SAKATA la MCHUNGAJI ELIONA KIMARO LAIBUA MAMBO MAZITO, SIKIA ALICHOSEMA ASKOFU MWAMAKULA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2023
  • SAKATA la MCHUNGAJI ELIONA KIMARO LAIBUA MAMBO MAZITO, SIKIA ALICHOSEMA ASKOFU MWAMAKULA..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 123

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @zahakiosward1575
    @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว +20

    Anamaanisha vijana wa kristo waitetee imani kikamilifu.huyu ni mtumishi wa MUNGU japo kuna kukosea lakini nina hakika ana maana njema tu .

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Asingetangaza Mtandaoni ndicho nilichukia tuu

  • @estermahenge5972
    @estermahenge5972 ปีที่แล้ว +10

    Aliongea ukweli mtupu Mungu amsaidie🙏

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +12

    Niwakumbushe tu hivi Marekani na Ulaya siyo mbinguni. Yanayoendelea katika nchi hizo ni aibu hata kuya zungumizia. Mungu awabariki wote wanaosubiri ile ahadi aliyotuahidi baba yetu kipenzi Yesu kristo kuja kutuchukua ili tukale naye bata la nguvu kulee mbinguni.

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 ปีที่แล้ว

      Mungu kakuumba uishi dunian wew unataka uendw mbingun kuka bata😆... Achen kuamin mambo ya ajab... Mungu angetaka wanadam waishi mbingun bas angewaumba wabak huko mbinguni

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 ปีที่แล้ว +9

    Mungu Akakutetee Nakupenda Jampo sio Muumini wako

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hata msimamia mch.kimaro ni mtu wa Mungu yuko sahii yeye amesema kweri alicho kuwa anasema uaminifu tu na sio vinginevyo sema lazima apigwe vita yuko vizuri sana

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 ปีที่แล้ว +4

    Wanadamu wakimshusha Mungu atakuonua juu tena juu sanaa

  • @elinajacksonharusha7155
    @elinajacksonharusha7155 ปีที่แล้ว +1

    Ahojiwe na kuchunguzwa kwa lipi? Wana dini hamtaki kuambiwa ukweli. Tunamshukuru sana Mungu ambaye anaendelea kuibua wasema kweli nchini kwetu. Badala ya kutubu mnamuona mbaya. Mungu awarehemu kwa hili.

  • @naimanmonyo5787
    @naimanmonyo5787 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe nguvu mchungaji

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 ปีที่แล้ว +8

    Ukweli unauma huyu mchungaji ni wa mungu sio yeye ni roho mtakatifu aliongea mwachaeni kabisa

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    Hakuna mkamilifu mbele ya Muumba Wetu 💘💘

  • @fredgonga
    @fredgonga ปีที่แล้ว +2

    Huu ujinga ndo huwa unafanya watu wengi kuanzisha makanisa yao binafsi.. kimaro anzisha kanisa lako tu..

  • @happymbuya2667
    @happymbuya2667 ปีที่แล้ว +1

    Msemaji wa mwisho ni Mungu wa mbingu na nchi juu Yako mchungaji , Mungu akupe utulivu na kicheko kikuu ndani Yako katika kipindi hiki cha kukupandisha viwango vya juu zaidi ya hapa,,hekima ikufunike sana,,, Mungu analo neno Kwa ajili yako

    • @jennifaonesmo602
      @jennifaonesmo602 ปีที่แล้ว

      ELIONA KIMARO. Unaweza unaendelea kusali. Watakusamehe kama Wanamoyo nakama wanakuoenda kama hawakupendi hawatokusamehe. Mungu akulinde BABA yangu KIMARO.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +2

    Duh nimeshtuka sana jmn nampenda sana huyu mchungaji jmn😭😭😭

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 ปีที่แล้ว +11

    Mimi naamini hajasema uongo wowoooote. Yuko sahihi kinachotakiwa tu ni afafanue vizuri
    1, huwezi kulipisha pesa kwa kugiha upako
    2. Kulipisha pesa misa ya marehemu
    3. Wachungaji kupigania viti vyambere yaani madaraka.
    4. Uzinzi kwa wachungaji niwao
    5. Ulevi kwao
    6. Uchoyo ni wao
    Namengi mengineyo yeye tu awafafanulie alikuwa na mama gani watamurlewa nakama hawata murlewa watakuwa mamefanya shingo zao kuwa ngumu

    • @ghelimafilemon9653
      @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว +2

      Umefafanua, kanisa linatakiwa kubadilika. Kujifunza neno la Mungu ndio msingi mkubwa. Upigaji hela kwa waumini ni changamoto. Hujui hata kama muumini wako amekula chakula siku hiyo, afya yake ya akili ikoje, lete hela tu

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 ปีที่แล้ว

      @@ghelimafilemon9653
      Kwanini vijana hawahushurii Kwa wingi makanisami

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Kumbe kanisani kwenu kumejaa uchafu poleni saana

    • @keneth.y
      @keneth.y ปีที่แล้ว +1

      Mchungaji umesema kweli mahali pasipo sahihi. Ukisema kweli basi jiandae. Kuwa huru ulichokisema ndio kweli. MUNGU AKUONYESHE BARABARA YAKE. Majira ilitabiliwa na Yesu nayo ni hii ya waabuduo halisi walio wa kweli. Ikiwa uliitwa si kwa ajili ya fedha bali kutumika kwa ajili ya kweli iliyo halisi. Karibu TEGETA NAMANGA TUMWABUDU ALIETUUMBA. aliye haki.

  • @Deinstitute1
    @Deinstitute1 ปีที่แล้ว +1

    Asema ukweli. Vijana wengi vijana wa kikristo sio waaminifu.

  • @candymarandu2230
    @candymarandu2230 ปีที่แล้ว

    Asilie na unafki wake yy aende huko kunakofaa asitupunguzie Imani yetu hapo alipo Hana mshahara

  • @josephineelikius7727
    @josephineelikius7727 ปีที่แล้ว

    Alichokisema ni kweliii jmn its a pure truth that we just don't want to acknowledge na kama asiposemea kwny nyumba ya ibada akasemee pembeni ni unafkiii🙌🙌

  • @akidasanga8555
    @akidasanga8555 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu umeacha mbegu,umenilea na kunikuza, Mungu akutunze

  • @clotildatarimo7847
    @clotildatarimo7847 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji dhehebu halikupeleki mbinguni endelea kusimama na Yesu maadamu unajua unayatenda yaliyo Haki Yesu atakupigania, relax tafuta kujua mapenzi ya Mungu kwenye maisha yako

  • @maryjonathan6618
    @maryjonathan6618 ปีที่แล้ว

    Mungu atavusha usijali

  • @obadiasimime3028
    @obadiasimime3028 ปีที่แล้ว +2

    Global tv ifikie hatua semeni ukweli aiseeee 😭😭😭

  • @hamurabani5386
    @hamurabani5386 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amutetee

  • @annastaziabega4474
    @annastaziabega4474 ปีที่แล้ว

    Hajasema uongo, hii ni kweli kbs, pia kunajambo kaliona

  • @subirakimaro6615
    @subirakimaro6615 ปีที่แล้ว

    Jaman haya mambo ya mungu yaachen kutukana watumishi wa mungu siyo ishu tumtie nguvu na moyo mungu ampiganie kwenye hiki kipind

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +1

    Wivu wa madaraka haujengi na siku zote msema kweli ndiyo mcha Mungu wa kweli

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +13

    Tunaomba tuludishieni mchungaji wetu tunampenda ivyo ivyo japo ulimi ulitereza ndio binadamu tulivyo kwani wao awajawai kukosea😭😭😭😭😭😭😭🙏

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      Poleni kwani kafanya nini?

    • @denismvamba7480
      @denismvamba7480 ปีที่แล้ว +1

      Mchungaji si wa usharika wa Kijitonyama tu, ni wa kanisa zima la Kiinjili la kilutheri Tanzania anaweza kutumwa popote kufanya utume wake.
      Jifunzeni kwa kanisa katoliki.

    • @jonathanmnyone4003
      @jonathanmnyone4003 ปีที่แล้ว

      @@denismvamba7480 Sidhani kwamba anang'añg'ania kubaki Kijitonyama. Alishawahi kuhudumu Kariakoo kabla ya kuhamishiwa. Kijitonyama. Ni vile kuwa popote aendapo washarika humpenda kutokana na utumishi wake uliotukuka. Ni mtumiahi wa Mungu anaewajali kondoo wake. Kila atakakoenda watampenda Kwa kuwa anamtanguliza Mungu.

    • @nikwisamwakajinga8318
      @nikwisamwakajinga8318 ปีที่แล้ว

      Mi sioni kosa lake

  • @neyjohn923
    @neyjohn923 ปีที่แล้ว

    Sasa unamlinganisha mwislamu aliyeshika imani kweli na mkristo hata mseminari hata mtawa hana unyoofu huo.waislamu wanajitahidi kusimamia wanachofundishwa na kuamini

  • @gloryaloyce9130
    @gloryaloyce9130 ปีที่แล้ว

    Afungue tu kanisa lake maana ni mchungaji mzur Sana

  • @gracethomas4621
    @gracethomas4621 ปีที่แล้ว

    Mm namshauri Mch Kimaro agungue huduma yake kkt wote wachawi

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 ปีที่แล้ว

    Na Yesu aliwambia ukweli wakuu wa kanisa na Dini la kiahudi. Wakaamuwa kumuuwa

  • @195941233
    @195941233 ปีที่แล้ว +2

    Naona dawa imewaingia. Alisema ukweli. Ukweli huuma

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji kimaro ameokoka na amesema ukweli mafarisayo acheni huyu kaitwa ndio shida ya dini wasiopenda kubadilika okokeni Yesu anarudi kimaro ameokoka mi sio mluteri ila huyu kaokoka

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว

    Ukweli usemwe

  • @aminashabani783
    @aminashabani783 ปีที่แล้ว

    Mungu tetea

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    Baadhi ya vijama wa kikristo wanaenda kanisani wakiwa wamevaa mtepesho vijama wa kiisilamu hawavai mtepesho ni Ukweli

  • @valerianakilumile8517
    @valerianakilumile8517 ปีที่แล้ว

    Mungu anapotaka kumpromote mtumishi wake mwaminifu humpitisha kwenye miba kwanza

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 ปีที่แล้ว

    Alichosema ni ukweli ni matapeli haswaa. Haya na Mimi nisimamisheni nione.

  • @hosianathomas6309
    @hosianathomas6309 ปีที่แล้ว

    Jamni Mungu amtetee Mchungaji, kwani yeye ni Binadamu tuu

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 ปีที่แล้ว

    Amesema ukweli.huu Doctor.

  • @julieluziga4773
    @julieluziga4773 ปีที่แล้ว

    Tutamis maneno ya hekima ya mchungaji Kimaro., japo mimi sisali KKKT lakini napendaga kufuatilia mafundisho yake. Mungu wa Mbinguni akutetee mchungaji

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 ปีที่แล้ว

    Nnachokiona ulimi uliteleza kuongeza neno baadhi ya vijana! Bwana Yesu alisema asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe yule mwanamke aliyekamatwa akizini! Mnataka kusema kweli viongozi wetu wa dini mu wakamilifu kiasi hiki?mbona tulishasahau mngemuonya na angetafuta jinsi ya kurekebisha?

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว +4

    HAPANA ,hata uwongozi wa kanisa wanawapenda sna wachungaji wao,kwan wanajua hasala ya kumsimamisha nikupoteza waumin,lkn kama Kuna Jambo alilolisema halikukaa sawa sawa mi sawa nakulikosea kanisa adabu pamojana viongozi wake,ikumbukwe hakuna alie mkubwa wala maalufu kulizidi kanisa,hata askofu yuko chini ya Sheria za kanisa,kwa hiyo nahisi mpaka kufikia hapo kipo kitu,uwongozi haukulifanya hili kwa bahati mbaya,mwenyewe Dr kimaro atakuwa anajua ukweli,Tuzidi kuliombea kanisa MUNGU alisimamie

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 ปีที่แล้ว

      Hii no aibu askofu angalieni upasuko KIMARO Anshisha kanisa lako baba waumini tupo nyuma yako

    • @neemamourice
      @neemamourice ปีที่แล้ว

      Kanisa si jengo Bali watu waaminio anaweza kuwa na makosa lakini ingetumika busara juu ya Jambo hili hapa panaonesha kuwa Roho Mtakavitu ndiye ameongoza maamuzi na sio Roho Mtakatifu

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 ปีที่แล้ว

    kama ni kweli kisha kula hela za taasisi za siri hahahah

  • @rhodamwafongo6660
    @rhodamwafongo6660 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeumizwa na habari hii , Mwenyezi Mungu aingie kati

    • @rhodamwafongo6660
      @rhodamwafongo6660 ปีที่แล้ว

      Mungu atakupigania

    • @fonithaalphonce6334
      @fonithaalphonce6334 ปีที่แล้ว

      Mungu amtetee jaman mchg wetu mm napenda sana mafundisho yake,,, yeye Ni binadamu tu Mungu Muone kwa jicho la huruma🙏🙏

  • @josephwijengo8851
    @josephwijengo8851 ปีที่แล้ว

    Acheni uongo Mungu ndiye anaejua

  • @tinnalucas9295
    @tinnalucas9295 ปีที่แล้ว

    Yupo na mungu hatuna shida naye hata asimamishwe mika 1000 mahubiri aliyoyapewa na mungu aliyoyafikisha kwetu ni msaada tosha kwetu tunakupenda paster neno la mungu linahubirika kokote yeye ni mwanadamu na bado yupo duniani hakuna aliyemwema asilimia 100% neema ya mungu inatubeba

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania ปีที่แล้ว

    Ukweli ndani yake kuna matunda ndiomaana mawe yameanza kurushwa Juu yake, isingekuwa mtu wa matunda usingerushiwa mawe hata kidogo, pia Yesu alisema angalieni nawatuma ktkt ta mbwamwitu , Luka,10:3, Usihofu mtumishi wa Mungu nawala usijibu lolote kaa kimya Aliye kuita atakupiganiatu,

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 ปีที่แล้ว +5

    Japo cjacikia moja kwa moja alisema nini, nahisi Nia njema imetafsiriwa isivyo. Huyu ni mchungaji mahiri katika hotuba zake zenye hekima nyingi, c amini kama ameamua kukinzana na Imani ya kikristo labda ameona mapungufu lakini ametoa angalizo Kwan kupata uzima wa milele haukikishiwa na Iman fulani

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 ปีที่แล้ว

    Wanafiki ni wengi sanaaa kwendeni sana mnapenda kuumiza watu hachunguzwe kwani kafanya nn ebu acheni fitinaaa

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 ปีที่แล้ว

    Aombe razi

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Ni aibu sana Kwa viongozi wa kanisa kugombana

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 ปีที่แล้ว +2

    Am from kenya🇰🇪 bt I wonder kwanini hasimamishwe napenye na mpeda kumuvuatilia ak turudishiwe mchugaji wetu chenye najua kweli waumbili wengi wako chini ya utawala wa pesa sio.kuumbili ijili ya yesu

  • @eladymwakanyamale
    @eladymwakanyamale ปีที่แล้ว

    shida kama kweli amesema viongozi wote wa Kikristo hawako sawa,, ni sawa asimamishwe sababu hata yeye ni kiongozi inamaanisha hayupo sawa.

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Apangiwe kazi nyingine.

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 ปีที่แล้ว

    Sawa taarifa tubapata ila dada mtangazaji sauti yako hapana ongea kawaida tu plsss

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 ปีที่แล้ว

    Nikweli bana mm mkristo ila wahislam ni waadilifu kuliko sisi sisi uhuni umezidi

  • @charleserensti4996
    @charleserensti4996 ปีที่แล้ว +1

    Fungua lakwako kanisa tutakujasawa

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 ปีที่แล้ว

    Jibuni hoja kwani amesema hivyo akasifia rc

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว

    Katia tembo maji 😀

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +1

    Vigisu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Hivi hamsikii aibu kuona watu wanavyompenda hadi kilio?

  • @dereckndasalama1002
    @dereckndasalama1002 ปีที่แล้ว

    Fungua kanisa lako hao k.k.k.t watakucheleweshaaa

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว

    Vijana waache kamari, inaumiza wazazi, mtu akipata elfu anaitumbukiza kwenye kamari, akipata mshahara anauweka wote kwenye bet. Mchungaji ana ukweli kuwaonya vijana

  • @rosesemfua2143
    @rosesemfua2143 ปีที่แล้ว

    Weziwezi kanisani chunguza baba msilale huko

  • @chazzkayoka9205
    @chazzkayoka9205 ปีที่แล้ว

    kimsing yeyote anaemtetea huyo kimaro hana akili na hajitambui kiliakitu huwa kinamipaka yake kavuka mipaka na katukana waumini ,kanisa mpaka wakuuu wake hata akilia haisaiidiii ajitafakari upande wangu napongeza uamuzi wa viongozi wa kanisa ikibidi afukuzwe kabisaaaaaaaaa na asiruhusiwe kujihusisha na uchungaji mahala popote wa mbwa mweeeeeeeeeeeeeeeee

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 ปีที่แล้ว

    Hivi kiongozi mkubwa kama huyu anaongea mambo ya ajabu hivi? Inamaana kwa wakristo hakuna kabisa mwaminifu? Ama kweli kristo awajua walio wake.

  • @christophermwinuka4217
    @christophermwinuka4217 ปีที่แล้ว

    Umaarufu unampa kiburi. Apumzishwe mwaka mzima Pumbavu

  • @n.dvillagirl3272
    @n.dvillagirl3272 ปีที่แล้ว

    Watuachie mchungaji wetu kwani kasema uongo. rafiki yangu katapeliwa milioni 3 yabiachara na chungani wake

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว

    ALICHESEMA NI KWELI NA HIYO INAJIONYESHA KWA KIKA MTU HAKUNA HAHA YA RESEARCH

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 ปีที่แล้ว

    Hivi likizo unaomba au unapewa?

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 ปีที่แล้ว

    unajificha kwa mwamvuri wa huduma?wewe umekosea omba uongozi msamaha kanisa ni la Mungu si la watu fula,Tafuteni sana kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambapo hakuna mtu atamwona Mungu bila kuwa nao,umejiinua ukahukumu umekosea mch omba msamaha

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 ปีที่แล้ว

    Mimi sio KKKT wameniuddhi saaana Hawa viongozi ni jambo baya saaaaana

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 ปีที่แล้ว

    Alicho kosea nikusema adharani,Kuna vitu vya kusema adharani,Na sio maneno kama hayo,Viongozi wa KKKT wako sahihi,Ndiyo utumishi

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 ปีที่แล้ว

    Mungempa onyo au aombwe razi

  • @neemasavati2519
    @neemasavati2519 ปีที่แล้ว

    Yuko Mungu ajibuye kwa moto anayejua ukweli uko wapi.
    Kusudi la Mungu peke yake ndilo likasimame .kauli ya mchungaji ckuona kama ina shida alkuwa anasema ukweli kwanini awapambe watu kuwa ni wazuri ilihali wanapotoka.hiyo kauli aliitoa ili kuwafanya wakristo wasio waaminifu wasimame ktk msingi ya Kikristo ya uaminifu.wengi wanasimamia miradi mpaka inakufa au kuingiza kanisa hasara kwa sababu ya kukosa uaminifu

    • @doraellyshayo5666
      @doraellyshayo5666 ปีที่แล้ว

      kabisa na kwakweli ni hili tu au lilikuwa linatafutwa

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว

    Hata Mimi sikupenda kauli Ile,na niliipinga kwa sababu vibaka na panya road asilimia kubwa ni wa upande ule
    Sasa hayo ya kusema wenzetu wamewafundisha maadili 😳😳😳😳

    • @happybarongo5150
      @happybarongo5150 ปีที่แล้ว +1

      Hujui husemalo kubalini kuonywa watoto wa kikrsti wamezid matendo maovu tusipokubali kuonywa hatutakuwa na na kizaz chema

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewa

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      @@happybarongo5150 sijakataa Hilo,nakataa njia iliyotumika 😳

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 ปีที่แล้ว +1

    Exaggeration na siasa kanisani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ya kuoa wake wanne.Wakristo NI mmoja tu.Matokeo yake nyumba mdogo kibao

  • @MrBless-lz1pf
    @MrBless-lz1pf ปีที่แล้ว

    Mbona wengi wanasifiaa waislam lengo tujifunze si vinginevyo

  • @januwako8030
    @januwako8030 ปีที่แล้ว

    WAACHHE WAFU KWA WAFU WAKAZIKANE .

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 ปีที่แล้ว

    Kusema la ukweli kimaro hakufanya vizuri kuongea maneno ya kukashifu ukirsto

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 ปีที่แล้ว

      Kweli ameteleza na ametumia kauli jumuishi nafikiri angetumia neno baadhi isingeleta shida sana. Ila asamehewe tu ndo ubinadamu huo.

    • @waytvtz2549
      @waytvtz2549 ปีที่แล้ว +2

      @@helencyprian8745huwezi nyee sahani unacholia chakula

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 ปีที่แล้ว +2

    Kaul ya mchingaji ilikua sahihi sana tukienda kwenye hoja, muislam mtt akiwa na miaka 3 tayali anaanza madrasa anaanza kuudulia chuo cha madrasa , wakristo mtt akifika miaka 14 ndo anaanza kujifunza kipaimara miez mitatu anapata kipaimara inaisha so hapo utaona nani atakuwa na hofu ya mungu zaid ?

    • @mangokindi6860
      @mangokindi6860 ปีที่แล้ว

      Acha utoto mm mwanangu madrasa no akomae na shule

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Tuko nyumae yako.Fungua
    kanisa lako.tutakuja

  • @enelitafungo774
    @enelitafungo774 ปีที่แล้ว

    Utavushwa na Yesu , usiogope.

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

    Ahaha sababu alisema vijana wa kiislam ni waaminifu kuliko wakikirsto ahaha kazi kweli

    • @rausangati
      @rausangati ปีที่แล้ว

      KKKT haiwafikishi mbinguni,ilitukuta mzaz wetu kufanyiwa unyama kama huu.mim huko sikanyagi wana yawivu Sana wamejawa na unafiki wa kutosha.Linda Sana moyo wako...Kuwa Lutheran sio jambo layy up û77 kujivunia

    • @margarethmwaibasa3697
      @margarethmwaibasa3697 ปีที่แล้ว +1

      Kama mnaona hawafai acha akawahidumie kondooo wengine nampenda sana mafundisho yake yananijenga ,kumrumikia Mungu sio ndani ya kkkt tu.

    • @Sophia-ou2qi
      @Sophia-ou2qi ปีที่แล้ว

      Mara nyingi ukweli unauma, Mungu atakutetea tu, ni kwamba tumrudie Mungu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Niko nyuma yake.Kasema Ukweli Na watu hawataki Ukweli.Wachungaji wengi matapeli pamoja na baadhi wakristo fake na hasa wale matajiri..Tukiwakosa wachungazi wasema kwelie Kama huyu.Makanisa yatakufa kama kule Ulaya.Tusiwe Yuda Isikarioti.Wanaomsumbua ndio Hao Hao matapeli Na wanafiki.Waislam Wana haki ya

    • @happybarongo5150
      @happybarongo5150 ปีที่แล้ว

      Mkipiga chura teke mnamwongezea mwendo much usirud dayoss injili mbele kwambembe umetolewa kifungon

  • @ainesndubula8361
    @ainesndubula8361 ปีที่แล้ว

    Mchungaji toboa

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    Ulutheri haukupeleki kokote , Imani yako Tu ndo itakuokoa au kukuangamiza ,kimaro we kazi na Imani yako achana na hao wenye udini

  • @kelvinjohn9682
    @kelvinjohn9682 ปีที่แล้ว

    Yupo sahihi ila namna watu walivyopokea ndo tatizo ila kwa asilimia kubwa this is right ukweli katika kanisa

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว

    Licha ya maneno huyu jamaa nasikia anapiga hela kishenzi.huko bagamoyo kajenga bonge la bangaloo nahs ni shule au something like that. Labda anataka kuanzisha kanisa lake. Nahs alikuwa akijizungumzia mwenyewe.

  • @hellenjackson7962
    @hellenjackson7962 ปีที่แล้ว

    mtu mwelewa na mtu msomi awez ona kama kimaro amekosea mana amesema ukweli na huu ndio ukweli tatzo sahv kkkt siasa zimezid na uongoz mliochukua haya maamuz muwe na uhakika mmeleta mpasuko mkubwa sana ndani ya kanisa...kimaro alinukuu kisomi kuwa takwimu ndio zinazoonesha kuwa vijana wa kikirsto atuna uaminifu na huu ndio ukweli tunauona ata makazn makanisan kila mahali wakrstoo tumezidi utapel
    kwa nini taasis nyingi za kanisa letu la kkkt zinaanzshwa kwa sadaka za washarika na zinakufa na kama sio utapel na kuhujumu uchumi ni nn? mbona taasis za kikatoliki azikufi .. embu pale mtumishi anaposema ukweli tumwache aseme ukweli watu wa Mungu wapone..kwa kanisa la sasa wapo watumish wanaonekana watumish madhabahuni wakitoka apo madhabahun amna utumush wowote kikubwa ni ameonya watu w mungu kila mtu ajitafakar anapokosea abadilike na hakuna mkamilfu na uyu baba kupitia madhabahu ya kariakoo na kijitonyama amegusa sana maisha ya wengi muwe na uhakika kbsa machoz ya wengi yanamlilia Mungu kwa ajil ya huyu mtu na kama ni ishu ya comflict of interest jmn kuna laana nyingi watu wamejizolea kwenye hili swala mana Mungu wetu ni Mungu wa haki..unavomtendea mtu ubaya ukiisha unarud nyumban kwako....cha kunishangaza unampaje mtu likizo ya kumtumikia Mungu

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 ปีที่แล้ว

    Ni kweli huyu mchungaji huenda Hana imani ya kikristo bali ameiacha kabisa imani