Since u started the ministry in class 3 I have been 4 lowing u...hata uki graduate kumaliza shule ya msingi I was here on utube baby boy goodluck in the high school may u lead in every subject an give the best final grade to join university in Jesus name 👐👐👐
Congratulation dear👏👏 Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi,,,,Mshukuru Mungu adharani ili azidi kukuinua adharani,,,Mungu wetu sio wamaficho usimfiche Yesu mfukoni, muonyeshe kwa watu ili watu wamuone Mungu kupitia wewe🥰🙏🙏,,,,,I love you❤
Mpambanaji hachoki mdogo wangu nakupenda sna na ni mfuatiliaji wako sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzanian macho kwako mdogo wangu hakuna asiyekupenda
Nyimbo nzuri sana, hasa kiitikio, ila mumsaidie kwenye nyimbo nyingine asiweke mashairi ya kimichambo michambo (walisema ......). Mtu wa Mungu unatakiwa kushukuru na kusifu. Haya ya kuwasema wengine waachiwe watu wa taarabu na singeli.
Na kweli mungu n wa ajabu,,,,,, huyu mtoto anaenda mbali sana,,,,,washindwe wanaotabiri uongo zao za kurudisha mtoto nyuma katika jina LA yesu
KEEP IT UP, MUCH FROM KENYA AND WELCOME AGAIN TO KENYA WE LOVE TANZANIA PEOPLE
Kwani watoto wakipewa kipaji sisi wengine tulikuwa wapi..Ee Mungu saidia kijana huyu..kazi nzuri unayoifanya natamani
Hongera kwa kumshukuru Mungu kwa kila Jambo
Mungu akutunze akugikishe viwango vingine ktk kutimiza kusudi lake
May God continue blessing you as i watch your songs i can't control tears of joy and happiness .....from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uko vizuri sana kijana wangu mungu akulinde Kila unapoinuka
Congratulations 👏👏👍 big up Antoni
Congratulations Yohana. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A boy knows much to sing, may God raise you moreee
Congratulations 🎉 yohana mtoto mdogo ,,, nmeshuhudia neema ya yesu inakuzunguka Kila wakati mungu na akubariki zaidi na neema izidi kuwa nawe milele
Continue serving lord 4rever
I love your song ❤❤God bless you🇰🇪🇰🇪
Hongera sana mwanangu mungu azidi kukupandisha viwango kwa viwango ilove you so much
Mungu akubalik sana yohan napenda San nyimbo zako
We injoy your songs from zambia 🙏🇿🇲🎸
Amen ubarikiwe sana Tena Sana na hongera sana 🙏🏽 be bless 🙌🏽 Congratulations 👏🏽
Napenda san sifa
Much love mtoto yohana ,,,,,,salamu nyingi kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Namwombea yohana pamoja na wtt wote mungu awabari nakuwalinda siku zote
Wuuhh enjoying the powerful song here at Kenya 💞💞 lots of love Anthony 💞
Nataman sana mungu wak aliye Fanya wounders katika huduma yak afanye piah katika huduma yangu bye........mtumixhi Elias ximfukwe
Hongera sana mtumishi wa mungu atakuinua zaidi ya hapo 👏👏👏🙌🙏
Keep going your blessed much love from kenya
Congratulations 👏👏 looks like my son love you baby boy🙏🙏
Mxhukur mungu kwa kila Jambo maana amefanya mamb makubwa Na ya kuxhangaza katika huduma yako by Elias as gosple xinger from rukwa
May Almighty continue lifting you each and everyday of your life.
Listen from kenya
hongera sana mtoto Anthony Mungu akuongoze ktk uimbaji wako ✍️🙏
Since u started the ministry in class 3 I have been 4 lowing u...hata uki graduate kumaliza shule ya msingi I was here on utube baby boy goodluck in the high school may u lead in every subject an give the best final grade to join university in Jesus name 👐👐👐
Amen 🙏
Hongera tutarajia ata uko unakoenda utafaulu sana ubarikiwe sana
Thank you God for helping the boy through good hearted people church ; well-wishers etc God bless them too watching from.kenya
Ni Elizabeth mukoya yohana ubarikiwe sana unanifanya nasikirahaa mungu akuonekanie
Hongera sana mdg angu mungu hakukuze hvy hvy God bless you
Hongera sana mwana wa Mungu, Mungu ashindwi kamwe,be blessed 🙌Yohana.Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
I listened this song more than 10 times
Wish you all the best as you continue schooling ahead watching from kenya
Karibu sana Kenya 🇰🇪 mm nimekupenda san wacha mungu akubariki san
Barikiwa sana! Mungu azidi kulinda kipaji chako!
Hongera sana mdogo wangu Mungu akutangulie nakupendq mno🙏
Hongera sana mdogowangu mungu azidi kuku Linda na kuku tetea ktk masomo yako
Mungu akulinde na akujalie . Twakupenda .
🎧🇰🇪🇰🇪
Hongera sana ndugu yangu
Nakuona dogo pambana sana mdogo wangu
Congratulations 🥳🥳🥳🥳 kenya tunakupenda sana
Hongera Sana mdg wangu kwa kukumbuka kumshukuru Mungu. Wengi tunaomba tukijibiwa tunasahau hata kumshukuru Mungu,,,,
Hongera Sana mungu azidi kukupigania katika masomo na huduma ya uimbaji
Congratulations kwa nyimbo nzuri
Good boy with a vision
Huu wimbo umeniingia moyoni mpaka nka subscribe anyway good job mtumishi yohana🙏
Congratulations kijana . Keep on shining... You great... Let your mission be a blessings to many.... #From kenya
🇰🇪
Amen glory to God
Kumtumikia Mungu Kuna faida,HONGERA Sana mdogo wetu
Wow ,,,, congratulations young boy keep up
Hi every one the way i like gospel this child let God protect him and give him what he wants in JESUS s name
May God Continues Blessings You. You blesses me with your songs. From Kenya.
Nice one you really bless me ...#Makueni Kenya
Me too
Kenya too watching awesome talented boy
From Kenya 🇰🇪🇰🇪
Mungu hakutuita tuaibike Bali tuheshimishwe. The message is at home
Be blessed Antony 👏👏👏
Hongera Sana mdogo etu ubarikiwe ufike Hadi chuo kikuu
Congratulation dear👏👏 Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi,,,,Mshukuru Mungu adharani ili azidi kukuinua adharani,,,Mungu wetu sio wamaficho usimfiche Yesu mfukoni, muonyeshe kwa watu ili watu wamuone Mungu kupitia wewe🥰🙏🙏,,,,,I love you❤
May God protect you mtoto. May sky be your limit in the Name of Jesus Christ ✅🙏🇰🇪💞
Mungu akubariki Sana, pastor sarah
Mungu akuzidie Baraka na neema kaka
Hapa Kenya 🇰🇪 nakuombea
Wow love you so much kid👏👏👏❤️🙏🙏
Hongera Sana..mwanangu mung u aendelee kukuinua
I love this song❤❤
Good work Antony may the lord protect you son
Antony ongera my boy.....ume weza
Mungu akutie nguvu tunazidi kubarikiwa kwa huduma yako 🙏
Mungu akubariki na uzidi kuenda mbele kweli umenigusa
Hongera sana mungu akulinde sana Kenya twakupenda sana.
Hongera baby boy Mungu azidi kukuinua
Thank God for that ... from 🇳🇦
Wawooooooo thank you so much for very song
Go Go Antony you are a blessing Tanzania n Kenya,am in tears just now,may almighty God keep on anointing you with more n more blessings Amen
Nakupenda tu sana vraiment Blaise banyene toka DRC
je t'apprécie très fort 💪
Mpambanaji hachoki mdogo wangu nakupenda sna na ni mfuatiliaji wako sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzanian macho kwako mdogo wangu hakuna asiyekupenda
Big up yohana GOD bless sana
Be blessed unaenda mbali from one glory to another
Bado tunazidi kukupa hongera Yohana....👏👏thumbs up .....👍👍success wishes in all that you do
Good work yohana may GOD proctect you all the days of your life have courage when serving jesus in your youth its so hard congtrats
Mungu akusaedea ame
Watching you from USA, We love you Anthony.Victory Belongs to Jesus always.
Mungu atakupeleka mbali napenda sana nyimbo zako
Mungu akulida san
Unaimba mfumo wa gossip 2
Nakupenda MDG wangu honger
Asante kwa ushuhuda
Mungu akufanye kichwa na si mkia
Ubarikiwe Sana , nakuombea maisha marefu ya kuzidi kumshukuru Mungu kwa nyimbo za injili.
Nyimbo nzuri sana, hasa kiitikio, ila mumsaidie kwenye nyimbo nyingine asiweke mashairi ya kimichambo michambo (walisema ......). Mtu wa Mungu unatakiwa kushukuru na kusifu.
Haya ya kuwasema wengine waachiwe watu wa taarabu na singeli.
Ndio wanaomtungia Wakubwa yeye Hatungi
Umesahau WaTanzania wengi ndio uimbaji wao?Sijui nani Aliloga Injili ya uimbaji?
Napenda nyimbo zako sanaa ziko na mafunzo mema sana 🙏🙏🙏
Nabarikiwa na nyimbo nzuri nikiwa dubai, barikiwa sana kijana wa yesu,songa mbele na yesu atakuinua zaidi,atakutumia zaidi mpaka madui wanyamaze
young boy i just love you with my heart continue loving God
Mungu akupiganie mdogoangu nakupena nataman ufanane na mwanangu
Tunapenda wale vizana sana zaidi
Mungu akupe nguvu young boy listening from Kenya God bless you
Amen mungu hakubariki mwanagu yohana
Mungu amsaidie nyimbo zake ni tamu
Mungu akusaidie Sana
Wow young brother congratulations..... blessed from Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu akuongeze kibali upate kwenda mbali sana😍🔥🔥🔥
Love you so much from Kenya 🇰🇪 kitui County siku moja tutafanya collabo name,,You have nice voice and songs full of message
Wimbo zako Zina pendeza xn
Watching from Saudi Arabia....
Congratulations 👏👏👏more blessings 🙌🙏❤
Wow great work young brother, we love you as Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabisa broo nzomo
The product of strong parents, wazazi WA huyu mtoto Mungu awabariki sana. Wazazi Wenzangu nawaomba tuwajenge watoto wetu
Ubarikiwe sana mdg wangu kwa kz nzr
Wow babe boy unazidi kuwa handsome...be blessed 🙏💕... From mombsa 🇰🇪🇰🇪
Wooow mungu akubariki🙏 nazaidi yayote akupanulie mipaka katika elimu yako namuziki wako be blessed young boy🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congratulations Anthony your songs are very nice🥰
Amen Amen God bless you yohana🙏🇿🇲
yohana upanuke katika dunia unanibariki sana kwanyanyimbo zako
Much love from 🇰🇪🇰🇪may God bless u son love ua song
Congratulations 👏, utasoma Hadi ng'ambo mtoto🙏🙏 much love from Kenya 🇰🇪
Amen amen 🙏🙌👏mtumishi wa mungu barikiwa sana na wimbo safi sana amen amen 🙏🙌
Hongera dogo kwa kipaji