ISHARA 10 EX-WAKO YUPO ANAKUPIMA - Johaness John

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @ArafaHusen-r1b
    @ArafaHusen-r1b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nikwanini mpaka mwezi upite ndio akurudie kama alikuwa anakuhitaji tena

  • @Namnyakilucas
    @Namnyakilucas ปีที่แล้ว +3

    Kaka Joh habari..ni kwel kabisa watu tunapitia magum..mimi mpnz wang alinikalia kmy bla kusema chcht takriban wiki ya pili sasa .smu hapokei wala sms hajibu.. nashindwa kufanya maamuz nampenda sanaa

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      0768275795

    • @luckymilani8927
      @luckymilani8927 7 หลายเดือนก่อน

      Baada ya kusikiliza video.zake zote kaka.angu huyu nimepata ujasiri kaa.kimya usishushe thamani yko❤

  • @ZainabSoud-u3u
    @ZainabSoud-u3u ปีที่แล้ว

    Mm wangu anasema hanitaki lakini pia hapo hapo anasema mm nitahama mm namujibu sawa hama yy anajibu sawa napia niktaka kutoka ananipiga anasema maneno makali sasa sijui ananini huyu mtu wangu naomba jibu kaka angu hapo

  • @praxedaPeter
    @praxedaPeter ปีที่แล้ว

    Mim wakwagu zimepita miez minne hanitafuti hata sijui ndo kaenda mazima ila nampenda sana

  • @FaithKhayanga-cm9ht
    @FaithKhayanga-cm9ht ปีที่แล้ว +1

    Sure ni ukweli

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 ปีที่แล้ว

    Sasa coach kama ndo nyote mnaskilliza namna yakumuweka no contact tukiwekana sote no contact eti kila mmoja anasubiri kutafutwa itakuaje ikiwa nyote mna tegezana wakati wote wanasikia ushauri wako hapo inakuaje

    • @victoremanuel29
      @victoremanuel29 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 Hilo nalo neno daaaah

  • @aminaKhamis-f6q
    @aminaKhamis-f6q ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli yote uliyo ongea mie alifanya hivyo na akarudi ila karudi mwezi huu na kakata tena mawasiliano tena😂😂😂

    • @victoremanuel29
      @victoremanuel29 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @victoremanuel29
      @victoremanuel29 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mapemzi konyo😂😂😂😂

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 4 หลายเดือนก่อน

      Mtihan wallah. 😢😢😢

  • @ndiwaboy9883
    @ndiwaboy9883 ปีที่แล้ว

    Wangu alinikal jana after silent hashiki simu nikaakata kushika hadi sai haja call tena nimpee 30days bado

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      Sijakuelewa

    • @ndiwaboy9883
      @ndiwaboy9883 ปีที่แล้ว +1

      @@johanessjohn nilipigiwa jana na ex wangu yule waa ku cheat, nillipokuwa nampigia awali hangeweza kushika jana amenipigia nikaakataa kushika nifanye nini

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      @@ndiwaboy9883 muda gani umepita tangu umstishie mawasiliano?

    • @ndiwaboy9883
      @ndiwaboy9883 ปีที่แล้ว

      @@johanessjohn siku tatu

    • @praxedaPeter
      @praxedaPeter ปีที่แล้ว

      Sijui Kama ananiwazia tena