FULL VIDEO: Baraka The Prince FIESTA 2016 Dar es salaam performance

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Ni mwimbaji miongoni mwa Waimbaji ambao hawana muda mrefu toka watambulike kwenye bongofleva lakini ukubwa wake umezidi kuongezeka siku hadi siku, tazama alichokifanya kwenye FIESTA ya Dar es salaam 2016.

ความคิดเห็น • 38

  • @asanathhamada6842
    @asanathhamada6842 8 ปีที่แล้ว +1

    aiseee baracka na kiba kitu ki 1 duuh sauti zao ni shidaaaaaaaa balaka upo juuu sana mungu akubaliki katika kazi yako hii ya muziki

  • @doiyzamda3428
    @doiyzamda3428 8 ปีที่แล้ว +7

    nice vocal music.
    u ar rl a fantastic musician Barack, kp t up bro!

  • @khadijaahmedy3210
    @khadijaahmedy3210 ปีที่แล้ว

    Baracka nyimbo zako nzur aisee hazichuji

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Prince Baraka umekonga nyoyo za watu hiki ndy kitu Watanzania tunataka ongeza juhudi na matokeo utayapata. Ahsante Millard

  • @suzykinyonge8980
    @suzykinyonge8980 7 ปีที่แล้ว +2

    napenda sana kazi zako,napenda colour yako you are real african,jivunie rangi yako

  • @herybahati5841
    @herybahati5841 8 ปีที่แล้ว +6

    anajua sana mpaka shidaaaa

  • @allyabdallah1288
    @allyabdallah1288 8 ปีที่แล้ว

    Aisee barakha naipenda sana sauti yako we fund mzuli sana nakuona mbali sana miaka tano ijayo kama Allah akiendelea kukup uzima!!!!! tunakupenda sana barakha

  • @salimrashidy5361
    @salimrashidy5361 3 ปีที่แล้ว

    Love

  • @ShallzBaro
    @ShallzBaro 8 ปีที่แล้ว +9

    huyu jamaa na alikiba kitu moja. hawa watu wakiacha utani level zao hata hazipimiki. kuimba live na kufariji watu sio sport sport bhana.
    TANZANIA MMEBARIKIWA

  • @pilfilhabibkarim6731
    @pilfilhabibkarim6731 8 ปีที่แล้ว +1

    nice song baraka keep it up

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว

    Nice no 3 yangu

  • @sirgomahojoa969
    @sirgomahojoa969 8 ปีที่แล้ว +1

    Hii kweli Imoooooo

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 5 ปีที่แล้ว

    umeua baraka

  • @lilianakinyi8304
    @lilianakinyi8304 7 ปีที่แล้ว +5

    one day i will date Baraka de prince my dream man i love you

  • @joskprotas8959
    @joskprotas8959 8 ปีที่แล้ว

    tutupie ya means millardayo

  • @witinesmathias3804
    @witinesmathias3804 6 ปีที่แล้ว

    unaikonga mioyo ya watu kwa huo wimbo (siwezi)

  • @gracerichard5199
    @gracerichard5199 7 ปีที่แล้ว +1

    baraka nilikuwa shabiki yako mkubwa sana tena nilivyokuwa nakupenda ni mungu ndo ajuae, lakini uliniboa siku nimekuona karibu na ulininiuliza swali nikakujibu cha kushangaza ukawapondea sana toka hapo niliona wew unadharau sana au kwa vile uliowapondea bado hawajawa juu lkn ujue hata wew ulitoka huko uliniboa sana na nilipunguza % kwako

  • @joskprotas8959
    @joskprotas8959 8 ปีที่แล้ว +1

    tunahtaj ya msami

  • @samuelmichael3170
    @samuelmichael3170 7 ปีที่แล้ว +3

    iko PW san

  • @djorstimella24
    @djorstimella24 7 ปีที่แล้ว +1

    ovyo tuuu barak

  • @official_marley09
    @official_marley09 8 ปีที่แล้ว +1

    unajua ila tatzo unasahau shoo na kumuimbia mpenz wako style ulioimba haitakiw kwenye show kama fiesta hii style ni ya club ama ukumbin maana iko tofaut na watu walichotaka naiman ulijifunza coz hata shangwe hukuziona kama show zako za zaman

    • @lizmass4253
      @lizmass4253 7 ปีที่แล้ว

      Malley Athumanjr tulia tu hujui unasema nini

  • @kelvnkahaamba2895
    @kelvnkahaamba2895 8 ปีที่แล้ว

    brook kituuu umeuwaa

  • @suleshmuntalsulesh6369
    @suleshmuntalsulesh6369 8 ปีที่แล้ว

    hatari

  • @saimontaganyamgeta6276
    @saimontaganyamgeta6276 8 ปีที่แล้ว +1

    mimi nitofauti nawaliopita
    kiukweli skupendi hata kidogo

    • @official_marley09
      @official_marley09 8 ปีที่แล้ว +1

      Saimon Taganya Mgeta aliimba kama anamuimbia bibi harus ukumbin alijisahau kushituka kumekucha fiesta c ya style hzo

    • @saimontaganyamgeta6276
      @saimontaganyamgeta6276 8 ปีที่แล้ว

      Yaani imeboa kweli
      Sio kila kitu tukusifie
      Hata kama umefanya vibaya
      Lazima tukukosoe ili another day urekebishe

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 8 ปีที่แล้ว

    huyu demu alieimba nae ni nani

  • @allyabdallah1288
    @allyabdallah1288 8 ปีที่แล้ว

    Aisee barakha naipenda sana sauti yako we fund mzuli sana nakuona mbali sana miaka tano ijayo kama Allah akiendelea kukup uzima!!!!! tunakupenda sana barakha

  • @samuelmichael3170
    @samuelmichael3170 7 ปีที่แล้ว +1

    iko PW san