Good job, the zabron singers 👨🎤. Japhet's voice does not disappoint 👏 🙌. Your voice is what to watch for. Unatangaza injili ya kweli kabisa. I love it 😀 😍 like it. You go my friend. Niko hapa Uengerezani nasikia Sauti yako kwa umbali. ❤😂😮😅😢🎉🎉😅😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
This song has come on the right time am trusting God for breakthrough over my business. i connect my self with this song may all that he has written for me come to pass. AMEN
Blessed be father Clarissa, may God grant you a long life and may we continue to be blessed by your songs. And whoever is reading this comment, may God bless you too 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Inspiring song, more especially to youths, we should keep pushing to make ends meet though the the end looks bleak. Don't ever look down on others, God is there watching.😊😊
Wakenya najua mko huku,,,much love ❤️❤️❤️
Tukakosa kwingine lakini sio kwa zabron singers
Tunapita tu
Oooh, my people wakenya tuko mercy
Tunakosaje😂😂😂
Ukienda wapy na huku ni nyumbani@@mercyatieno6886
Wimbo mzur sana tuliopenda huu wimbo tujuane weka like
The song came at the right tine, Amen Japhet
❤❤❤🎉🎉🎉 Keep it up be blessed,(The song bless me)
Ubarikiwe sana Japhet you're the best singer ❤️
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ feeling blessed
Good bless you Japheth 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo zako hunitia moyo na kuniinua kila ninapohisi kushindwa, barikiwa sana ndugu yetu kutoka Kenya 🇰🇪 twakupenda❤
Good job, the zabron singers 👨🎤. Japhet's voice does not disappoint 👏 🙌. Your voice is what to watch for. Unatangaza injili ya kweli kabisa. I love it 😀 😍 like it. You go my friend. Niko hapa Uengerezani nasikia Sauti yako kwa umbali. ❤😂😮😅😢🎉🎉😅😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mungu hawabariki kwa nyimbo zuri sana❤🙏🙏🙏
Blessing song 🎵 🙌 🎉🎉🎉❤❤
🙏🙏🙏🙏 mungu aiinue kibali yako zaidi
I don't get tired listening 🎧 to this beautiful song.
Nice song hope next ni ya kwaya mzima mwenye anakubaliana nami aweke like tukisonga
This song has come on the right time am trusting God for breakthrough over my business. i connect my self with this song may all that he has written for me come to pass. AMEN
Love your songs Japhet ❤ from Haiti
GREAT GRACE BE WITH YOU IN JESUS MIGHTY NAME AMEN.🇩🇪
Wimbo mzuri,,, Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪 ❤️❤️❤️❤️
I always get blessed from Zabron singers. Good job
The way i love your songs,, much love from Kenya,, you're doing great job big up brother
Waliorudia mara kumi zaidi kama Mimi. Ngonga like 💪💪
Nice song brother 🎉
AMEN 🙌🙌🙌🙌
Kazi nzuri❤❤❤❤ kweli kabisa Yote yatujiayo maishani Mungu alikwisha kutuandikia ubarikiwe
Kaa unaamini wee ni tajiri kwa ulimwengu wa kiroho gonga hapa 👍
Waooo!! Nmefeal bless sana kuisikiliza ujumbe wa wimbo huu,, ubarikiwe sanaa mtumishi wa MUNGU
Be blessed my broo👏👏 omukaya getegete ❤️
Much love from Mwanza......
Mungu AKUBARIKI
Ubarikiwe kwa wimbo mtamu
Hey Japhet Zabron... thanks for the good vibes here from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 I love your worship
huu wimbo kablaa hata hujatoka ulikuwa tayari umeshanibariki
Mungu akuongoze katika huduma hiii
Wabeja sana💪❤
Melody ya kipekee sana ,Sema nini kisa sina🎉🎉
Wow 😲 wimbo mzuri sana mtumishi nabarikiwa San na nyimbo zako Mungu akuinue zaidi
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri🙏Mungu akubariki, azidi kukuinua hata katika viwango vya juu zaidi🙏
Hakika naishi kwa nguvu za Mungu
Yes, God grants it all...
Thanks for this songs 🙏
From Nakuru, Kenya well presented
❤❤❤❤❤❤❤ ubarikiweeeeee
Huu wimbo Ume ni Bariki Kabisaa 💯💯💯💯✅ Barikiwa Sana Mtumishi 🙏🙏 wa Mungu Japheth Zabron Mimi ni shabiki Wako kutoka Kenya 🇰🇪
Mungu azidi kukuweka Mr🤝kazi nzuri kama ilivyo desturi yako kutuletea vitu vizuri🤗
Upcoming guys mutupitie , together we can ❤much love from Kenya
Blessed be father Clarissa, may God grant you a long life and may we continue to be blessed by your songs. And whoever is reading this comment, may God bless you too 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sjachelewa sana 🙏
🕊️❤️Si mzembe kweli. ❤️🕊️blessings.
Onee love from conakry 🇬🇳
Kazi safi mtumishi wa Mungu
Hiki ni kizazi teule, Cha Mungu hata shetani analijua Hilo ndoo maana Yuko mbali nasi🎉🎉🎉
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daah ety nndio haupo duniani
Wa kwanza kuja nipeni like zangu, kazi nzuri as always Japhet
I love it 💓💓 wakenya mpo?
Right From NEWYORK, USA 🇺🇸
Tuweke likes kwa hii comment ❤
wow ❤❤
Kaa unaamini sema Amen
Wimbo mzuri mno,"nakujua baba hujawahi shindwa na lolote" am very much blessed 🇰🇪🇰🇪
Saf kbsa nzuri san
Wow, kweli una kipawa ndugu yetu...Usanii wa hali ya juu... Barikiwa zaidi unapotubariki... Hongera 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimebarikiwa sana bro❤❤
Mzuri sana nimeupenda ❤❤❤
Hongeraaa sana mtumishi wa JEHOVA,
Nice song mungu akubaliki kwa ujumbe mzurii 🎉🎉🎉
Be blessed Mr japhet I'm from kenya nice song God bless you and we love you all pass our greatings to your group🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉WIMBO MZURI SANA NIMEIPENDA VIDEO
Keep going bro❤
May God bless you 🇨🇩mwimbo nzuri kaka Japhet
God never disappoint..His time is the best
Roho wa Mungu awe nawe siku zote mtumishi wa Mungu.
Mr japhet Be blessed kaz nzuri
We cherish you Japheth pamoja na wenzako wote kikundi cha Zabron singers.
Pure love from Kenya 🇰🇪
Inspiring song, more especially to youths, we should keep pushing to make ends meet though the the end looks bleak. Don't ever look down on others, God is there watching.😊😊
❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sio muvivu wa ibada wa ya kazi za dunia❤❤❤
ubarikiwe sana umenibariki sana huuwimbo hatari umeningusa moyo wangu
Msanii wangu bora ,nyimbo nzuri sana
Nice song 🇰🇪🇰🇪we love u Japheth zabron
Much love🎉🎉from kenya
Acha mola akuinue zaidi na zaidi mtumishi mimi naomba siku moja tufanye wimbo kwa pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baraka tele🎉🎉🎉
❤❤🔥🔥🔥
🎉🎉🎉
🔥🔥🔥❤
Amen usinicheke kisa sina kesho yangu aijuae ni Mungu ❤
Ata kama sina
Ameen umetia moyo sana
One thing have learnt in this world is to stay humble poor or rich❤❤❤
Wimbo wenye ujumbe maalum 🫡🫡🫡💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Nice song God defense you Japhet Zabron we wish you all the best forever and ever!!
This song is on another level
MUNGU FUNDI mwl japheee umeua akii🔥
Wimbo nzuri sana pongezi Kenya tunawapenda sana
Nice song 🎉
Kazi nzuri sana bro tubarikiwe na wimbo unao tiya moyo sana wakati sahihi ukifika utanibariki❤
Wimbo mzuri sana mpendwa wangu mungu wa binguni akubariki ❤🙏
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤nipenii likes
Wimbo ni mzuri ila tumezoea kuwaona wote mkiimba pamoja!
Aller de l'avant mon grand frère
Alishaniandikiaa I will receive it I believe in him 🥰🥰
✨Naishi~LTM MUSIC✨
th-cam.com/video/4AyHSjochHc/w-d-xo.htmlsi=oBQDs-VzYZCk95hJ
Wa congo mani je muko
Great project aki more blessings
Nice nice 🎉🎉🎉🎉🎉