Polen sana ila suala la kufanya jogging na mnapishana na magari pikipiki sio sawa wamarekan wenzetu wametenga maeneo maalumu kwa ajili ya hayo mazoez hawapishani na magari wala baiskel na sisi tujitahid kufanya hvyo kuepuka hayo majanga ndugu zangu ,mungu awapiganie
😢😢😢😢mnakimbia kimbia mtengeneze afya ili muishi mkiwa na afya njema ssa kumbe mnajipeleka kufa .acheni kukimbia barabarani ka wwndawazimu Kimbieni huko uwanjani kwa usalama wenu
Kwani wanaokufaga wakiwa usingizini hao vipi? Unajua siku yako yako ya kufa? Umeagana na Mungu? Jiulize hayo maswali hafu jijibu mwenyewe kabla hujaongea hayo maneno yako
Kwani nini maana ya viwanja vya mazoezi mambo mengine tuwe tunaangalia jamani nendeni kwenye viwanja vya mazoezi la sivyo mambo mengine ni kama ya kujitakia. Poleni kwa waathirika na RIP kwa waliotangulia mbele za haki.
Kama utaangalia vizuri video wakati polisi anatoa taarifa, kuna chupa ya bia kwa gari, its certain alikuwa amelewa Siyo rahisi kugonga watu wengi kiasi hicho kama una akili timamu
litoke tamko kukomesha tabia ya watu kukimbia joging barabarani ni kero na ni hatari saana...ukiachia pombe na uzembe utashangaa gari limefeli breki taifa linakosa nguvu kazi majeshi na watu wakimbiza mwenge wakome kutumia barabara kufanya joging
Halafu Mimi najiulizaga maswali Kila siku Kuna ulazima gani wa kukimbia barabarani kwnini msiwe mnakusanyika kwenye viwanja mkimaliza mnarudi majumbani kweni, kila l dereva anakili zake
Mungu azilaze roho zao mahali pema lakin angalizo, sehem ya mazoezi haikupaswa kuwa barabaran istoshe kwa hyo barabara kwa wanaoifaham ni barabara iliyojaa mabaa na sehem za starehe na pia kuna wanaochelewa airport ..ni hatar sana kwa maeneo kama hayo ukiachana na ulevi kuna matatizo ya gari ikifeli itakuaje???
Mnapenda sana kukimbia barabarani kila jumamosi asubuhi! Mnaudhi sana! Zile nchi mnazoona watu wanakimbia barabarani wanazo barabara ambazo hazina magari! Sasa nyie mnaiga! Unakuta mtu yuko mwendo mafuta anawahi afu nyie mnazingua! Et, mazoezi! Kuna vita tanzania? Au simtafute njia zisizo na magari?
Dah Mungu zilaze mahal pema peponi roho za marehemu wote
Haya mazoezi mpaka yafanyike barabara kuu,mungu awalaze pema
Majeuri pia hao wakimbiaji NI VYEMA mkakafanye mazoezi viwanjani
Poleni sana, Mungu awatangulie na awaponye majeraha
Hii ni hatar sana rafiki yangu amepoteza maisha
Polen sana ila suala la kufanya jogging na mnapishana na magari pikipiki sio sawa wamarekan wenzetu wametenga maeneo maalumu kwa ajili ya hayo mazoez hawapishani na magari wala baiskel na sisi tujitahid kufanya hvyo kuepuka hayo majanga ndugu zangu ,mungu awapiganie
Tumempoteza kijana kwenye hiyo ajali 😭😭
😢😢😢😢mnakimbia kimbia mtengeneze afya ili muishi mkiwa na afya njema ssa kumbe mnajipeleka kufa .acheni kukimbia barabarani ka wwndawazimu
Kimbieni huko uwanjani kwa usalama wenu
Kwani wanaokufaga wakiwa usingizini hao vipi? Unajua siku yako yako ya kufa? Umeagana na Mungu? Jiulize hayo maswali hafu jijibu mwenyewe kabla hujaongea hayo maneno yako
😁😁
@@anodearsulusi7536 huu ubishi wako ndo unawaponza
😭😭😭 Rest in peace Mate Hamis Waziri 😭😭
Hamisi waziri yupi oliver
Dah katuacha na maumivu makali mno ndugu yetu katuacha akiwa mdogo mno
Finger prints from the steering wheel, gear, hand breaks and driver's door - cross checked with NIDA can determine the driver.
Ameshajulikana
Kwani nini maana ya viwanja vya mazoezi mambo mengine tuwe tunaangalia jamani nendeni kwenye viwanja vya mazoezi la sivyo mambo mengine ni kama ya kujitakia. Poleni kwa waathirika na RIP kwa waliotangulia mbele za haki.
Maoni mazuri sana, shida ni viwanja vya mazoezi viko wapi? Serikali ilisha waachia matajiri kushusha mahekalu
hyo ipo hata huku dar j mos watu wanakimbia barabaran wakiongozwa na maulid kitenge
siku kifo kikikosa sababu bas tu..😢
Shahidi sio Shuhuda
Jana ilikuwa ijumaa!!!, Jamaa anajibu jeuri sana eti zima mdomo wako!!!! Dereva alikuwa amelewa nadhani.
Kama utaangalia vizuri video wakati polisi anatoa taarifa, kuna chupa ya bia kwa gari, its certain alikuwa amelewa
Siyo rahisi kugonga watu wengi kiasi hicho kama una akili timamu
litoke tamko kukomesha tabia ya watu kukimbia joging barabarani ni kero na ni hatari saana...ukiachia pombe na uzembe utashangaa gari limefeli breki taifa linakosa nguvu kazi
majeshi na watu wakimbiza mwenge wakome kutumia barabara kufanya joging
Mungu wewe wajua
Nafikiri ukupaswa kuongea ulichoongea,Ni kama umefurahi vile, sio kauli nzuri kabisa
Bia tamu
Halafu Mimi najiulizaga maswali Kila siku Kuna ulazima gani wa kukimbia barabarani kwnini msiwe mnakusanyika kwenye viwanja mkimaliza mnarudi majumbani kweni, kila l dereva anakili zake
Nami Huwa nashangaa kwann kusiwe na sehem maalum ya mazoezi ya kukimbia mpaka iwe Barbara kubwa?😂
Mungu azilaze roho zao mahali pema lakin angalizo, sehem ya mazoezi haikupaswa kuwa barabaran istoshe kwa hyo barabara kwa wanaoifaham ni barabara iliyojaa mabaa na sehem za starehe na pia kuna wanaochelewa airport ..ni hatar sana kwa maeneo kama hayo ukiachana na ulevi kuna matatizo ya gari ikifeli itakuaje???
Lakini maeneo ya mazoezi siyametengwa na serekali kwani nilazima kushindana na magari kukimbia
A haki mazoezi hayajanza jana wala juzi
Hujui unachoongea
Wanakela sana wanajaa barabara yote kwanini wasiende uwanjani mbona viwanja vingi
Eti zima mdomo wako 😂😂😂😂
Kawapekekea moto
Afande piga marufuku unaongea nn wewe
Mnapenda sana kukimbia barabarani kila jumamosi asubuhi! Mnaudhi sana! Zile nchi mnazoona watu wanakimbia barabarani wanazo barabara ambazo hazina magari! Sasa nyie mnaiga! Unakuta mtu yuko mwendo mafuta anawahi afu nyie mnazingua! Et, mazoezi! Kuna vita tanzania? Au simtafute njia zisizo na magari?
Mungu akubariki bro
Hata kama wako barabarani ,dereva anawajibu wa kulinda usalama wa wengine
Hii comment siyo ya kiungwana, hata kidogo ni kama umefurahi watu kufa
Hiyo njia mara nyingi haina magari mengi nadhani hauifaham sana !! Tena haswa jumamosi
Usiseme hivyo😭😭😭 na nahisi hujawai kufiwa na mtu wako wa karibu.