MWENYEKITI ACT:ZANZIBAR INA DHULUMIWA KWENYE MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 10 วันที่ผ่านมา +1

    Watanganyika wanatuziii hawoo hawana upendoo na ss sio wat wakukaaa nao makafir

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 9 วันที่ผ่านมา

    Wangazija na umasikini wao wana nchi yao. Washelsheli wana nchi yao. ,Mauritius wana nchi yao. Madagascar wana nchi yao. Cape VERDE wana nchi yao. Sao tome and principle wana nchi yao. Kila nchi hapa Afrika ina malaka yake na raia wao. Vireje zanzibar tu lazima iwe chini ya Tanganyika .vichekesho na dhulma na ukosefu wa imani na huruma ni utapeli tu wa kufisidi maisha na fursa za wazanzibari katika nchi yao

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 13 วันที่ผ่านมา +1

    HAKUNA ASIEJUA KUWA WAZANZIBAR WANADHULUMIWA KATIKA VISIWA VYAO . SI SIRI TENA DUNIA NZIMA INAJUA.

  • @w4058
    @w4058 11 วันที่ผ่านมา

    Asia tatizo liko kwa watanganyika zaidi

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb 14 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm wizi ajabu

  • @w4058
    @w4058 11 วันที่ผ่านมา

    Kweli hawamezi wala hawatemi

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 14 วันที่ผ่านมา +1

    Act mushirikiane na chadema kwenye kura ya rais wa tanganyika musidharau hilo act kwa tanzaniya bara ni ndogo

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 13 วันที่ผ่านมา

      Act 2nasimama na Samia Tanganyika uo ndo ukweli siri ipo kwenye ilo 2naenda kumpa kura ye2 Samia kwa maslahi ya znz

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 15 วันที่ผ่านมา

    MAKAMO UYASEMAYO KWELI KABISA KUUNGANA KWAHAKI TATIZO LIPO WAPI ?
    CCM SIMRUDISHE MAMLAKA KAMILI NA MUUNGANOWANU UWE KAMA NCHIZINGINE ZILIZO ENDELEYA ,!!!
    MCHI INAPOTEYA HIVIHIVI NA ILIKUA NCHI NZIMA WASOMI WAKIMATAIFA .NYERERE NA WA UK ,NAAMA WALICHEZA KABISAAA

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 15 วันที่ผ่านมา

    Omoooo kashindwa Maalim ije iwe wewe

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli nae anaweza kushindwa maana CCM hawashindi kwa uwezo wa Allah hayo ndio maneno yao. Sasa ukiona mtu anasema yy anajiwezesha pasipo na Allah kutaka huyo muogope lolote atafanya ilimradi atekeleze analolitaka

    • @HamidJuma-h8w
      @HamidJuma-h8w 15 วันที่ผ่านมา +1

      Allah humpa amtakae na humnyima amtakae kwaiyo kushindwa kwa maalim seifu sio kushindwa kwa Allah,, na inaonekana ww unapenda kuona wazanzibari wapo kwenye dhiki Ccm ni madhalimu kama serikali ya Netanyahu Israel

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 15 วันที่ผ่านมา

      @HamidJuma-h8w Hatujafahamiana. Soma vizuri comment yangu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 14 วันที่ผ่านมา

      Maalim hakushindwa Bali alidhulumiwa Kwa upole wake na Imani yake!huyu sio Maalim muliyekuwa mukimchezea shere!

    • @asiakhamisi469
      @asiakhamisi469 14 วันที่ผ่านมา

      Maalimu hajashidwa maalim kama sikufika mbele ya haki azingechoka wala kushidwa