MBWADUKE: DUH! YANGA HII BALAA/ SIKIA JINSI ILIVYOWAUA SIMBA KIBABE/ MAXI, PACOME...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

ความคิดเห็น • 122

  • @user-pn1vn2fp6c
    @user-pn1vn2fp6c หลายเดือนก่อน +18

    Wa kwanza ni mm from 🇰🇪 nipeni like Zang

    • @npiperito19
      @npiperito19 หลายเดือนก่อน

      Izo like munazo ziomba uwa munafanya nini ❓

  • @user-qr2rs5lu8k
    @user-qr2rs5lu8k หลายเดือนก่อน +3

    Yanga vs Simba sio Dabu tena.DABI KUU NCHINI HIVI SASA NI YANGA vs AZAM

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 หลายเดือนก่อน +5

    Kevin hakuwa na possession ya mpira. Refa yuko sahihi.

  • @YusuphLihumbo-lu7ru
    @YusuphLihumbo-lu7ru หลายเดือนก่อน

    Etisha🎉🎉

  • @user-hs1yn1en7k
    @user-hs1yn1en7k หลายเดือนก่อน +5

    Najua simba hawapendi uchambuzi huu hasa kwa siku ya leo

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa si shabiki wa mpira kama usipoutaka uchambuzi

  • @colonelmustafa7213
    @colonelmustafa7213 หลายเดือนก่อน +1

    Simba tumefungwa mara 3 mfululizo na YANGA,wametuzidi mbinu .. end of story .

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      Kolo mwenye akili wewe.. subiri matusi toka kwa machawa mf gb64,k mziwanda, pasi milioni, kisugu

  • @Sadun01-ev9qc
    @Sadun01-ev9qc หลายเดือนก่อน +1

    Hata hivyo magoli ni 2. Hakuwa hakuotea

  • @kareemdelwary2139
    @kareemdelwary2139 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba msaada Kuna mtu nimebeti nae hapa mkono ukizidi unahesabika ni offside au hapana

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Sio mkono tu yaani hata ikizidi kucha au pua ni offside

    • @erastojacob17
      @erastojacob17 หลายเดือนก่อน

      we mwehu

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 หลายเดือนก่อน

      Mkono ukizidi siyo off side kwa sababu mkono si kiungo cha mwili kinachoruhusiwa kugusa au kucheza mpira. Ndiyo maana mchezaji alishika mpira ni kosa la adhabu!

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 หลายเดือนก่อน

      Mkono hauesabiki katika offside, Kwa sababu mkono hautumiki au hauwwzi kufunga bao, ila kitu kingine chochote kinachoweza kufunga mfano tako, kichwa , mguu, bega, goti vinahesabika katika offside

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa huwezi kupata ushindi hadi mkono wa refa utumike utashinda maisha ndani lakini nje huna safari

  • @ahmedmatiko8011
    @ahmedmatiko8011 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubari sana chambuzi langu bora

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 หลายเดือนก่อน +1

    Allaah Akbar

  • @joelkamanda1013
    @joelkamanda1013 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Simba bado inajenga timu,Yanga inajenga timu mara 2 zaidi.

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 หลายเดือนก่อน +2

    Ni DEBORAH Tuwe tunaelewana mjue

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe หลายเดือนก่อน +3

    Haya Mwijaku akabidhi mke kwa Ali Kamwe 😂😂😂😂😂

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 หลายเดือนก่อน +1

    Ya azizi key penalty mbn hanuiyongelei

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน +1

    Ila Yanga ni DUBWANA KUBWA SANA saivi.
    Yaani kufa lazime tu ufe ila kuna kila aina ya vifo.. #YANGA

  • @saidmailo8491
    @saidmailo8491 หลายเดือนก่อน

    Goli la kiufundi na paka kagongwa

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 หลายเดือนก่อน +2

    😢penati ya kwanza iliyokataliwa je msizime data kama hamkuiyons 😂😂😂😂😂

    • @charlesSomeke
      @charlesSomeke หลายเดือนก่อน +1

      Na Gori la azizi k

  • @LuganoMwakalasya-dj4hj
    @LuganoMwakalasya-dj4hj หลายเดือนก่อน +1

    Mbwaduke mwambie mwijaku mke wake amkabidhi ali kamwe kama alivyoahidi

  • @erastojacob17
    @erastojacob17 หลายเดือนก่อน +1

    hata Aziz ki alinyimwa Penalty

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 หลายเดือนก่อน +2

    Na foul alizomeza kipenga simba je 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-xi9wq2em7e
    @user-xi9wq2em7e หลายเดือนก่อน +2

    Kwani yanga hawatazidi kuunganisha kikosi Chao?

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน +1

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @Sadun01-ev9qc
    @Sadun01-ev9qc หลายเดือนก่อน

    Yanga haiwezekani. Yanga kubwa

  • @jumaomar8419
    @jumaomar8419 หลายเดือนก่อน

    Yanga wamepoteza magoli mengi kiaa nini,sam simba kbla ya jana alisema mwamuzi sio mziri anaonama.sana. Yanga

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe hiyo ni Darby, simba walikaza tuu

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania upande wa ma referee bado sana atuna kabisa yaan

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb หลายเดือนก่อน

      Kweli goli la aziz k ni wazi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana hakuna referee hata moja afcon/caf matches toka tanzania..watabakia kuwa referees wa tff..

  • @BenjaminiMalipesa
    @BenjaminiMalipesa หลายเดือนก่อน +1

    Simba bado mm ni yanga lkn nimeangalia mpira Simba ilocheza Jana si Simba yakina chama hii bado Kwanza haieleweki wanajitahidi ila shida ni moja pale wamesajili wachezaji wengi ambao viwango ni vidogo Sana ktk ligi yetu hawakidhi viwango ktk timu ya simba

    • @DivineloveMsangi
      @DivineloveMsangi หลายเดือนก่อน

      Kati ya watu awajui mpira ni wewe

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 หลายเดือนก่อน +5

    Makolo Huwa ni wajinga kweli yaani mnataka awapongeze nyie wakati mmefungwa!

  • @eliasmosses7210
    @eliasmosses7210 หลายเดือนก่อน

    Unachambua vzr lkn wew ni yanga

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kambi walitakiwa waweke siku ngapi? Tuseme tu Yanga ni bora sasa hivi. Wanaweza kupewa muda, na wasibadilike. Kwenye usajili, kila mchezaji ni mzuri.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 หลายเดือนก่อน +24

    Rama usiwe mchwara na wewe, huwezi kupata penalty wakati hapo kabla ya Hilo tukio la Boka huoni mshambuliaji wa Simba kufanya ngazi Kwa Jobu? Hiyo ni faul na isingefika kwenye tukio la Boka, acheni uchambuzi uchwara, Huwa mnajitahidi kubalance story! Lakini Yanga itawanyoosha sana tu.

    • @jorento
      @jorento หลายเดือนก่อน +3

      Hamna ngazi yoyote hapo... Kikubwa na sisi tumenyimwa magoli yetu..

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 หลายเดือนก่อน

      Kiufupi mwamuzi mchezo ulimpalia

    • @abdul.mahighway
      @abdul.mahighway หลายเดือนก่อน +3

      Ukiangalia vizuri mchezahi wa simba hakutikea mbele ya ule mguu ulio nyonshwa wakati boka ana jarib kuhamisha! Mchezahi wa simba katokea pembeni ! Wa tukio ! Ingekua ule mguu angeu Meufesi basi ingekua penat zahir

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Ivi unaakili kweli humo tumboni maana mtu timamu asingeandika ivi coz mpira ni mchezo wa wazi hebu muwe mwaacha kukaza fuvu kwa vitu vinavyoonekana hapo wewe ndo watafuta kubalance story Ile ni penalty dhahri kwa kwa mchezaji wa Simba alikuwa wa kwanza kuucheza mpira na yule beki wenu alicheza miguu ya mchezaji ila all in all hongereni watani hata ingekuwaje ni lazima mtu afe coz mechi ya jana haikuwa inahitaji droo lazima jitu life so KONGORE kwenu

    • @DorahAlbert-eb9zv
      @DorahAlbert-eb9zv หลายเดือนก่อน +1

      Yako magoli 8mliyokuwa mnajitapa kuifunga Simba!? Wachezaji wenu ni wale wale sisi kikosi kipya,mbona kipindi Cha kwanza mlipaki basi😂😂😂,tunakoelekea nyie wajinga mtaliw machozi ya damu,wachezaji wetu wapya wameshawasoma vzr

  • @williamkabulwa9106
    @williamkabulwa9106 หลายเดือนก่อน

    Simba wamezidiwa na mbinu za Gamondi

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 หลายเดือนก่อน

    Itoshe kusema Wa Champions league wenyewe kwa Wenyewe na wa Washirikisho wenyewe kwa wenyewe

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt หลายเดือนก่อน

    Wanasema Wewe huogopi au Nyie hamuogopi

  • @user-ty9yg8fg9g
    @user-ty9yg8fg9g หลายเดือนก่อน

    Furaha yenu ni simba day tuu
    Mengineyo ni kusikiliza vichekesho vya semaji wao hadithi ile ile uongo ule ule kusifia kule kule kuaminishwa kule kule
    Kaaaaazi kweli kweli

  • @jumaomar8419
    @jumaomar8419 หลายเดือนก่อน

    Mkubwa mkubwa tu lkn Simba wako vizuri watafika mbali ktk ligi kii

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf หลายเดือนก่อน

    Hatuon uchanbuz wa azam tunaona wa simba na yanga tu

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf หลายเดือนก่อน

    Tuchamnbulie na azam fc

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuharibu majina ya watu ....Anaitwa Debora

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 หลายเดือนก่อน

    Mbona gor la Pacome ukulizungumzia

  • @hajiyusuf3837
    @hajiyusuf3837 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwaduke mnyama😂

    • @jumannemwakalinga2586
      @jumannemwakalinga2586 หลายเดือนก่อน

      Mbwaduke umeanza kwenda nje wewe, changamoto ni waamuzi wa kibonho

    • @jumannemwakalinga2586
      @jumannemwakalinga2586 หลายเดือนก่อน

      Waamuzi wa kibongo ni changamoto

  • @emmanuelkatto7092
    @emmanuelkatto7092 หลายเดือนก่อน

    Sio goli kapigwa munyo sijui unanielewa

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 หลายเดือนก่อน

    Yule mwimbaji wa Nyimbo za Injiri anaitwa na Deborah Lukalu.
    Haya hiyo Diblo sijui Dibra inatoka wapi?

  • @INUMBUMWANDU
    @INUMBUMWANDU หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu yanga nitimu bola2 hatawakati simba ikichalazwa5_1 pia walikua wapya?

  • @ianak4
    @ianak4 หลายเดือนก่อน

    Yanga is setting the bar too high for Simba. You will continue to witness chaos at Simba because they think they've relapsed while in actual fact they are just the same but Yanga has accelerated. They gauge themselves against Yanga but Yanga, on the other hand, stopped comparing itself with any local team and decided to find out what others out there are doing to better itself. Simba is left envious and angry, thinking they have dropped vs Yanga while they are just the same team.

    • @phoncenahongejr3186
      @phoncenahongejr3186 หลายเดือนก่อน +1

      Well said

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      Hicho kizungu machawa wa kolo hawawezi kuelewa..mf k mziwanda,gb64,kisugu,pasi milioni..maana ukipingana na hao unaonekana mamluki

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 หลายเดือนก่อน

    Tz Refa ni Arajiga pekee wegine ni vichekesho tuu

  • @issackshayo7423
    @issackshayo7423 หลายเดือนก่อน +2

    Faulo aliyofanya FREDDY KWA BAKA KABLA YA BOKA SIO FAULI acha kubalance story ww ni mchambuzi mkubwa.

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Ivi unaakili tumboni humo kweli 😂😂😂 naona wataka kubalance story ila ila ile ni penalty dhahri

    • @mwanangusana
      @mwanangusana หลายเดือนก่อน

      ​@@saidbakari2408kama yalivyokuwa magoli 2 halali tu ....

  • @OmaryMongi
    @OmaryMongi หลายเดือนก่อน

    Bas 2-1 daadeki

  • @user-rb9uh1bi5m
    @user-rb9uh1bi5m หลายเดือนก่อน

    Uchawa haubadiliki ,style zake ni zilezile haijalishi umri ,kazi,mwisho wa siku tunaambiwa klabu ina hasara-chawa wawekwe kwenye bajeti!

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo Simba imefungwa na chawa, naona una mahangaiko!

  • @BenjaminiMalipesa
    @BenjaminiMalipesa หลายเดือนก่อน

    Tusipende kuwasifia wachezaji Kwa majina wakati viwango ni vidogo ligi ya bongo ni ngumu Sana lazima tuangalie wachezaji ambao ni Bora n a si majina ya wachezaji Jana Simba wamezidiwa sana wasingezuia wangefungwa mengi ila kocha wao amejitahidi kupanga kikosi

    • @user-nl8ec4np1t
      @user-nl8ec4np1t หลายเดือนก่อน

      Eti wao wanasema yanga ilipaki basi😂😂 wakati hata goli limefungwa katikati ya watu wa5 sijui wa4

  • @JoshuaMbena
    @JoshuaMbena หลายเดือนก่อน +1

    Nimeanza kukushitukia wewe ni yanga maana watu tunaona kabisa yanga hakumzidi simba lakini unawasifia sanaa simba bola ya milaji anaongea ukwelii

    • @JumaHUssi
      @JumaHUssi หลายเดือนก่อน +1

      wewe unaongea kiushabiki. Umiliki wa asilimia 53 iwe ni bora kuliko 47 makolo

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 หลายเดือนก่อน

    Mwaduke kama uliangalia mpira usiongee kinyume na macho yako ,simba wamenyimwa mambo mengi.istoshe yanga walijisifu sana kua wataifunga simba goal nyingi kimadharau kua niwatoto but watoto waliwafanya wapaki bus badhi ya wachexaji wao walionekana wamechoka hawawezi kukimbizana na wasimba huu ndio ukweli simba hii wakikaa vzuri hii timu itakua tishio huu ndio ukweli.goal keper wao mzuri sana tena sana

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 หลายเดือนก่อน +1

      Usisahau ndugu yangu Yanga SC nao pia wamenyimwa mengi ya wazi. Refa mchezo ulimpalia na ndio maana akawa na maamuzi ya ajabu.

    • @ibrahmenard
      @ibrahmenard หลายเดือนก่อน +3

      naona unatafuta huruma vipi goal letu tumenyimwa?

    • @suleimansalum4049
      @suleimansalum4049 หลายเดือนก่อน +2

      Ww huna macho
      Hata Simba walisema Yanga ni wazee
      Wachezaji wa Simba walichoka sana na hata goli la Yanga lilitokana na uchovu wa wachezaji wa Simba

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 หลายเดือนก่อน

    Ulianza vizuri uchambuzi
    Kumbe sasa umepoteza kutokana na Ushabiki wako kwa Yanga.
    Azizi huo mkono siyo offside? Unasema onside kumbe nawe unakaupuuzi fulani
    Hiyo ya Simba ni pure penalty
    Acha ushabiki
    Chambua mechi

    • @NasraHaruna-e3h
      @NasraHaruna-e3h หลายเดือนก่อน +1

      Ktk sheria 18 za Mpira wa miguu mkono siyo tatzo kwakuwa mkono haufungi ila ungekuwa mguu basi ingekuwa offside, kwaiyo like ni Crear goal .

  • @SilmanOfficial-ss6oq
    @SilmanOfficial-ss6oq หลายเดือนก่อน +1

    Brother Mbwaduke Utopolo hakuna kitu hapo, subir mnyama apate muunganiko

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 หลายเดือนก่อน +2

      Pole Dunduka

    • @ibrahmenard
      @ibrahmenard หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂sio rahs kama unavofkir nyie wachumbaa tu

    • @ibrahmenard
      @ibrahmenard หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂sio rahs kama unavofkir nyie wachumbaa tu

    • @npiperito19
      @npiperito19 หลายเดือนก่อน +1

      Poleni sana😂 kwani amuna mungano?😊😊😊

    • @gerrymimi9387
      @gerrymimi9387 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Kocha atakuwa bado yupo? Si kesha fungwa huyu? Au mwaka huu makolo wamekua kidogo?