Israeli yadai imezima njama ya shambulio la bomu lililolenga mall ya Tel Aviv

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 181

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 2 หลายเดือนก่อน +8

    Eti ics si wao wao hao kikundi Chao wenyewee heeee😂😂😂

  • @Saum-o1w
    @Saum-o1w 2 หลายเดือนก่อน +17

    Waongo sna Israeli 😂😂
    Hawawezi kuandika ukweli wakiumizwa wanaficha😅😅 wataongea tuu si tupo mtandaoni hatubanduki,, M/mungu watie nguvu wa Palestine 🇵🇸 ❤

    • @ce-08
      @ce-08 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂 tuambie wewe huo ukweli na picha tuwekee

    • @SomweMateso
      @SomweMateso 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo pimb atuambie ukwel

    • @Saum-o1w
      @Saum-o1w 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ce-08 tulia Akina pdd muadabishwe acha ujeuri

    • @NurdinSaleh-jf8so
      @NurdinSaleh-jf8so 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna atakaemuweza Israel MILELE, ni Mamento flesh tu ndo wataweza kusadikishwa habar za KUIWEZA ISRAEL, hata waungane NGURUE WOTE WA KIARABU, ISRAEL HAWEZEKANIKI, UKIBISHE NI UMENTO FLESH NDIO UNAOKUSUMBUA

    • @Saum-o1w
      @Saum-o1w 2 หลายเดือนก่อน

      @@NurdinSaleh-jf8so kweli we pimbi

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 หลายเดือนก่อน +8

    HII KAMBA MAMAEEE...WANATAKA WAONEKANE WANA INTELINJESIA NZURI😂😂😂😂😂

    • @dannysengata2298
      @dannysengata2298 2 หลายเดือนก่อน +1

      Intelligensia ulivyo iandika tu nishachoka😂😂😂😂

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 หลายเดือนก่อน

      @@dannysengata2298 nimeiandika kwa Kiswahili ili vilaza kama ww muelewe(INTELLIGENCY) ndo inishinde mm kuandika😂😂😂😂Nimesoma na sina vingereza vyenu vya L kuwa R.

    • @NurdinSaleh-jf8so
      @NurdinSaleh-jf8so 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@kassimrajabu7805ni MENTO FLESH PEKEE ANAEWEZA AKAAMINI HIZI NI HABAR ZA KUTUNGWA, ILA ISRAEL ITABAKI KUWA MBABE WA DUNIA MILELE...

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 vijamaa viongo sana hivi 😅, Jamaa wakitaka wanalenga tu hapo

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @aminazuberi5718
    @aminazuberi5718 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nadhani hii tumepigwa kamba

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂Hii kamba aisee

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tal vivo niwaongo awana mpango ata ww inafaa kuitwa muongo

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 หลายเดือนก่อน

    Miyeyusho tupu ya wasagwa Marinda 😅😅

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน +7

    Waongo hao wamepanga wenyewe ili tuwaone miamba kumbe Hamna marinda Kwanza kwenye mijengo kama hyo unaingiaje na bunduki akat huwa unakaguliwa atakama ni mgeni unataka room kuna CCTV humlika mpka utumboni

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tayari ndugu zako wamebambwa😂😂😂

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน +2

      Waongo balaaaa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@saleemsuleiman2220😂😂😂🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💥

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@saleemsuleiman2220🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💥😅

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน

      @@paulmushi2428 The U.S. government estimates the total population at 8.9 million (midyear 2022). According to the country's Central Bureau of Statistics (CBS) classification system (2021 data), approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.13 May 2023

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo lazma paharibiwe iwe kama gaza

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wayahudi bado wana msubiri masih wao ambae sio Yesu

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 2 หลายเดือนก่อน

      Jikune Kisha ucheke mwenyew upate faraja

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน +3

      Waambie hao Wakristo hawaelewi wanafikiri wayahudi ni wa kristo 😂😂😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@saleemsuleiman2220🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪💪💪💥 mpaka Magaidi waishe💥💥

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo Messiah wanayemsubiri ni huyohuyo Yesu ... tatizo ni kuwa bado wayahudi wengi hawaamini kuwa Yesu ndiye Messiah wanayemsubiri

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน

      @@omondiowino7875 wewe hamna kitu unajuwa Rudi nenda kasome acha kutumia smartphone vibaya kukoment upuuzi 😂

  • @nasseralhatmi1762
    @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣 Jamani Huo ni UONGO haswaaa Vipi wakute BOMU kwenye MALL na wakati leo Mwezi mzima hakuna maduka wa Viwanda wala Kazi za maofisini na Shule zote zimefungwa? Hawa Mashoga Wakubwa Duniani ni Waongo vibaya sana hao TelAviv wanaishi kwenye Mahandaki kila siku hakuna hata MTU usiku anatembea na Barabarani kutwa ni Ving'ora barabarani Hovyoooooo;!!!

    • @NurdinSaleh-jf8so
      @NurdinSaleh-jf8so 2 หลายเดือนก่อน

      Wa kumfanya Tel Aviv aishi kwenye mahandaki ni nani uyo dadaangu, au ndio kujitia KIDOLE na unajinusa mwenyewe..... kwenye MAMENTO FLESH DUNIANI HAYATOISHA😂

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@NurdinSaleh-jf8so 🦍🦍🦍🐄🐄🐄💯😂😂😂

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky 2 หลายเดือนก่อน +1

    Israel inatafuta huruma za mabwanazake😂😂😂

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 2 หลายเดือนก่อน

    Israel ndivyo hilivyo nashangaa watu oooo waongo ,hujaijua irael bado km huijui kasoma biblia ila km huipend biblia bas hiyo ndo israel .

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂Poropaganda tuh wanajishutukia maana wanajuwa wapo malindoni ajibu iran huko mbona story nyingi hivi jamani 😂😂😂😂

    • @NurdinSaleh-jf8so
      @NurdinSaleh-jf8so 2 หลายเดือนก่อน

      Iran si ndio walionyongewa RAIS wao na MAGAIDI kunyongwa na mabomu au NDIO kujisahaulisha

    • @mburatech8402
      @mburatech8402 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@NurdinSaleh-jf8soHawajui hao waarabu weusi

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 หลายเดือนก่อน +2

    wee kipofu, Mungu ana ntoto shoga? 😂😂😂😂😂😂

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 หลายเดือนก่อน +1

      AJABU KBSAAAAAA

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

      Yesu akawaambia mafarisayo kwa sababu mwadani mnaona basi upofu wenu unakaa,
      Waisilamu mnajiona mnaona mambo ya kiroho kumbe ni vipofu kwa sababu hiyo upofu wenu unakaa.
      Au mmukubali Kristo Yesu awafumbue macho ndipo mtaweza kuielewa Biblia.

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@zebedayokatamaduni9676 Cristo mwenyewe hantabui yahud, kwani sio hawo hawo wa yahud, walie nsulubisha yesu nsalabani? Sasa Leo hii nyie wa fuasi wake nna Saliti Tena munawakumbatia maadui wake.. 😂 😂 😂 😂 😂 😂

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 หลายเดือนก่อน

      @@MikelSitoeSoma maandiko uelewe,akili umezisahau kwenye kiuno cha mamaako

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@vincentcharles4385 katika mimi Na wewe nani Anae takiwa kusoma maadiko ili aelewe?

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 2 หลายเดือนก่อน +2

    Netanyahu anaitia Israel katika balaa la maisha

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bora na wewe umegundua hilo, yaani mpaka watakapomshitukia watakuwa wamechelewa sana, jamaa haoni mbele kabisa, yeye anajali kuendelea kuwa madarakani kwa mgongo wa vita hivi.
      Israel haikuwa ikiguswa na mashaka haya ya hofu, lakini sasa hofu imeshaingia na mahandaki yapo kwa ajili hiyo lakini tunakoendea watapigwa kama wao wanavyofanya Gaza. Kwa sasa wao wanajitapa kuichakaza lebanon eti kama Gaza khaaaaa 😳 Yaani waziri mzima unasimama mbele ya chombo cha habari kujitapa kwa mauaji ya Gaza? Wenzie wakiamua pia hali itakuwa mbaya sana huko Israel aisee.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamisisalum6116 Wanatia huruma ni Hamasi na Hezbollah 😅😅

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 หลายเดือนก่อน

      @@hamisisalum6116Waarabu kamwe hawatoshinda vita dhidi ya hilo taifa,watabaki kama ombaomba tu,

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@paulmushi2428🦍🦍🦍🐄🐄🐄💯😂😂😂

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@vincentcharles4385🦍🦍🦍🐄🐄🐄💯😂😂😂

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 2 หลายเดือนก่อน

    We all pray for our Israel

  • @besteva499
    @besteva499 2 หลายเดือนก่อน

    Vita vyawarabu muna gombana watu hamuhusiki afu unakuta muna gombana hata hamujuwani sunaona mukijuwana hata sumu munaweza peyana kati yenu nyinyi nani mu Israeli kwani wao mbona hawa ongereyi taifa retu nachanga moto zetu afu nyinyi muna kazaniyana

    • @gregorybakuza5796
      @gregorybakuza5796 2 หลายเดือนก่อน

      Duuuh aisee, nakushauri utenge muda wa kujifunza kuandika kabla ya kuja kujiaibisha huku mitandaoni! Ulichoandika hakisomeki

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wa Mungu wanaakili sana

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 2 หลายเดือนก่อน

      Nilichogundua akili zenu zipo kwnye giza.kwahyo wewe ni washetani?

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 2 หลายเดือนก่อน

      Mashoga na mashoga wenzao

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadsheni8997Kwa mujibu wa QURAN Israel ndiyo walipewa IBADA ya kweli ikiwemo manabii ila Wazungu na Warabu walikuwa waabudu masanamu😂😂😂
      QURAN 45:16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadsheni8997 Acha porojo kama inakuuma nenda jihad Gaza au Lebanon kama ulivyoagizwa na Qur'an Israel 🇮🇱🇮🇱💪💪💥

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu Hana watoto rekebisha kauli yako

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน

    The U.S. government estimates the total population at 8.9 million (midyear 2022). According to the country's Central Bureau of Statistics (CBS) classification system (2021 data), approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.13 May 2023

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน +1

      1.9% ndio Christian 😂😂😂😂
      Utakuta wakristo wako mbele kushabikia Israel wanafikiri hata wanamjua YESU hao hawamjui YESU 😂😂😂😂

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 2 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@saleemsuleiman2220nawakat ukimtaja yesu unafungwa kifungo cha mwaka gerezani

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusnaMtitiko-yt4ru Sisi WAKRISTO tunawaunga mkono Israeli hata kama Kuna Wakristo wa kiisraeli wawili😅😅😅

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@saleemsuleiman2220wajinga hawa wanawashobokea tu

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@paulmushi2428 sawa kafiri

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani israel isingekuwa marekani wasinge pata taifa nawao wangeitwa kundi😁,sema nivile tu husband wao ananguvu sana zaid ya UN,ameamua kuwasaidia chini ya makubaliano makali pumbavu zake, ila hitrel na stallin walicho wafanya hao watu mh 😿itakuwa ndo wanalipa ila kwanini wasiende kulipa German na Russia?😏

    • @raymrash
      @raymrash 2 หลายเดือนก่อน

      Hujui Historia ...chuki tu zimekujaa ninyi Waarabu mlipewa kipande chenu Cha ardhi lakini hamkuridhika mkataka kuwaua Wayahudi ili mmiliki ardhi yote...matokeo yake mmepoteza ardhi zenu na leo mnalialia

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu nakuomba sana kwa unyenyekevu mkubwa
      Soma Biblia kitabu cha
      Luka 21:24.
      Ukisoma huo mstari usipo uelewa niambie.
      Tunaongea kwa upendo

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@raymrash 😂😏nani alitupa kipande akat UK mwenyewe alikuwa mvamizi maana yeye ndiye aligawa maeneo nakuweka mipaka

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน

      @@zebedayokatamaduni9676 sawa kaka ntafanya hvyo amna shida nime screen shot

    • @raymrash
      @raymrash 2 หลายเดือนก่อน

      @@AFRICA_D669 kama unakubali kuwa UK alikuwa mvamizi basi kwa kuzingatia historia Ottoman naye alikuwa mvamizi, Dola za Kiislamu zote zilizoingia pale na kujenga msikiti juu ya misingi ya Hekalu la Wayahudi tangu Karne ya 7 nao ni wavamizi, Dola ya Warumi ambao iliangushwa na Waarabu nao ni wavamizi, then tukiwatoa wavamizi wote hao tunarudi mpaka Karne ya kwanza na kuwakuta Wayahudi ambao ndio wenye nchi Yao, walionyang'anywa haki ya taifa lao kwa nguvu na mauaji makuu na Warumi..wakasambazwa Dunia mzima..wachache walibaki..ndoto ya kurudi na kuanzisha taifa lao haikuwahi kukoma ..na leo Mungu amewarudisha katika taifa lao la asili kama alivyowaahidi.

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Gani?

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bora angekuwepo Osama Bin Laden, netanyahu angewajuwa vzuri mamluki wa Pakistan wakiombwa msaada huwa wanasaidiaje remember ,"battle of Mogadishu" neta anapambana na warabu wa Palestine na rebanon anajiona mwamba Palestine sikama Rwanda na Hamas M23,

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      Acha porojo, Nenda Lebanon au Gaza ukajiunge na jihad kama ulivyoagizwa na dini yako🇮🇱🇮🇱💪💪💥

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@AFRICA_D669 kuna nsemo mmoja alie wahi kusema Drog ba, Mwaka aliechapwa Chelsi magoli mengi na Arseno, kasema nyumba Bila paka, panya hucheza atakayio, Leo hii Netanyau anajifanya kuwa Mwamba, kwa sababu hamna ntu wa kum lipuwa, angalahu kumtowa jicho moja. 😂 😂 😂 😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MikelSitoe Acha porojo Nenda Lebanon au Gaza ukajiunge Hezbollah ufanye jihad ndiyo alivyoagizwa na Qur'an 😂😂😂🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪💥

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน

      @@paulmushi2428 huko mbona mbali, ungeniambia Somali tu

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 หลายเดือนก่อน

      @@MikelSitoe wapo akina yahaya sinwali mwamba hajawahi onekana😂,kama bado Vita inapiganwa huwezi juwa hatma yake

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 หลายเดือนก่อน

    🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪💪💪

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

      🦍🦍🦍🐄🐄🐄😂😂😂

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu walinde watu wako

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 2 หลายเดือนก่อน

    Lebanon kwisha hawa jamaa bado eti wanajifanya wanavusha vibomu vile vya mkono..

    • @hassanabdallah3202
      @hassanabdallah3202 2 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna unalolijua bado upo gizani

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwisha kitu gani wewe? Wengine bora muwe mnaishia kusoma maoni ya watu tu.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamisisalum6116 Kama una makasiliko na Israeli nenda jihad kajiunge na Hamas au Hezbollah 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪💪💥💥 Hamas Hezbollah kwishaaaa😂😂😂

  • @Saikalyasi
    @Saikalyasi 2 หลายเดือนก่อน

    Yupo wapi yule mrusi Roman Abrahmovic aliyewekeza klabu ya Chelsea

    • @mohamededdi7527
      @mohamededdi7527 2 หลายเดือนก่อน +2

      Yupo kwenye Google, muandike kwenye Google utanuona aliko.

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani huwa nikisikia wayahudi wanawazidi ujanja hao magaidi wakiislamu huwa najiskia raha..... Mungu wa Israel bado yupo kwenye kiti chake cha enzi... waislamu na huyo mungu wao ambaye ni kiziwi watajipanga😂😂😂

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 หลายเดือนก่อน

      Laanatullah ushindwe na ukegee 😡

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน +1

      muungu wa waisilamu anazidiwa nguvu na Marekani na umoja wa ulaya, huyo ni muungu gani
      😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
      Mungu wa kweli ni Mungu mkuu wa Israel 🇮🇱 Mungu wa mbinguni muumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo ndani yake.

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@zebedayokatamaduni9676haya na nyie mungu wenu anayesaidia taifa lenye kusapoti ushoga ni mungu gani? Maana mungu wa kwenye biblia amekataa ushoga

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@tazrywiser5126
      Ushoga ni ushenzi
      Mungu wa Israel Mungu mkuu wa mbinguni muumba mbingu na dunia nzima haungi mkono ✋ ushoga
      Mtu anaye fanya matendo hayo na mengineyo ni chukizo kwa Mungu

  • @DaluNdeyanka
    @DaluNdeyanka 2 หลายเดือนก่อน

    hivi warabu hawanaga nguvu huko mashariki ya kati

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 หลายเดือนก่อน

      Wazitoe wapi,Akili hawana….labda nguvu za kupakatwa

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wana nguvu ya kukufira vizuri mpaka utoe maviiiii kunuka tumbili jeusiiiiii hilooo 😂😂😂