyie ni kina mama au munafanana nao?????au mnafanana na manasara