WOOOOW SIJUI NISEME NINI! THANK YOU ! THANK YOU ALL FOR YOUR PATIENCE! I APPRECIATE YOUR FEEDBACK NA NAWAPENDA WOTE! SEE YOU ON WEDNESDAY AT 11am TUENDELEE❤️❤️❤️❤️
season 1 I watched back to back now on this with the same spirit 💃😍baba Musimbi amerudi arudishe zimirioni zitano za imbiru😂😂hii ni fire💥nywele ya farasi usipandishe mkhana wetu pureshaa😂😂😂kurakunyweka pashaaaaa
This series is on another level. Imagine getting all those people in production and by the end of the day you post your series in TH-cam where algorithms don't pay as much. ❤❤❤ Let's gather here and give Jacky Vike her flowers 🎉❤
Aloooooooo🎉🎉🎉january can never be the same anymore ...lets roll on this season 2 ..hamjaskia mwanamke wa nywele ya farasi nyinyi 😂😂😂😂😂shukran sana @Awinja for sorting us
All the way from 038vihiga it has been well represented 💯Kenya stand up here we goo along waited drama series is here let's show some love ❤🎉 @jackyvike you have shown us everything is possible tukitia bidii and consistent
WOOOOW SIJUI NISEME NINI! THANK YOU ! THANK YOU ALL FOR YOUR PATIENCE! I APPRECIATE YOUR FEEDBACK NA NAWAPENDA WOTE! SEE YOU ON WEDNESDAY AT 11am TUENDELEE❤️❤️❤️❤️
@@AwinjaNyamwalo Nilikuwa naomba pia kuwa featured in this Disko matanga staff. Naweza chapa acting. You might be my destiny Helper
New sub here
Finally ❤❤❤❤❤
Kwakuyanza kandiii😁😁😁
It's worth the wait. To many more.....
Wenye waliwatch season 1 yote na wanawatch season 2 gongeni likes tukisonga ndio nirudi nirewatch tena, big up luhya gal.
❤❤
Tumegonga
Naeza pata aje season1 na 2?iko youtube yote
@@shukrimusa528 Yeah yote iko TH-cam just tafuta Disco matanga season 1 by Awinja Nyamwalo
@@lutuhcaptain98 Yes bro, lazima nirewatch again and again.
"Ningekulamba hio vumbi iko kwa uso yako, lakini naogopa kuongea matope! " GOLD!
nimekuja huku kuona kama kuna mtu amesikia hio line 😂😂😂
Im left wondering how Awinja manages to mobilize a whole village for such a script. Goated!!
Same 😂
Educate a girl child and the whole village shall benefit.Congratulations to girl Awinja.
😍😍😍😍😍
Have been following disco matanga but nobody have ever liked my comment 🥰🥰🥰 l love you Awinja Our queen 👑
I love you too🤗❤️
@@AwinjaNyamwalo is lift yo chavakali😂😂😂😂 we you really made my day na huyo mzungu haki nakupenda ❤
Awinja I love you so much and you team
@AwinjaNyamwalo good work❤
Nipitieni niwapitie tugrow pamajo
Finally Awinja umecheza kiwewe😊😊if ulikuwa unangoja season 2 nipe like❤️
Kumbe the Papa shiradura's girl was to become the greatest amongst all...heko
Since I started watching this show ata like Moja sjaget
Si mnishtue nifuraie akie 😢
❤
Finally nimefika....I had to watch Episodes zote za season 1 ndio nikuje season 2 bila confusion...😂😅imeninice so far
Hii line it's underrated ningekulamba vumbi iko kwa uso wako lakini naogopa kuongea matope 😂😂😂 huyu mwanamke ako level yake buana 😂😂😂❤
Haina comeback 😅
😂😂😂😂😂hapo ilinikuta off guard 😂
Kali sana hio line😂
Nimedhani ni mimi tu nimepata iyo part hahahaha, got me dead
@@raphael8021 tuko wengi bro😂😂
Maragoli are here?.. tap tukisonga.. show love to this lady
❤
@awinjaNyamwalo.. nakupenda
Proud of our own❤
Tukomo ndani
Tena wa Mbale
"Ningekulamba hiyo vumbi iko Kwa uso yako lakini naogopa kuongea matope😂"
Mkhana si uko na mnyambuliko WA vitenzi yooooh❤
😁😁 Sururu si Ndondondo
@@AwinjaNyamwalo Best female Comedian, with brains. Huyu ndiye mama Lao
Hii lazima ishike Kama Moto was pass let's go together unapost tunaangukia💪💪🤣🤣@@AwinjaNyamwalo
Maragoli tukomo..Good job mkanitu Awinja
Tupitiane guys
Watu wa murima pia tunakupenda sana awish ❤
season 1 I watched back to back now on this with the same spirit 💃😍baba Musimbi amerudi arudishe zimirioni zitano za imbiru😂😂hii ni fire💥nywele ya farasi usipandishe mkhana wetu pureshaa😂😂😂kurakunyweka pashaaaaa
Wangapi wanakubaliana na mimi awinja ndio amebeba waluhya wote waluhya tuko mbele buana nani anapinga weka☑️kama unamkubali awinja❤
😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
@@AwinjaNyamwalo ni ukweli imudungu girl. Umetubeba hadi Bryce one
❤❤❤❤
Small girl with big God nakupenda awinja
This series is on another level.
Imagine getting all those people in production and by the end of the day you post your series in TH-cam where algorithms don't pay as much.
❤❤❤
Let's gather here and give Jacky Vike her flowers 🎉❤
We uoni akipiga advert we anakafunga
Thus ladybug as genius buana😊😊😊
Absolutely it's on another level
Ooooh! It's finally out, you don't have any idea how much I missed this girl, good job...nipeni ata 10 likes please 🙏
this is what we have been waiting for in KENYA
Thanks Awinja for showcasing our real Luhya culture,lazima hao homie wa Nai waonje tambiko.
Niko hapa kutokea tanzania ❤❤one love awinja 😂😂😂unanibamba ile mbaya
Who else is here for season 2 after following the whole of season 1,,i can't wait for this 😂😂🥰😘
Me🤚
Whi else is watching and reading the comments at the smae time 😅😅😅😅.
Awinjaaa you got me rolling 😂😂😂😂😂😂
Me😅😅😅😂
Me
Haha ndaaaani
That's our daily routine
This should be in Netflix... otherwise ni deadly 💯💯
Kuna mtu aliachwa apa uko kwa comrades 😅😂😂enways much love our maragoli gal
From Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tuko pamoja
Asanteni sana my people😊
Karibu jirani
Unaelewa kiluhya kweli 😅
6:40 " ningekulamba hiyo vumbi iko kwa uso yako ni venye naogopa kuongea matope"😂😂😂😂😂😂ah!!!!awinja shuallly 😅😅😅😂😂
😂 na asha ongea matope
@chrispinekanaiza6403 😅😅niambie sasa angelamba hiyo vumbi??kwisha
😂😂😂
Na kun’goa matuta ya real housewife of Vihiga!nimeisha kapsaaaaa😂
The exact time I'm watching that part 😂
Aloooooooo🎉🎉🎉january can never be the same anymore ...lets roll on this season 2 ..hamjaskia mwanamke wa nywele ya farasi nyinyi 😂😂😂😂😂shukran sana @Awinja for sorting us
😂😂Ati ningekulamba iyo vumbi kwa uso lakini naogopa kuongea matope😂😂😭
Mkuru also imvolved in the story through his iconical Terms"kula pause","timing ya God" and the Rest. 😅😅😅 @ awinja@mkuru@butita@nickkwach@yycomedian
Ati ungemlamba hio vumbi iko kwa uso ni vile hutaki kuongea matope! Kali sana
Awinja uwa ahead of time.hiyo script na hii abduction inaendelea iko same.mcosti aliabdactiwa na disco matanga
Favorite part "ningekutowa hizo matuta mojamoja ,nvenye sitaki kuongea matope"😂😂na ashasema matope😂😂
See how you started season 2 at the exact point where we left it 👌👌👌very Demure. Woii ka supa drum ketu😂😂😂
Imekua top notch. Hii inafaa iwekwe netflix
Nimechomwa na chai vile mlikuwa mnqtakaa🤣🤣🤣🤣
This is fireeeeeee
😂😂😂😂😂
Wont Stop Will Never stop being a Fan of Awish..This is a Masterpiece ..Lets show Love to Awinja and the Team💌💌
Team strong pita na ✅ huku.. I may look cool but deep down namiss kurukia kwa dirisha kwenda disco matanga😂😂😂😂I miss vihiga buana
Yengo ni yengo😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂nakuon wabanga mitungii kukidari alafu unatorok
@@MobileZone-pv9nt rekaza 😹😹😹😹ridiku rinde nikapata dirisha imefungwa na ndani 😹😹😹😹ndagona muriboma rie zingombe buana 😹😹
😂😂namahuwaa
@@RelixHunter-y6o 😹😹😹😹
Kipindi kirahi sana❤
Nimechelewa yaaaa...I'd passed by home shemeji during shoot....wapi lyks
You are so unique awinja our own, the luhya community and the entire Kenya are proud of you, congratulations, keep going
Wenye tulikua huku before wapost like hapa ndio nirudi baadaye tena😊😊can't wait for next episode 🔥🔥🔥
Tupatane next week Wednesday saa tano😁
@@AwinjaNyamwaloenjoying from Cameroon 🇨🇲
@AwinjaNyamwalo baas
wapi likes za mafans wa flaqo the detective😜💯💙💙
Kabisaa💯Episode yake inacome soon😁
🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🎉😂😂
@@AwinjaNyamwaloEagerly waiting
Kilimani gang for me dudes be talking about smashing chiqs
@@mbakarodgers8403 🎆🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😅😀
But hyo n acting
The Queen herself..Big Love Awinja ...nayonayo season 2
I'm in love with this series didn't wait to watch it... Asante sana for the efforts let's keep going @Awinja
Awinja you are who you think you are❤
I love Awinja vaaneeee ❤❤❤ wenye tulikuwa tumengoja season 2 let's enjoi
Na mutaleta Bakari siku gani😂😂😂🎉🎉
Am skeptical when it comes to Kenyan films...but this 1 kept me glued..it was perfect and also all the hilarious actors in one set...its 10/10.🎉🎉🎉🎉❤
It's really beautiful how awinja brought all the people together.
I just love you.
Finally time yakuduka
Finally,last year I searched season 2 a million times😢anyway like tukisonga
Kwani mimi huwa hamunioni hapa.mnipee likess ata leo
❤
Sasa likes una fanyia nini si uangalie ubambike. Awinja is top notch she is a gem
Finally our Awinja is back with our disco matanga ❤,,,,,, wish you knew how I've been waiting for the vol 2 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We can't wait for episode 2 kama kipindi ya tv
Awinja is such a gem .
Aty ningekulamba hiyo vumbi iko kwa uso 😂😂😂
Akaongeza akasema hataki kuongea matope juu ya kulamba vumbi😅😅😅
Si mnipee likes😛..a singoo meru Genzzz-loving Luhya vaibu🎊🔥😂
This séries are hot🎉🎉🎉🎉 nipitieni guys pale kwangu youtube muone vile Mwalimu amepiga mtoto kaa ubwa juu ya sch fees 🎉🎉
The series ' is' not 'are'
finally the wait is over🎉❤I love our girl ❤❤
Nimewatch Season 1 the whole night na sasa nimeshfika hapa, this is really good content aki.
Awinja i really love this and iko glued to the end.
Kibe the bull loves disco matanga, I hope he will feature in one episode..
😂😂😂
😂😂😂😂
Thanks Awinja for starting the year at this pace.Top notch and proudly Kenyan.🇰🇪🇰🇪
You’re welcome. To many more💯
😂😂ati Awinja anaogopa kuongea matope😂😂🔥🔥
Nimewatch from season 1 episode 1-10 hadi season 2 na siku moja,eeii,nimecheka yangu yote😂😂😂so interesting 🎉
Mbona Naona episode one pekee
Episode 2 Hadi next week Wednesday
Kikuyu here we support this talent I like the actor
My love for Nyamu is top most 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maragolians let's gather here..... Kusandiza ........
Tuseme tu awinja ndio director wa hii kipindi ❤❤❤❤❤ this girl 🔥🔥🔥🔥💕💕💕❤️
Our queen on it again 🥰🥰 much love @Awinja ❤
Wachaneni na Marehumu He Has Just Risen 😂😂😂😂😂😂 Uweeeh!
Njugush pia awekwe kama cast😂
Walai😅
Plus mkurungezi Abel
Heri tuweke kazi Kando Kwanza tuwatch hii❤
Mbna wasee hawaoni this pure talent 😍omukhana wefu awinja deserve love ❤️
Much love girl keep shining put God first and trust the process❤❤❤❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
All the way from 038vihiga it has been well represented 💯Kenya stand up here we goo along waited drama series is here let's show some love ❤🎉 @jackyvike you have shown us everything is possible tukitia bidii and consistent
Kabisaa💯Thank you😊
Come backs za awinja nazo hukua zimeenda group of schools😂😂
Aaah jamani!😂😂😂
Aaah simu ikata moto niambie kunaendaje
Disco matanga is very na nice 👍🎉🎉
Thank you😊
I love Awinja. Creative, funny...aih. nimekuwa nikishangaa hawa watu unapikia daily kwani....kumbe ilikuwa iivane hivi...good job
Mumenipeleka ushago kabisa, kudos Awinja for the good work khandi.
Atleast Odoo ya Awinja unaeza watch yote😂😂
Nko locked from nyeri disco kma Kawa kama dawa
I love it😁
Yaani nawatch sai Disco Matanga S2 alafu Niko na exams 😅😅
Tuko pamoja Monday we shall conquer
Venye nimengoja karibu waiguru aninyanganye simu aki .. couldn't hve waited to finish work niwatch. See you on Wednesday
The long wait is finally over..hoyeee! Camping here..awinja and team incredible job!!!❤
Tunaongea vitu za maana superdrummy😂, nitakusukuma ubingirike mpaka mtoni🤣🤣🤣
😂
Ikifika trending mniamshe na likes
We are trending at no 7
We are trending at no 1 hamka buda😂
We are trending at #2...
Amkaaaaaaaaaaa 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
hii ndio disco matanga kibet bull aliamkia😆
😂😂😂
Hahaha the comment I was looking for😂😂
Me too😹😹
Yaani nimechelewesha kuwatch ndio episode 2 isikuwe mbali sana, timing ya God huwa perfect iyo ingine maridadi wachana nayo
I just love awinja 😂😂😂my girl has been waiting season two ju season one aliwatch yote😂and mark you she is 8 yrs❤
Watu wali kumbuka kukimbia from where they stopped😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
😂😂😂
Mcost amekufa na anakuja disco matanga 😅😅😅 enyewe hii n disco matanga
Disco Matanga yenyewe😁😂
@AwinjaNyamwalo hii ifike episode 200 kitu tamu kazi safi sana ❤️❤️❤️❤️
😂😂😂😂😂alikuj kujizika
Nilikuwa nangoja sana this season Awinja my sister next season uniivite pia mimi 😂😂❤❤❤
The wait is over🥳
One of our own napenda sana❤
Aki si awinja afanye mpango tukue tunamuwatch either in of popular tv station ,,her production are lit ,,am sure anapea jiffy pictures a challenge😊
The creativity 👌
Team Jackie vike gather here ❤❤❤
Mimi nimeskip iyo AD ya awinja staki mambo ya odoo sai odoo ingoje after nimewatch😂
😂😂😂😂😂
Kama sii odoo hatungepata disco matanga 2😂😂 imesaidia pesa ya cast😂
So how will she earn from her hard work?
Taaambiko lazima
❤PAPA SHIRANDULA WAS A GREAT MENTOR. FOLLOWING.
Finally......this pep never dissapoints waiting for the next🔥🔥🔥
@Awinja nyamwalo wakisii tukae wapi sasa😂❤