MUONGOZO KUHUSU INCUBATORS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • NI VYEMA KUHAKIKI INCUBATOR YAKO KABLA YA KUWEKA MZIGO ILI KUEPUKA HASARA YA KUHARIBU MAYAI
    HAKIKI UTENDAJI WA KILA KIFAA KAMA KIMEWASHWA, KUHARIBIKA AU KIPO KATIKA UFANISI KIUTENDAJI
    MAWASILIANO NASI +255717523626 (CALL/WHATSAPP)
    ASK INCUBATORS TZ
    -Tweeter
    -Instagram
    -Facebok
    -You tube channel

ความคิดเห็น • 83

  • @modestaadrian8049
    @modestaadrian8049 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu nzuri

  • @khamismgendwa1399
    @khamismgendwa1399 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa darasa zuri

  • @drian5956
    @drian5956 ปีที่แล้ว

    mashine yangu ina switch ya light na fan vip kuhusu motor.

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooo Asante kutuelimisha khs hiyo incubator. Mnapatikana wp?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  11 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana Tupo Mburahati Dsm 0717523626

  • @KiraboBetty-u7k
    @KiraboBetty-u7k 2 หลายเดือนก่อน +1

    How much?

  • @juliuschagama7304
    @juliuschagama7304 2 ปีที่แล้ว +1

    Kutokana na tatizo la kukatika/gharama ya umeme, unaweza kuamua kutumia Sola.Nitajuaje ukubwa/uwezo wa sola inayohitajika katika Incubator yangu ?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      Solar haiwezi kuwa na consistency ya uwendeshaji wa mashine kwa muda wote wa siku 21

  • @juliuschagama7304
    @juliuschagama7304 2 ปีที่แล้ว +1

    Umesema mota ya kugeuza mayai inazimwa Siku ya 18,je kama nimeweka mayai kwa Siku tofauti.k.v. kila wíki, nikiizima sitadhiri mayai ambaya hayajafikia suki 18 ?

  • @zaitunihajji256
    @zaitunihajji256 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hamuoneshi mashine zenu ndogo au hazina sifa?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      size zote zimewekwa hadharani kupitia page zetu instagram Ask incubators tz waweza ona kupitia hapo au waweza kututafuta kupitia whatsapp 0717523626 kuona size yoyote utakayo hitaji

  • @BarakaNassariy-nw1no
    @BarakaNassariy-nw1no ปีที่แล้ว

    Asante

  • @johnkimwelymussa473
    @johnkimwelymussa473 3 ปีที่แล้ว +1

    Na taa ya kupimia mayai kama yana mbegu ni ipi?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว +1

      Kifaa Cha kukagulia mayai waweza tafuta tochi ndogo kwaajili ya kazi hiyo

  • @sheikhmuhammadmussa3712
    @sheikhmuhammadmussa3712 3 ปีที่แล้ว +1

    mimi nahitaj incubator utaratibu uko vip na ntaipata vip?

  • @francismagembe9400
    @francismagembe9400 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kwa Elimu nzuri!! Fen inatakiwa iwe na size ipi ya mzungunguko?

  • @evelinashirikisho6904
    @evelinashirikisho6904 3 ปีที่แล้ว +1

    me nataka kujua pale pindi umeme umekatika mtu anatakiwa afanyaje ili mayai yaendelee kupata joto?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashine inaweza tunza joto kwa masaa sita, ikiwa tatizo la mda mrefu zaidi waweza unganisha mfumo wa dharula Kama unao, battery na inveter au generator na stabilizer

    • @evelinashirikisho6904
      @evelinashirikisho6904 3 ปีที่แล้ว

      @@askincubatorstz7590 asantee sanaa

    • @stevensemwenda6331
      @stevensemwenda6331 ปีที่แล้ว

      ​@@askincubatorstz7590mashine ina wat ngapi

  • @barakacharles4763
    @barakacharles4763 2 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji machine mnapatikana wap?

  • @jonaslyimo6091
    @jonaslyimo6091 4 ปีที่แล้ว

    Hujafafanua kuhusu temperature na humidity wakati wa kutamia na wakati wa kuangua

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  4 ปีที่แล้ว

      Humidity huwa tunatumia 65 siku ya kwanza hadi 18, vifaranga wakianza kuanguliwa huwa inaongezeka yenyewe kutokana na mositure iliyopo kwenye mayai yalio toa vifaranga

  • @mifugotv8224
    @mifugotv8224 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitajiii zile trey za kupokelea vifarangaa baada ya kutotoleshwa

  • @magenimakoye7457
    @magenimakoye7457 ปีที่แล้ว

    Humidity ikiwa zaidi ya 65 nifanyeje ili kupunguza iwe 65

  • @RevocatusRugemalira
    @RevocatusRugemalira 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inauzwa tsh.ngapi

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  6 หลายเดือนก่อน

      Kama hii inabeba mayai 264 kwa 750,000 Tsh

  • @charlesmbelwa6912
    @charlesmbelwa6912 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya simu

  • @dominickmartine9249
    @dominickmartine9249 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauzwa bei gani .nimependa mfumo wake

  • @shedrackkingkibafredy3469
    @shedrackkingkibafredy3469 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka mi naitaka iyo mashine kwa njia yoyote inabei gan mnapatikana wap lakn pia naweza kuipataje mm

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      Karibu ndugu hii Ni mayai 264 kwa 750,000 mkuu ofisi zetu tupo Dsm mawasiliano zaidi 0717523626 call/WhatsApp

    • @shedrackkingkibafredy3469
      @shedrackkingkibafredy3469 3 ปีที่แล้ว

      @@askincubatorstz7590 na ya mayai elf moja au kuanzia mia saba bei gan

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      @@shedrackkingkibafredy3469 mayai 1056 kwa Sasa Ni 1500000

    • @shedrackkingkibafredy3469
      @shedrackkingkibafredy3469 3 ปีที่แล้ว

      @@askincubatorstz7590 sasa mi nayiitaji nko mwanza lakn pia nawez kuuliza jinsi gan navoweza kupata mayai meng nautaratibu wa soko inavokuaga ili iwe vizuli zaid

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      @@shedrackkingkibafredy3469 sawa ndugu kwa mawasiliano ya haraka zaidi waweza nicheki 0717523626 call/WhatsApp

  • @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
    @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikihitajia ya sola nitapata

  • @stevenjacob6940
    @stevenjacob6940 2 ปีที่แล้ว +1

    Inauzwa shlng ngp

  • @AbrahamNdazi
    @AbrahamNdazi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naweza kupata mashine ya mayai zaidi ya 500

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  4 หลายเดือนก่อน

      Ndio karibu ndugu 0717523626

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  4 หลายเดือนก่อน

      KARIBU ‎@Ask Incubators Tz MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM - 0717523626
      WATENGENEZAJI NA WASAMBAZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLESHA VIFARANGA
      MASHINE ZETU ZOTE NI FULL AUTOMATIC NA ZINA GUARENTEE YA MWAKA MMOJA
      BEI ELEKEZI KWA MASHINE ZETU
      Mayai 60=320,000Tsh
      Mayai 180=650,000Tsh
      Mayai 264 =750,000Tsh
      Mayai 352=850,000Tsh
      Mayai 440=950,000Tsh
      Mayai 528=1,200,000Tsh
      Mayai 704=1,300,000Th
      Mayai 880=1,400,000Tsh
      Mayai 1056=1,500,000Tsh
      Mayai 1584=2,000,000Tsh
      Mayai 2112=2,500,000Tsh

  • @piusmsoma3326
    @piusmsoma3326 4 ปีที่แล้ว +1

    Je naweza kupata namba zenu

  • @juliusmyovela4274
    @juliusmyovela4274 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulaji wa umeme wawezakutumia kiasi gn inayobeba mayai 1026

  • @graceveniciamagambo1811
    @graceveniciamagambo1811 2 ปีที่แล้ว

    Kuna tatizo la kukatika umeme kwenye nchi yetu je haiwez kuharibu mayai endapo umeme utakatika kwa saa 12 au saa 24

  • @shabanibofu7292
    @shabanibofu7292 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naitwa BOFU wa mbande dsm, je Ofisi yenu IPO wap na namba ya simu niandikie na namba ya Whatsapp

  • @bahatimihale2660
    @bahatimihale2660 2 ปีที่แล้ว +1

    Bei gan

  • @mussamussa2393
    @mussamussa2393 ปีที่แล้ว +1

    Bei yahiyo mashine ulionyesha nikiasi gani

  • @graceveniciamagambo1811
    @graceveniciamagambo1811 2 ปีที่แล้ว +1

    Pia naomba ushaur nitumie njia zip katika eneo linalokabiriwa na kukatika umeme Mara kwa mara

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      Utafute generator na stabili'er kama mfumo wa mbadala wa kuendeshea ikiwa umeme umekatika

    • @juliuschagama7304
      @juliuschagama7304 2 ปีที่แล้ว +1

      Sola je?

    • @juliuschagama7304
      @juliuschagama7304 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni lazima generator iwe na Stabilizer ?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      @@juliuschagama7304 ndio ndugu umeme wa generator usiingie moja kwa moja kwenye mashine

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  2 ปีที่แล้ว

      @@juliuschagama7304 solar inabidi uwe na battery na inveter itaweza endesha kwa masaa kadhaa

  • @godfreymshanga753
    @godfreymshanga753 3 ปีที่แล้ว

    je nilazima kuwa na humidifier, chakusamba za unyevu au hiyo heater inatosha,

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      Kinafungwa kimoja wapo, ukiweka humidifier huna haja ya heater ya maji na ukiweka heater ya maji huna haja ya humidifier maana zote Zinafanya kazi moja

    • @godfreymshanga753
      @godfreymshanga753 3 ปีที่แล้ว

      je heater ya maji inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi au ukishaweka maji tu hapohapo inafanya kazi kama heater za kawaida?

    • @askincubatorstz7590
      @askincubatorstz7590  3 ปีที่แล้ว

      Unyevu ukishuka ndio heater inawaka kupandisha

  • @abracadabratz5294
    @abracadabratz5294 4 ปีที่แล้ว

    Lazma niichukuwee hyo mashinee

  • @morriskante4243
    @morriskante4243 3 ปีที่แล้ว +1

    hi sir do you still using this what sup number,because I try to get you no way sir please respond me thanks?