Mahakama yatupilia mbali kesi mbili za umiliki wa hosipitali ya War Memorial

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Ni Afueni kwa wamiliki wa hosipitali ya Nakuru War Memorial baada ya mahakama ya Nyahururu kutupilia mbali kesi mbili za umiliki wa hosipitali hiyo.Sasa, hosipitali hiyo imesalia mahame kwa zaidi ya miezi minane baada ya Serikali ya kaunti ya Nakuru kuvamia na kuchukua umiliki wa hosipitali hiyo mwaka Jana. wafanyikazi wa War Memorial pamoja na wakurungenzi wake wako nje ya lango la hosipitali hiyo kushinikiza kaunti ya Nakuru kufungua hospitali hiyo.

ความคิดเห็น • 5

  • @harrisonngeta7
    @harrisonngeta7 2 หลายเดือนก่อน

    You do need not need to be told they goons! You can clearly see.

  • @achie2756
    @achie2756 2 หลายเดือนก่อน

    Grabbing even hospitals? Kenyans are mad - look at the goons behind., maybe paid 500/- today n don’t think of tomorrow. We are so far from civility in Kenya? It’s such a shame. Wanatake kuzalia kwa nyumba, What if you develop complications in the house?

  • @benardoenga2876
    @benardoenga2876 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni watu wamelipwa Tu Mia mbili kupiga Kelele yenye haina maana

  • @susannyambura3759
    @susannyambura3759 2 หลายเดือนก่อน

    Mumekomboa Hadi chokora anavuta gum watawafinish kumalo weee