Zuu na fasoni, na pale mwisho kwa kofia kuongea, kunipa faraja sana, hongera mama karobo original, una msaada mkubwa kwa maisha ya Familia yako, naona mambo inaenda Safi kapisaaa 👏👏👍
Hatimaye imepostiwa tuliitafuta hii mpaka tukapatana na baba yangu kipofu fake 😔😔tukaichamba vyakutosha sisi ni Gen z💪💪💪hatujali lolote mbone watumie jina la baba karobo na wenye wanaigiza ni watu tofauti...wapi wa Kenya wenzangu tuanguke nayo ya baba karobo original 🤸🤸🤸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
TUENDELEE KUBURUDIKA NAKUKUMBUSHANA MAMBO KATIKA MAISHA,U SISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII
🎉🎉🎉🎉🎉maua yk baba Joan ❤❤❤❤❤
Mbona Baba karobo hubadili nguo basi......lakini Ivo Ivo twakupenda from kenya
@@BabaJoani mbona au chomeki baba karobo?🇰🇪 Umepigaje apo?😂
🎉 kazi ñzur baba joan na kukubali
Baba joan kazi nzuri zana unayofanya
Kazi nzuri like Kwa baba karobo jmniiiiiiiii
Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 100
Haya ukiwa hzo like unazila au ila watu mh
Na ww tuletee mchez mzr kam uu ap tutakup
Ww unawapaga wenzio
Za nin na wew
Zuzu nakupenda❤❤❤
From Spain watching 🇰🇪🇪🇦❤️🔥❤️🔥🔥
Kazi nzuri baba karobo unaelimisha japo kunawatu ni vichwa ngumu lakini unahelimisha kitu Fulani kizuri
Jamani baba karobo amepata mwokozi wake
@@AgustaMswima-jd1jw ndio
The first one from Kenya wapi likes zangu
Tangu mimi nianze kufwatilia ihi séries sijawai lu commentaire ila kuna watu napaga liké ndo nawaomba leo mnipeni n'a mimi ata likes 10
Kwaiyo unataka wafanye mrejesho sio baba😂😂
Yes ni ukweli anza na Sisi tushikaneni mukono
🎉
Djo vizuri pinga kazi 🇨🇩 baba kalobo dja Mani nipeni la qui yangu
Wawooo nafurahi Sana kwa hii movie mwisho wa loyi umekaribishwa kbx
Wakwanza kutoka Kenya wale walio pendezwa na ujio wa mama karobo kumsaidia ba karobo mkono juu 🖐🖐🖐
🖐️🖐️
🙌🙌🙌🙌🙌
Hi five🖐️
th-cam.com/video/UMU2xJvcre0/w-d-xo.htmlsi=N4I9k8JcpefJhmyK
Nzuri sana
Tena sanaa
Wakwaza leo kutoka Kenya nipate likes zangu jamani
Wanao taka baba karobo amuoe zunjati aweke like hapa ❤ asante
❤
🎉🎉🎉🎉
Tupoooooooooo
Tupoooooo sana
❤❤❤
Mama karombo original umesaidia sana hongera❤❤👏👏👏🇰🇪🇰🇪
Kazi poa
Kweli kabisa
Wa Kwanza kutoka Kenya wapi likes
ᴺᵈⁱᵒ ʰⁱʸᵒ ᵐʷᵉⁿᶻᵃⁿᵍᵘ
Mimi hapa
Mimi niko ndani
Ngoma Safi Hyo kabisa
So amazing, brother. You kept your words that hutakuwa unachelewesha Ep ifuatayo. I like that❤❤
Me wa pili kutoka 🇧🇮 like
Tamu Sana baba karobo na mama karobo congratulations 🎉
The cap talks wow!!😍😍
Kazi nzuri🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 KIGALI RWANDA
Ni movie tamu Sana hongereni Baba karobo Kwa kazi zako nzuri next plz 🎉🎉🎉❤
Wow mambo ni fire 🔥 na watch kutoka Kenya kilifi county.
Kanz nzuri sana sichoki kuwafatiria nataka nijue mwisho wa mama karobo feki ❤❤I🎉
All the way from Kenya 🇰🇪baba karobo ndenda ukaoge😂😂
Zuu na fasoni, na pale mwisho kwa kofia kuongea, kunipa faraja sana, hongera mama karobo original, una msaada mkubwa kwa maisha ya Familia yako, naona mambo inaenda Safi kapisaaa 👏👏👍
😂😂😂😂 jamani nmependezwa na kofia mtulete kamai uku Kenya 005🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good job 👍
Nihatari Kbs baba karobo una urinzi kare ❤❤❤❤ mungu asifiwe 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Urinzi gani anao😂n'a amegundurika we subiri maman karobo feke amende kwa mutaramu waje aweke mucupa uwo muzimu w maman karobo origino anae musaidia😂😂😂😂😂😂😂
Nakubali kaka hii ni fire 🔥
Waaah hiyo ya leo kali hongera kwa kazi nzuri mola awazidishie
Wa kwanza kuwatch kutoka Kenya shukrani 😂 kazi safi
Baba karobo on fire fire fire kabsaa tunawafataa
Wakwanza Léo wa tujuwane nduguzangu ata liké ata moja
Kutoka Zambia like
Tuna kubali sana kazi za Tanzânia from 🇲🇿
Rfk yke zujat mzur sana nampenda the way anavyojistr
Yan tumezoe mpaka MTU eti avae uchi uchi ndo afikishe ujumbe...
Hongera sana baba karobo mswaki ulioisha jamani utatufurahisha sana kazi nzuri nzuri nadugu yangu mungu akubariki sana kwa kipaji chako❤❤
zujet nakupenda (maumbile yako) omwanda 4rom kenya.
From Burundi Bujumbura kila siku nawafuata tena napenda kwaushauli mnatuptia kila siku ❤
Wapili Leo from Dodoma bungeni naombeni like 10 tu wakuuu
Huko bugeni vip pako salama lakin😂😂
Wa dom tujuane from msalato
Samahani kwani like hua zinafaida gani
Wa dodoma mwenzangu nakupa like au vp
@@EginithaMazengo me mvumi moja
Mjitaidi kua mnatupa miendelezo bila kuchelewa ❤❤❤
Wanne Leo naombeni like hata mbili tu tim kalobo please 😢😢😢😢
Kofia moto ❤❤❤ mama karobo feki kitakuramba muda sio mrefu
Wa kwanza kutoka. Burundi 🇧🇮 munipe like zangu😂😂😂
@@AurencienneNiyonizigiye-vr1gw haaaah waketu
Na mimi nakufuta kutoka @BurundiBujumbura 🇧🇮 tuko pamojaa.
Kazi nzuri from Kenya we adore your work
Salimiana zuu❤
Yaan mnachelewa sana kutoa muendelezo hadi tunajisahau maana naipenda sanaaa hii movie
Mmm we nawe unahila mbona unajitahidi sana kuwaisha move
Vita ni vita muraa au sio baba karobo naipenda hii ❤❤
Yaleo nzuri sana 😂😂😂😂😂 for really kisicho dhambi usikifanyie dhambi nimependa sana ❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊
Usinichese somo😀😀😀were niuambe kare asedhambi usimhendere dhambi😄😄😄
@@NeemaStephen-oe4ww 😆 🤣 😂 😹 jamani shogaangu
@@neemakoi6635 😀😀😀🙌🙌
Kaliumbwa na udongo wa mwisho was necessary baba kalobo😂😂😂
Siku zote kanavichavichaa😂😂😂
Sijachelewa sana Leo from 🇲🇿🇲🇿
Wakwanza kutoka Congo Kolwezi.
Embu namm jmn atalike Moja tu utasema sionekan kufatilia kote huku ila Leo mmeiwaisha hii hongeren
Kazi nzuri sana ❤
Nakubali sana Kazi Yako ❤🎉🎉🎉🎉
Muha wa buhigwe first
Primeiro comentário
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Perfect napenda sana❤❤❤❤
Very beautiful videos I like it tomach
Hongera Zujati kutimiza kz yako kumuokoa ba karobo pole fashion 😅😅😅umepanda mtumbwi wa vibwengo afu dereva ni mmbwa😂😂😂
Etyy kw mate aisee zujat katisha ila hata ww ungeweka mana kajaliwa
Wakwaza Toka Africa ya kusini 🇿🇦🇿🇦 like zangu hapo
Mie kutoka Burundi(BJA) mnajua sio pafupi wa TZ Na wengine kutoka zingine countries mnipe likes basi tuendeleye kumuonyesha upendo Baba kalobo❤❤❤
Natoka Kenya Na nafurahia ujio Wa mama karobo kumusaidia baba karobo hiyo Ni poa kabisa
Wanawake wabaya tuishinao kwa akili
❤❤❤❤nimewapenda sana yan saii mambo ni moto moto tu sana
!!!Nimewahi leo from KENYA❤❤❤
Mama karobo nakupenda upo vizuri sana
Kidogo ni seme umesahau kofia
😂😂😂😂😂
Ulitaka kumkumbusha 😂😂😂
Baba karobo mume wangu 😅😅much love from Kenya 🇰🇪
Nakupenda sana nasra❤❤
Hii movie ni nzuri sana much love from kenya congrats❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jamani musiwe nagawisha filamu kama na ivi, congo tupo kwajili yenu, tunawapenda sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wa RD congo mutiye like zenu hapo
Wow hongera baba kalobo❤❤❤😢😢
Huyu mama kalobo Ako naroho baya Kama yashetani
Kulwaed ww matayo mswaki wa kuisha 😂😂
Zujati mama usiyatindiganye apo ❤❤❤
Hatimaye imepostiwa tuliitafuta hii mpaka tukapatana na baba yangu kipofu fake 😔😔tukaichamba vyakutosha sisi ni Gen z💪💪💪hatujali lolote mbone watumie jina la baba karobo na wenye wanaigiza ni watu tofauti...wapi wa Kenya wenzangu tuanguke nayo ya baba karobo original 🤸🤸🤸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kumbe nawe yalikukuta😂😂😂😂
@@Mohabmts Yalinikuta jana 😀😀
Karibuni huku
@@BabaJoani Asante sana baba Joani kwa kupitia comments zetu🙏🙏ila jana tuliitafuta sana hii uwe unafanya tupate notification uki upload!
Da pichai nzur sana japo inachelewa kutoka
Woow mambo moto❤
Kazi nzuri saana basi mcheleweshe sehemu inayofuata
Ni ya moto 🔥🔥🔥
Baba kalobo kazi nzuri sana kaka ubarikiwe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Janet
Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sanàa 🇷🇼🇷🇼
Leo nimefika mapema naomba hata likes tano
Waooh kaz nzur san baba joan
Mapema ndio best 😂😂😂😂
KAZI Safi, waiting for episode 25
Team baba karobo ❤❤❤❤❤ nawapenda sana,, nami nipate like ata 10 jameni
Kazi nzur sanaaaa baba Joan hongera
Good job my brother
Vraiment
Ipo vizuri sana msichelewe kutoa muendelezo baba kalobo
Bonne prestation, vraiment c'est formidable !!
Ila hata nmechelewa walio wacht wa kiwa Johannesburg tujuwane❤
Baba kalobo kusahausahau nayo bona ulikua umeacha kofia😮
Mimi wa kwanza kutoka Burundi, nipeni likes zenu
Mambo motomoto bombom kwa baba yangu kipofu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mama kalobo fek meals uyu utaumbuka wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂waiting 25
Nzuri
🎉❤ Leo nipeni maua yangu pamoja na team baba Joan kazi nzuri kutoka kenya ❤🎉
Uku wa2 hawalal
Next please
Wakenya tupo🇰🇪
Tupo🇰🇪
Baba Joan Mimi nimuha kutoka kigoma kwasasa naishi Zambia nakufwatiria sana ndugu yangu hongera sana baba Joan nawaoenda sana wote mupo vizuri
Kibanio mrembo ❤❤❤
Sanaa❤❤