I always listen this songs regularly, Exppesuly when am going to song lead they give me power and strength. God bless you brothers and sisters, blessed from kenya
Bwana yesu awabariki ndg na dada zangu wathamani..... Mungu awabariki sana sana sana ....nimefurahishwa na uimbaji wa kikale mlouonesha ....😀😀😀😀💥💥👏👏👏👏🙏🙏🙏🙋♂️🙋♂️
Hakika namuona Mungu kupitia uimbaji huuuu nawapenda sana watu wa malaki 4 Mungu awabaliki sana sana 🥰🥰🙏🙏😘😘naupenda uimbaji kale walioimba watakatifu wa kale mwaaaaaa
Hii huduma naipenda kuijua zaidi. Mana nikisikiliza mahubiri naguswa sana na sana. Naitaji mwenye uelewa mzr anipe maelekezo ya wapi ipo. Nazani Mungu atambariki sana. Amina
Mungu akubariki sanaKijana, Sija jua wewe unapatikana wapi ..... unaweza kunipata kwa namba hii 0655520115, waweza wasiliana nami.......... mahali popote ulipo naweza kukuonganisha na watu wa Imani hiyo
I always listen this songs regularly, Exppesuly when am going to song lead they give me power and strength. God bless you brothers and sisters, blessed from kenya
Hallelujah.hakika mmenigusa .nimeisikia hiyo chemchem ikibubujika ndani yangu.mbarikiwe Wana na binti za mungu.
Amina Mungu awabariki sana wapendwa katika jina la Bwana Yesu Kristo.
Amen 🙏 mungu awabariki sn wapendwa
Very nice songs from Tanzanian believers
Bwana yesu awabariki ndg na dada zangu wathamani.....
Mungu awabariki sana sana sana ....nimefurahishwa na uimbaji wa kikale mlouonesha ....😀😀😀😀💥💥👏👏👏👏🙏🙏🙏🙋♂️🙋♂️
Huko ndiko kule kuhimba kwa mtindo wa kale.
Nataka za Mungu wa Branham ziwe juu yenu nimeupenda uimbaji wa mtindo wale🙏🙏🙏
Hakika namuona Mungu kupitia uimbaji huuuu nawapenda sana watu wa malaki 4 Mungu awabaliki sana sana 🥰🥰🙏🙏😘😘naupenda uimbaji kale walioimba watakatifu wa kale mwaaaaaa
Nafuhi kwasababu jina langu limeitwa hakika nalikiwa mnooooooooooo
Good songs from Tanzanian believers
Nyimbo ni nzur za wapendwa ktk bwana
Hii huduma naipenda kuijua zaidi. Mana nikisikiliza mahubiri naguswa sana na sana.
Naitaji mwenye uelewa mzr anipe maelekezo ya wapi ipo. Nazani Mungu atambariki sana. Amina
Amina. Wewe upo wapi Ndugu?
Mungu akubariki sanaKijana, Sija jua wewe unapatikana wapi ..... unaweza kunipata kwa namba hii 0655520115, waweza wasiliana nami.......... mahali popote ulipo naweza kukuonganisha na watu wa Imani hiyo
Amina sana
🦅
Wapo Lushoto lakini pia unaweza kuwapata maeneo mengine mbalimbali ya Tanzania
Mungu awabarik wapendwa;