Kala Pina_ Wazaramo (Official Music video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2021
- 🔥 🔥 🔥 New new new Hit @kalapina #WAZARAMO Directed by @khazav AD @saidsidaz @baobab.studio_ Brand @ktopimages Wazaramo washapanda kichwani 🔥🔥🔥ile hip hop yenye ladha halisi mistari na michano yenye kuelimisha na kuburudisha enhee ni feginyundo oi oi oi aibuu 🔥🔥🔥ile kiu ya wapenda hip hop inakatwa na wazaramo kimenuka tayari baada ya kimya cha muda mrefu ujio ndo huu hii Ni long range missile🔥🔥🔥🔥@kalapina
- เพลง
Hii ndo ladha tuliomiss mitaaani 🎶🎶
HOIII NABII KOKO MOTO ULAO
Mjegeje ndani ya nyumba
Nakubali sana waukae umetsha bonge track mkulu wa marumbo
ooii salaam alaikum nimepita uku after pay back ya Iran /Na zioni mayahudi 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 usiipime .
Ayeeeeeh
Gonga like kama bado unamsikiliza pina mpa now 27/4/2024
Nasonga mbele km pina
By
#Nikkimbishi
Nabii koko
I love your song reminds me bagamoyo
My home town
Anachana kama sugu nani kagundua ilo
Kuna jitihada na vipaji .....
Boya awezi elewa hiyo big hap Brothel pina
Naenjoy na mpenz wangu na wazalamo shaz m f
Fanya utupe zawadi ya 2024
Oggg 🔥👊 bongo bongo
Hii ndo hiphop tuliyokuwa tunaiktakaa from pinaa
Man ku shiba
Mstari wa MBELE
Ngoma kali
mzuka hoooooi brock 41
Hatari mzee
Nomaaaaaaaaaaa
Hatarii
Oi oi🔥🇰🇪
Kalapina mtu mbaya.
Hakuna wa kunitisha .
Lil hip hop Mwamba
Wazaramo washapanda kwa kichwa .
Waukae wa bahaa
Noooma cala pinna
R.I.p mzee wa mjegejee
Nakubal
Mbuzii
Back to business
Heshma kwako kamanda
Feginyundo👊
mi sina mbuli miyangu NUSU MTU NUSU HAYAWAN
KIKOSI!
Mkuu wa kazi Kalapina
Mkubwa wa hizi shughuli, back to ze roots, moto juu ya moto
Tulivimisi vitu hivi
Hili goma baba mkubwa yaaah hiphop imerudi tumemis man pina tuletee huu mziki diamond kawazimisha wamesanda weus kikosi hawajiamini zikija km hizi watasanda wenyewe maana walianza kumuiga daimond sasa sisi tunanapiga zile zile zetu noooooooma
Hunaga matani Msela wangu
Kalapina Mzee wa kazi unanikosha sana kwa nyimbo zako nzuri zinazosheheni ujumbe mzuri , tunasonga mstari was mele dira amani kitendawil msaliti fasihi beef nikipanda steg hiphop bla madawa mauaji ya albino mfalme nyimbotosha na nyinginezo, hongera saanaaaaaaaaaaaaaaaaa mjomba,
tupe tu humu anko....tunapenda hip hop harakati haziwezi kuisha kila generation
Excellent
Mkuu wa kikosi salute 🔥
Pinna nakukubali brother,kuna vitu unanigusa sana hasa kwenye ngoma yangu ya Rule of Law
🔥🔥🔥🔥
Hizi ndo Radha Ambazo mtaa ulimisi big up nabii koko
oi oi
NABII KOKOOOO
Kikosi cha Mizinga kwenye Ramani.
Umetisha sana
Huyu ndo kalapina na tulimfaham kupitia hii realness without fakeness! Ukibaki humu ndo tulikozowea na unapatia in that level!
Big up # nabii koko
Noma Mzee mzima,nimefurahi ulivyowapa shout outs wanao wa kitambo,Dogo,Imam, Saigon, Salu Tee....Kunta...Kinte.
oi oi
Nabii kama nibii kokooooooooo likoooooo hongera yako
salute
Fire...!..Oi
respect
Kazi nzuri sana mistari ya ukweli
thanks
Kala Pina, Noma Mullah, Nabii Koko,kiboko ya machoko mahanithi hanithi mufilisi aaaaaah .....
Fire umetisha sana
aibuuu
NABII KOKOOO🔥🔥🔥🙌
Nakubali big brother saluty pina broo depo zetu ndio
Kikosi cha Mizinga.. Kikosi kama Hizbullah
Jumapili njema wapendwa. Wazalamooo wamepand tayari twende kaz
Miyangu Kalapinaaaaa Mzaramo wa Mzizima
Poa poa
Oiiii Pinaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Pamoja sana kala vina nasio kalapina mjuba aka mtu jesh
the return of the hip hop owner big brother kalama masoud
Really Hiphop,,i represent 🇰🇪...fire firee
Kalapina the real hip-hop mc salute bro
Kikosi cha mizinga kama HIZBULLAH....💪💪
Hii ndio Sanaa sasa sio ile ya vijana
HIP HOP BILA MADAWA INAWEZEKANA🗣🎙
Umetisha sana somo mkongwe kalapina
Heshima sana toka Malindi kenya
Hapo sawa kamanda
tulishamis sana thanks Kala Pina for this real food
Bro pande hizi za posta tunakusikuliza kinoma mazee
Pamoja sana kazi ipo safi
Hip hop tungo zenye tungo respect broo
Umerudi kwenye line yko Mullah
Nimeelewa sana Ngoma 💯💯💯
Oi oi WAZARAMO Wameshapanda Kichwani!
Hataarri sana Kalapina
fegi nyundo
Yeah!! Nabi koko daah nilimisi haya maladha aisee thanks Pina Back to basics
The guy know it's fever of the town
Noumaaaah sanaaaa
Ankoo nomaanoma
feginyundo
Oi oi oooiiiiiii💥💥💥
vyema
oi oi
Huyu ndio mkali wangu
💥💥💥💥💥💥 Kalama Masudi
uyu ndo Pina tunayemjua..🔥💪
Hii ndio hip hop tuliokuwa tunaitaka sasa. Respect mzazi
BLESSINGS FOR THE CULTURE👏🏿✊🏿Oiii🔥🔥🔥
respect
Nabiiiiii
Dudeee hatarii mkongwe
Back to basics, 🤝respect Nabi koko for holding it down since day one
yaaa man
💯
@@KalapinaTv watu Kama Hawa akuna kuwajibu awajui ata vina vinapangwa vp kwenye nyimbo
Kalama Masoud Mzaramooo...Mwana InkobaAbakhosi
Kamanda mula nabii koko ngoma zako nazikubali .
Fireeeeeeee
hope ina back
oi oi
@@KalapinaTv Simama humo humo najiunga na wewe kuwa mstari wa mbele aisee
Hazina yetu iliyobaki badala ya d nob na Tupac kufa.il ajabu matozi hawataki
Nabi koko hatareee
Another banger in town 🔥🚒🚒🚒🔥🔥🔥🔥🔥🚒🚒🔥 energy , creativity,plus talent 💯💪💯back to back 😁 sound za hip hop za Dem dayz
yaaa
th-cam.com/video/Bll-Wo1HdB8/w-d-xo.html