am in love with the family the brother and sister of isianunu ... the argue between this two brothers and sisters makes the drama interesting (Awinja and lil)
Aki SI kwa ubaya but Awinja is there anyone in your family that is normal😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Weuh aki hii nimekubali there is so much truth some of us can relate aki
When l see this episode it reminds me my culture ,thanks Awinja for bringing our culture and our traditional back. GOOD JOB OUR QUEEN FROM LUYIA LAND ❤❤❤
2:54 reminds me of how robbers attacked our neighbour and stripped him naked akafungwa Kando ya cowshed and he had a calf😅and the calf did the thing. Asubuhi after majirani kumsaidia instead ya kuvaa nguo alipiga ndama Hadi kakakufa, kuulizwa akasema "gakware gaka kanyongete m🌲 ûtukû mûgima" Mr nyamu is vibe buana😅
By the way sipendi vile comedians wanatuingilia aty saudi sio ng’ambo 😂😂😂😂 as long as niliingia ndege nikaona myselefu on the sea, kuna watu hawaongei Kiswahili na kizungu Yao ni vunjika vunjika, joto yao huhitaji kuni kupika githeri, wanakunywa chai na kahawa na joto iko 92 na 5:30am yao inakaa 12:30 pm ya kenya . Mimi hata muniambie nini najua niko majuu 😂😂
Na hivo ndo class imebounce.
Acha niende kwa nyumba niwatch Izianunu sasa.
Wapi like ya comrade jamani
Kama masomo ni suruali mimi sivaangi😂😂
Those who have been following from episode 1 to here.... can't get enough of this
Me too 😂😂
Definitely everyone who’s here has been following from episode 1 😂😂
Am getting disappointed as am completing this season 1.
Am addicted to this show tnataka season two na C tafadhali
Guys if you love awinja, lemmi see hearts 💜❤️ for her🎉🎉🎉she never disappoints 💯💯
❤❤❤
💙💙💙💙❤️💚
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Guys if you love awinja. lemmi see hearts ❤️💜 for her🎉🎉🎉🎉🎉 she nevey disappoints 💯
❤❤❤❤
huyu mkikuyu mlitoa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 best actor , this character its in him
I heard funda
I know right?😂😂😂
😂😂My best actor
Nyamu 😅😅😅
Nyamu 😂😂😂😂
Huyu inzianunu si atafika heaven kaa amechoka😅😅😅
😂😂😂😂vibaya sana
😂😂😂😂😂😂
Likes for my kienyeji.....'mimi sitaki kuenda Nairobi....bado ninasoma" show love guys...awinja to the world
"Bado ingali ninasoma...."
I love when Nyamu and Imbiru teams up😂😂😂😂
Hii ya leo nayo imeshika hadi kwa koo. Ni kali sana especially part ya BUTITA. WATU WA BUTITA PIGA LIKES!
Lovers of Awinja, DONT SKIP THE ADS, that is the best way to promote her.
Big love from Montréal 🇨🇦
Ok
The amount of time and finances spent to achieve this sio kidogo, congrats awinja , butita and the whole time
Where is the love for imbiru 😍😍
🐐🐐🐐
From USA
My guy that one.
❤❤❤
Kama masomo ni suruali yeye havaangi😂😂😂😂had me rolling out of my bed....
Fr😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lil imbiru ❤❤ this guy has us on chokehold 😂😂😂...here for all the episodes. Vihiga county to the world.
Don't I !😂😂
Marehemu alikua conman, mwizi , jangili period!!!! 😂😂
Thank you Jacky for bringing #Imbiru to the limelight...
He's a vibe 💕💕
IMBIRU 😂😂😂❤ Aki ya Nani . Acting yake, facial expressions, ziko on point. BRO AKO JUU🎉
Ati isianui kama angesoma hangekufa. 😂😂😂😂😂😂. Jameni
Wooi Lil Imbiru na Nyamu mnataka mwenzenu afanyiwe BJ na mbuzi😅
Mbuzi anyonye 😂😂😂
😂😂😂😂... Analia niutamu ama ni uchungu😂
Imbiru to the world,a very a good actor,we need to see him on our screens,,
Vile ulianguka kutoka heaven uliumia😅😅😅Mcoast mwenyewe 😂😂😂❤
Mnapea kambuzi maziwa gani aki 😂😂😂😂😂😂imbiru thunder go strike you 😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yogoyogo😅😅😅
Wakwanza leo kutoka taitataveta 006 nipeni likes zangu❤😂😂
Hoyeeee!!!
@@makumbo5pia ww niwakwetu
Mwasenda mana
Manato
Mi pia n wa huko bro😂😂😂 likes zetu tupewe
am in love with the family the brother and sister of isianunu ... the argue between this two brothers and sisters makes the drama interesting (Awinja and lil)
How do i convince people staring at me laughing uncontrorably am still sane?I blame the whole crew responsible for this!
Izianunu's childhood photos😭😂😂>>>
Imbiru amekataa kuheshimu mkufi,😂😂😂😂😂... Wednesday is now my favorite day.. ❤
That guy imburu is really talented
For sure... he stays in character kabisa. All the actors are tops though. Ni vile tumewazoea.
Sai Niko addicted Kwa disco matanga Na A nurse Toto. Kanyasiee from Vihiga
Huyu Kikuyu wetu 😂😂😂😂ameweza 😂😂😂😂naenda kulala Sasa
I have been waiting for this,, Awinja si uniadd kwa crew siko mbali na vihiga 🙂🙏. I love the show pia mm ni mmaragoli 😁 Kwanza Atsiaya
ungeenda kuomba kazi kwa screening day sio hapa kwa comments
Disco Matanga is a real addictive vibe. 😂😂 Likes za Isianunu zikuje.
😂😂😂huyu mzee is vibe
Woiyee Ishianunu,alitoroka kisu,hawafichi.
Aki SI kwa ubaya but Awinja is there anyone in your family that is normal😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Weuh aki hii nimekubali there is so much truth some of us can relate aki
Kama fan ya awinja from Burundi 🇧🇮 naombeni likes ❤. Mbunzi 😂😂
Huyu mkirinyaga ni moto sana
Imbiru ako personal na eulogy ya Izianunu 😂😂😂😂
Ju ya 5M yake... Si rahisi 😂😂😂😂
Very personal😂😂😂i love him
Shiundu amepewa bj na baby mbuzii😂😂😂
💀🤣🤣
😂😂😂
Eiiiiiiiiiiih 🔥🔥🔥 finally imefika 😂😂😂 lakini Awinja lately unatuweka saaana bana 😊😊😊next time harakisha ❤❤❤❤❤❤love it
Shooting this must be fun...look at the crew such a vibe
Awinjaaaa may God preserve you tuendelee kucheka💯
Confirmed by ambosh santoz vihiga rapstar awinja you deserve respect juu umetubeba kama waluhya
Nmefika mapema leo.....wapi makofi ya OUR OWN MARAGOLI QUEEN 👑 🥰😍
When l see this episode it reminds me my culture ,thanks Awinja for bringing our culture and our traditional back. GOOD JOB OUR QUEEN FROM LUYIA LAND ❤❤❤
Tutarogwa na hata hatujafika Nairobi 😂😂😂..#watchman😂😂😂😂🙌🙌🙌 Awinja please
Awinja naye hukua 🐐🤡🤩✅ wapi likes zake....
Wale wa Kakamega mkiss comment yangu😂😂🇰🇪❤
kakamega wapi
Nko ndani
@@treclineLurambi
Khuliho kama ifula
Vihiga chavakali😊
❤❤team strong Tumefika mapema Ramadhan kareem🎉🎉🎉
Saudi Arabia sio majuu was just loading 😂😂😂😂😂 Wacha nioshe vyombo vya waiguru
Nmemaliza kuosha vyombo sai booom naskia Saudi Arabia sio majuuu😂😂😂
😅😅😅saudi 🇸🇦 nimajuu awinja ustuletee😅😅
@@Wasynafylifestyle 🥹🤣🤣🤣🤣🤣
Me nko majuu hafral batin saudi ndanii@@centrinemuhele9429
We should reach this Channel to 500k 🎉 this Lady deserves the very best ❤ she's who she thinks she is 🙌❤❤❤
💯💯💯💯💯💯
Awinja the 🐐 GOAT herself ❤ content iko Na PHD 🎉
Imbiiru is a vibe❤❤❤
the tsianunu meeting with wife acting was on point.
Utaandika kimaragoli 😆😆😆 lil mbiruu you finished me
I want to be a sibling to this siblings ❤❤❤❤❤❤😂😂@awinja is doing great you are a gem God bless you
Tembea ama tukutembelee had me rolling on the ground😂😂😂😂
Nyamu has nailed it 🤣🤣🤣🤣 kikuyu well represented 👍👍🌹🌹
Aaaaaii, Awinja munwaaa. Oinganaa,😂😂😂😂😂😂😂😂, kazi nzuri saana. Naipenda.
😂😂😂😂😂😂 Awinja amefunga pesa na nguo za Siri 😅😅
Siwezi olekea ndugu ya awinja mimi😂😂😂😂😂😂
Imbiru 😅😅😅u are a real actor
Awinja! You are just on another level.Kudos girl❤❤
Hahahaha and just like that our acting queen Awinja has made Imbiru.
The way siblings will tetea each other hata wakiwa wanapigna😂😂😂
Awinja Saudi Arabia ni majuu 🤣🤣🤣🤣🤣 here I'm nawatch before kuanza kutengeneza sambusa na kusimama kwa Sin.
😂Laughing in the way that pleases the kitchen gurus
@@estherrose6228 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Nakuambia wacha tu, ukimaliza unarudi kuwatch round 2 unamaliza strss ya kitchen.
@@JudithWambani😂😂😂Mafi shughul
unasimama 5 hours kwa sink
Tuko mayuu😂😂😂😂
My vihiga people hoyeeee...chavakali,gambogi,majengo ,mbale🫣
Tuko hapa cheputulu ❤❤❤😂😂😂😂
Chavakali munoywa😊
😂😂😂😂😂😂 I want this matanga meetings to continue indefinitely, you are bringing so much laughter.
Mapema ndio best ....ndio kufika site na mambo iko sawa ...big up Awinja❤❤❤❤
I watched first episode yesterday... finished to the 7th episode in one sitting 😄😅was waiting for this one
Thanks Nyamwalo❤
Yaani Eulogy ya Izanunu ni ya nyanyake enyewe Nyamu nii nyamu😂😂😂
Awinja "you didn't have balls to tell him"😂😂😂😂 you will finish me one day haki😅😅😅😅
Hakuwa na mipira 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
The first mini series i have followed. Once again Awinja🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Always waiting to see the Ukuyu Guy, love his character..."fúnda wewe"
Lil mbiru is very talented guy 😂😂😂😂 nimecheka yangu yote😂😂😂
Awinja the screens were made for you girlllll🔥🔥
Angesoma hangekufa 🙆♂️
Lil mbiru na nyamu wamepatana funny guys😂😂😂ni ya nyama choma funda wewe😅
😂😂😂😂😂😂eeeei hapo Kwa mbuzi nimecheka mpaka sai nawheeze I can't breathe
:) Lil Mbiru ulikua umepotelea wapi? we need more of you.. rusha link zako zote apa we follow you, me, my family and friends
Izianunu alikua anapenda watu wakubwa yani gari kubwa😮😮
Our maragoli gal. Awinja dakhuyanza mno❤❤
Awinja keep it up kazi safl sana more love from vihiga kalmosi
HESHIMU MKUFU😂😂😂
Nipitieni jamani😂
Tumekuheshimu mkufu mtarajiwa😅😅😅
😂😂😂😂 nyamu very fany ati ecology ya nyanyako😮😮😮
Ati hakua na mipira ya kumwambia, "he didn't have balls to tell him" 😆
😂😂😂
This had me rolling 😂😂😂😂
Guts
😂😂😂😂aaah mtanimalizaa I wish Isianunu anaeza jidefend
follllowiiiing from kitengelaaaaaaaa masive
Angesoma hangekufa😅😅
This thing has entered me can't wait for the next episode 👍👍😍😍😍
I am your biggest fan from Uganda. You are GOAT Awinja. Love you.
Stars are aligning for Imbiru.
He is a great actor
Our blood to the world 🥰🥰🥰🌹🌹nakupenda @Awinja
Those who have been watching from episode 1 to 9 mnipe likes
I love when Imbiru and Nyamu team up😂😂they deliver tyeir role perfectly
2:54 reminds me of how robbers attacked our neighbour and stripped him naked akafungwa Kando ya cowshed and he had a calf😅and the calf did the thing. Asubuhi after majirani kumsaidia instead ya kuvaa nguo alipiga ndama Hadi kakakufa, kuulizwa akasema "gakware gaka kanyongete m🌲 ûtukû mûgima"
Mr nyamu is vibe buana😅
😂😂
@@StreetQuiz254 😂Bora usitranslate
😅😅😅😅😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣you should be a comedian
Nyamu and Lil mbiru you go kill me ooh😂😂😂😂😂mnaweka mbuzi inyonye what😅😅😅😅😅
today i feel to nko ingo, awinja thnks
😅😅😅😅mwenye alileta uyu nyamu😅😅😅😅😅.utanimaliza
Uliumia??
Azn venye ulianguka kutoka heaven uliskia uchungu😂😂
Hiyo pick up line ya Izianunu mazee🔥😂
😂😂😂😂😂wale wa ingo mko wapi😂😂😂😂...cant get enough of this
By the way sipendi vile comedians wanatuingilia aty saudi sio ng’ambo 😂😂😂😂 as long as niliingia ndege nikaona myselefu on the sea, kuna watu hawaongei Kiswahili na kizungu Yao ni vunjika vunjika, joto yao huhitaji kuni kupika githeri, wanakunywa chai na kahawa na joto iko 92 na 5:30am yao inakaa 12:30 pm ya kenya . Mimi hata muniambie nini najua niko majuu 😂😂
Ata mm 😂😂 Saudi hoyee
❤❤ aki I love this disco matanga
One love for our bby girl ❤❤❤❤❤ awinja to the world 🌎🌎
Aky awinja ...nakupenda Bure tu ...you always make my day ....my ribs zimechoka aky