JINSI YA KUKAGUA MAYAI YENYE MBEGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • ASK INCUBATORS TZ
    UKAGUZI WA MAYAI KWA NJIA YA KUMULIKA NA TOCHI HUFANYIKA SIKU YA 7-8 TANGU YAI KUWEKWA NDANI YA INCUBATOR
    UKAGUZI HUU UNAFAIDA NYINGI ILA KWA UCHACHE TU
    -HUSAIDI KUJUA UBORA WA MAYAI KWA UWEZO WA KUWA NA KIZAZI NI KWA ASILIMIA NGAPI
    -ITASAIDIA KUAMUA KUBADILISHA AU KUENDELEA NA MTU ANAE KUUZIA MAYAI
    -MAYAI YASIYO NA MBEGU UTAYAONDO KWA MATUMIZI YA KULA NYUMBANI
    -MAYAI MABOVU UTAYATOA NA KUYAFUKIA ILI YASIJE PASUKA NA KULETA HARUFU MBAYA KWENYE MASHINE YAKO
    KWA MAELEZO ZAIDI - 0717523626

ความคิดเห็น • 19

  • @urbanpoultry6201
    @urbanpoultry6201 3 วันที่ผ่านมา

    Swali ingine,ukiweka mayai Kwa incubator inamaliza siku gapi ndio ukangue?

  • @mamabishopmerisheck5253
    @mamabishopmerisheck5253 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninaweza kukagua mayai kabla ya kuingiza kwenye mashine au kuatamisha?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      Kwa urahisi ni siku ya saba tangu kuwekwa kwenye mashine ukaguzi wa kabla angalia yasiwe na nyufa yasiwe na umbo kuubwa au dogo sana yasiwe yamegandiwa na kinyesi yasiwe na ganda laini

  • @urbanpoultry6201
    @urbanpoultry6201 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hello mkulima, wakati unakangua kutoka Kwa incubator,unapaswa kutoa mayai yote Kwa incubator ama ni kidogo TU?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 วันที่ผ่านมา +1

      @@urbanpoultry6201 kidogo kidogo hadi unamaliza

    • @urbanpoultry6201
      @urbanpoultry6201 3 วันที่ผ่านมา

      @@askincubatorstz7590 sawa

  • @djyounggtz3039
    @djyounggtz3039 2 ปีที่แล้ว +1

    Yenye uwezo wa kutotoa mayai 200 inashingapi?

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni muda gani utakaa na tray ya mayai nje ya incubator wakati unakagua mayai? Mie nina incubator yenye tray sita kila moja ina mayai 88, je kwa kupima yai moja moja haitanichukua muda mrefu kiasi cha kuathiri uhai wa mayai? Je kuna njia au tochi yenye uwezo wa kupima mayai mengi kwa mpigo?

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 4 ปีที่แล้ว +1

    nice

  • @videozaxima8612
    @videozaxima8612 3 ปีที่แล้ว

    Jamani toach napataje na bei gani

  • @RachelLomanga-wk2iz
    @RachelLomanga-wk2iz ปีที่แล้ว +3

    Ii

  • @ZainabShaban-v5g
    @ZainabShaban-v5g 7 หลายเดือนก่อน

    Hello napataje toch na bei gani

  • @jumannemshanga4864
    @jumannemshanga4864 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo tanga pangani tochi hizo nitazipataje na nibei gani

  • @shadyahjuma7923
    @shadyahjuma7923 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko znz km nataka iyo mshne napataje

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      Unaweza patia huko huko kwa gharama ya usafiri 70,000 utalipia 0717523626 mawasiliano