Ona ofisa manunuzi aliyemchongea mkurugenzi wake kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtaka is a man among the men!

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtaka ni Moja ya Wakuu wa MKOA Ambao KILA MKOA unapoongoza unaacha alama za FAIDA.Mungu Akutangulie na akufikishe Mbali na Ukawe hata Makamu Wa Rais Jamani.

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtaka nakukubali sana, huyu ni kati ya Wakuu wa Mikoa wachache sana wenye hekima waliowahi kuongoza Tanzania. Mungu awe nawe Mtaka.

  • @samyngtnyi9786
    @samyngtnyi9786 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana kiongozi

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว +2

    MTAKA UMEELEKEZA VIZURI SANAA, HONGERA

  • @salvatoremathias1227
    @salvatoremathias1227 2 ปีที่แล้ว +1

    MH mkuu wamkoa muondoe uyo mkurungenzi haraka sana ,

  • @christinajames7499
    @christinajames7499 2 ปีที่แล้ว

    mtaka uko vzr kwa mawazo mazuri kazi iendelee

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 2 ปีที่แล้ว

    Great...l

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 2 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wanaovaa nguo za siasa kila mahali Mungu anawaona

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 ปีที่แล้ว

    Mtaka is very smart guy

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 2 ปีที่แล้ว

    Mtaka your the man.
    Tuna hazina chache sana za jinsi yako Big up young man. Let the sky be your limit.

    • @omarytexesunauwababa4587
      @omarytexesunauwababa4587 2 ปีที่แล้ว

      Awasimamie sasa hawa wasiyojua kitu mkurugenzi mbabe hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @damiangarang1900
    @damiangarang1900 2 ปีที่แล้ว

    Rc Mtaka wewe ni smart sana mkuu. Uindelee kuwa promoted

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 2 ปีที่แล้ว

    Waambie, vyeo ni dhamana

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mhe.Mkuu wa mkoa wa Dodoma.

  • @irenemsangi7933
    @irenemsangi7933 2 ปีที่แล้ว +3

    Ameongea kwa uchungu sana

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว

    Hehehehehehe mazagazaga chupi ya VIP kkkk watoto WA elf hamjui vitu hvyo

  • @emanuellyatuu731
    @emanuellyatuu731 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mimi napenda kumsikiliza RC wa dodoma

  • @hassanmustapha6980
    @hassanmustapha6980 2 ปีที่แล้ว

    Big man

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Majisifu bwana Mtaka hayana maana, wananchi wanahitaji kazi na sio longolongo

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 2 ปีที่แล้ว

    Mtaka my best RC

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazini kama wewe ni mlevi ni mlevi tu, na ulevu makazini unakeraga wafanyakazi wenzio! We mzeee pungiza ulevi 😃😃😃😃mkurugenzi huenda ana makosa ila ulevi wako pia ni tatizo

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว +1

    Intaneti Za Bongo Zinatufanya Tusijue Viongozi Wetu

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi awajibishwe,anatukane watu yeye nani.

  • @restkalemile5274
    @restkalemile5274 2 ปีที่แล้ว

    Tatua tatizo ach maneno....

  • @kitomondo
    @kitomondo 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa amelewa.

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 2 ปีที่แล้ว +2

    ukweli humuweka mtu huru

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania hoyee!!!! Ni vizuri kufanya uchunguzi juu ya alicholalamika huyu mtumishi I, itajulikana tu nani mbaya hapo.

    • @ismailimsangi2672
      @ismailimsangi2672 2 ปีที่แล้ว

      Mtaka ninakukubali nakumbuka ulipokuwa mkuu wetu wa wilaya ya hai uliitendea vema wilaya yetu.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว

    Tatua Tatizo Je Uyo Mlengwa Yuko Sawa Kutukana Wakati Shelia Za Taifa Zipo

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 2 ปีที่แล้ว

    mtaka upo bomba sana..yaani jina tuu ndio shida vinginevyo upo bombaa kichwani

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 ปีที่แล้ว

    Kondoa watendaji wote wanstakiwa wafumuliwe

    • @2003hintay
      @2003hintay 2 ปีที่แล้ว

      Weka kila kitu kipya usiache chembe ya mtu

  • @adinanitandalah7178
    @adinanitandalah7178 2 ปีที่แล้ว

    mkurugezi wa kondoa hafai kabisa

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 2 ปีที่แล้ว

    Alimchongea au aliongea ukweli ?

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 ปีที่แล้ว

    Kimwagaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 2 ปีที่แล้ว

    Sasa wewe Tangu sasa sio RC bali ni Waziri wa Elimu Tangu sasa.

  • @doktamathew
    @doktamathew 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Na wewe unaonekana Una shida,,,,,,!!!

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว +1

    Intaneti Za Bongo Zinatufanya Tusijue Viongozi Wetu

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว +1

    .

    • @anyelwisyemwakasungula7419
      @anyelwisyemwakasungula7419 2 ปีที่แล้ว

      Is this proper way of loging the complaints against your superior ????? ? for those who are real educated can understand the nature of the the complainants