Kwa hili la uraia kwa wachezaji wa Singida hapana shaka Mwigulu Mchemba anatumia Madaraka yake vibaya kwa maslahi yake binafsi na sio sawa hata kidogo. Jambo hili litatoka kunako mpira na kuingia kunako siasa na hali haitakuwa favorite kwa CCM kunako kuijibu hoja hii. Kupewa uraia mtu sio issue lakini je sheria husika imefuatwa kikamilifu??
Viongozi waSimba wanapenda kuCopy na KuPaste, wakiona wengine ndio wao wanajutokeza, miaka mingapi hawakuona hilo mpanga waone kutoka Singida Black star?