Tutasema polisi wanamakosa labda kufyatua risasi za moto😢ila sasa sisi wananchi kuchukua sheria mkononi si sawa kama unahisi wameiba watoto si mtoe taarifa sehemu husika daaah tunapoteza ndugu zetu kizembe sana😢
@@abdulkarimabdallah9536 sawa mbwa mwenzangu.sasa walivyofnya ivyo nn Faida?? Matokeo yke wanauliwa! Hiyo ilikuwa sio solution ila kwa vile na ww hakili una ndio maana unaona sawa. Uwezi shindana na serikali
Wako sahihi kujilinda iwapo suala la kulindwa limetelekezwa, tatizo ni hawana maarifa ya uchunguzi na Polisi hawatoi mrejesho wa matukio ya mauaji yanayotokea kwenye jamii zao
Mnaolaumu polisi, naomba niwaulize wangeuawa hao wanaume wawili wasiokuwa na hatia pia kosa lingekuwa la nani? Lakini pia mnasahau huyo polisi akivua izo gwanda na kurudi mtaani anaitwa baba,mume au mke,mjomba,na ni mtoto wa mtu pia,kwa mawe hayo mlitaka wafanye nini zaidi ya kujitetea nao uhai wao, issue iliyopo ni kwamba watanzania wengi tuna misongo ya mawazo, tunahitaji msaada maana tumezidi kuwaua ndugu zetu pia wasio na hatia,juzi tumetoka kumuua Mandojo,tumechoma magari ya wenzetu Manyara tukizani ni wezi kumbe sio kweli,Tujitafakari na sisi tuache lawama kwa polisi,uyo police nae ni mtu kama wewe kuvaa ilo vazi kusifanye tuone tunaweza hata kuwatoa roho zao na wenyewe waangalie tu.
Kabla hujauliza Em jua kwanza chanzo cha haya yote Mpaka wananchi wanafikia hatua yakujichukulia hatua mkononi wenyewe ninini sababu kisha ndo uwalaumu hapo bado wakulaumiwa niihao hao polic unaowatetea na waliowapa hayo marisasasi Labda nikuulize wewe hapo mtoto chini ya miaka 18 akijinyonga hua anaulizwa nani kwanza Kabla yakuwalaumu wananchi em elewa sababu ninini mpaka wakafikia hapo Ivi niwatoto wangapi wameibiwa nchini nawengine kuokotwa wakiwa wameuliwa naviungo vywa kunyofolewa kikatili nahao unaowatetea wakiwepo nahayo marisasi yao mkononi bila msaada wwte mpaka leo watekaji wa wtt na watu wazima niwatu wasiojulikana Hao wananchi wamegongwa na nyoka so wakiguswa na janitu lazima wastuke em acha porojo hakuna chakuwalaumu lawama zote nizahao wawindaji wa teresia na mwingine
Swali la nyongeza kwako mama police Ivi kitaaluma risasi ikipigwa juu huwa kawaida hua inapitia dirishani mpaka kifuani au juu ya paa Au police inafaa kufyetua risasi kwamuelekeo wa wananchi kwahi PHD yako naomba unijibu Mama police
Ina sikitisha sana sana sana sana jaman hii tabia ya kuuwa raia it's Isha lin binafsi nimelia sio Siri yaan mtoto wa watu hajui hili wala Lile amepigwa risasi
Naweza sema police wanamakosa lakini pia wananchi nao wananakosa 1, police wametengeneza taharuki mioyoni mwa wananchi na kushindwa kuaminika pengine wanapaswa kutoa hofe kwa wananchi wao ndio maana wananchi wanajaribu kujitetea kadli wanavyoweza ndio maana inafikia mahara madhara yanakuwa ni makubwa 2,wananchi ni kosa kujichukulia sheria mkononi taarifa hizo zilipaswa ziwafikie jeshi la police haraka wao ndio wangebainisha kama ni waharifu au raa
Wananchi tusijichukulie sheria mkononi lkn mpk uchunguzi wa Police ufanyike lkn pia hapa Uongo wa jeshi la Police umejitenga pembeni wameelekeza Bunduki kwa Raia wanasema walipiga juu na inawezekana hawakuwa na mabomu ya machozi Kituoni hapo walitumia silaha za moto tu. Imebainika Police Wa Tz jifunzeni kwenye hili na kuweni na kujali uhai wa Waraia au Binaadamu risasi usawa wa dirisha ni aibu
Hao wananchi mm nadhan hawana kosa ila kosa ni viongoz ngaz husika hawatoi elim has katka maeneo dun kama huku vijijin dhid ya mambo kama hayo kwahyo polis ilibid waite msaada zaid katka vituo vya polis jiran ili kusadia kuwatawanya wananchi na sio kutumia siraha za moto damn
Maoni yangu jeshi la polisi limekosa imani kwa jamii ndiyo sababu tunashuhudia wananchi kujichukulia Sheria mkononi. Tukio la Lamadi na matukio mengi kama hayo jeshi la polisi wajitafakari.
Akili huna kituo kina silaha hicho sio kila anaefanya fujo apo analengo la hao watekaji wengine wazo nikupita na silaha , lazima askari afanye ivo pole kwa familia ya teresia
Police asiyekuwa na weledi na kazi yake... Hafu msemaji wa police aweki wazi kuwa aliyepigwa risasi alikuwa ndani... Risasi gani ya juu inaingia ndani? Mama apewe fidia
@@aediaygo8546 nikujitetea ni sawa kabisa... Kwa hiyo wewe unavyoona risasi ingefikaje ndani?au alikuwa anamfyatulia aliyekuwepo kwenye vurugu halafu akakwepa? Ni Bora angepigwa aliyekuwepo kwenye vurugu!! Au hujasikiliza taharifa vizuri ndugu??
@@aediaygo8546 kujitetea ni lazima.. Risasi inafikaje ndani kwa mtu asiyekuwepo kwenye vurugu?? Si Bora angepigwa aliyekuwepo kwenye vurugu?? Kutoa taharifa isiyokuwa na maelezo ya kutosha kwa wananchi ni weledi huo?? Usiwe kama kunguru
Jeshi let la police linamakosa huwezi kutawanya watu kwa silaha za moto, hapo kwetu hakuna kitu kitafanyika watazika halafu watasema uchunguzi unaendelea. Mungu amtie nguvu huyo mama mwezetu.
Police hapa kosa unataka afanye nn make watanzani tumekuwa wajinga sana kira wanapo ona mtu ana mtoto ety mwiz kuen na hakili watanzani achen ujinga baba ataongopa kubeba mwanae
Walitumia mbinu zote zikafeli ikabidi watumie silaha za moto. Wananchi hawakuwa waelewa. Hao wananchi kama wangeachwa washinde wangesababisha mauaji zaidi na uharibifu zaidi
Risasi haikupigwa juu kama ingepigwa juu isingepasua kioo cha dirisha na kuingia nda . Mpaka kukatiza maisha ya binti mdogo wa miaka 18, hebu vaa viatu vya huyo mama kabla hujawatetea police kwanza.
Rest in peace Aunco Magu …siku moja mtanikumbuka
SubhanaAllah hukumu kabla ya mawazo sasa leo dhana imeondoa uhai na majonzi kwa watu jamani.So sad jamani
Inauma tanzania
Popote utapokuwa yatakudiriki mauti hata kama utakuwa ktk ngome iliyo mathubuti..Qur'an .....pole kwa kuondokewa mama Teddy
Sasa kama wamepiga lisasi juu imefikaje kifuwani
Innalillah wainannalilah rajiun 😢
Ooooh jaman
Innalilah wainna ilayhi rajiun😢
Tunaelekea wap lkini jmn mhmh mbona Tz yetu inatisha sasa 😢
Tutasema polisi wanamakosa labda kufyatua risasi za moto😢ila sasa sisi wananchi kuchukua sheria mkononi si sawa kama unahisi wameiba watoto si mtoe taarifa sehemu husika daaah tunapoteza ndugu zetu kizembe sana😢
😭😭
Hivi risas ikipgwa juu hua inafuata madirisha ya watu na sio juu ya paa la nyumba? Hiyo risas haikupigwa juu ilipigwa straight
Mhhh jaman hichi ni kituo chapolic au nyumba yamakaz
Mimi sio mganga wala nabii ila itakua yule Dada alikua dirishani anachungulia kwenye kioo shaba ikamvuta RIP
Hivi najiuliza inamana hao maaskari hawajui namna ya kuturiza ghasia mpaka kupiga risasi kulenga nyumba ya raia? (inauma Sana)
Mnh?!!maisha yana mambo mengi sana kwakweli🙌
Tanzania inamwaga damu kila inapoitwa leo
Sielewi niwe upande upi, police wamekosea ila wananch wamekosea zaidi kwnn mfanye vulugu jmn, hii tz sio kenya
Wewe nimshenz kama hao watekaji
Wew unajua sababu yawananchi kufanya hivi ninini mbwa wewe
@@abdulkarimabdallah9536 sawa mbwa mwenzangu.sasa walivyofnya ivyo nn Faida?? Matokeo yke wanauliwa! Hiyo ilikuwa sio solution ila kwa vile na ww hakili una ndio maana unaona sawa. Uwezi shindana na serikali
Sasa matusi ya nini ndugu yangu wakati watu wamebeba watoto wao nani katekwa apo@@abdulkarimabdallah9536
Tanzania ni nchi ya amani😢
😢😢😢
💔💔💔
Duuh hiii nchii hii sijui tuanelekea wapiii kwakwelii
💔😭😭
Yn wasukuma huwa tunakurupuka San huwa tunapokea mambo kwa mhemko TU Sasa Kila anaetembea mtoto ni mtekaji jmn😢
Juzi kati tu hapa bariadi mtu kabeba mtoto wake kumpeleka shule wakamzingira na kudai mtekaji kidogo auwawe .... wasukuma wazinguzi Kwa kukurupuka
Wako sahihi kujilinda iwapo suala la kulindwa limetelekezwa, tatizo ni hawana maarifa ya uchunguzi na Polisi hawatoi mrejesho wa matukio ya mauaji yanayotokea kwenye jamii zao
@@bcozhenry2698Unajilindaje bila kuwa na ushahidi?
Mnaolaumu polisi, naomba niwaulize wangeuawa hao wanaume wawili wasiokuwa na hatia pia kosa lingekuwa la nani? Lakini pia mnasahau huyo polisi akivua izo gwanda na kurudi mtaani anaitwa baba,mume au mke,mjomba,na ni mtoto wa mtu pia,kwa mawe hayo mlitaka wafanye nini zaidi ya kujitetea nao uhai wao, issue iliyopo ni kwamba watanzania wengi tuna misongo ya mawazo, tunahitaji msaada maana tumezidi kuwaua ndugu zetu pia wasio na hatia,juzi tumetoka kumuua Mandojo,tumechoma magari ya wenzetu Manyara tukizani ni wezi kumbe sio kweli,Tujitafakari na sisi tuache lawama kwa polisi,uyo police nae ni mtu kama wewe kuvaa ilo vazi kusifanye tuone tunaweza hata kuwatoa roho zao na wenyewe waangalie tu.
Kabla hujauliza
Em jua kwanza chanzo cha haya yote
Mpaka wananchi wanafikia hatua yakujichukulia hatua mkononi wenyewe ninini sababu kisha ndo uwalaumu hapo bado wakulaumiwa niihao hao polic unaowatetea na waliowapa hayo marisasasi
Labda nikuulize wewe hapo mtoto chini ya miaka 18 akijinyonga hua anaulizwa nani kwanza
Kabla yakuwalaumu wananchi em elewa sababu ninini mpaka wakafikia hapo
Ivi niwatoto wangapi wameibiwa nchini nawengine kuokotwa wakiwa wameuliwa naviungo vywa kunyofolewa kikatili nahao unaowatetea wakiwepo nahayo marisasi yao mkononi bila msaada wwte mpaka leo watekaji wa wtt na watu wazima niwatu wasiojulikana
Hao wananchi wamegongwa na nyoka so wakiguswa na janitu lazima wastuke em acha porojo hakuna chakuwalaumu lawama zote nizahao wawindaji wa teresia na mwingine
Swali la nyongeza kwako mama police
Ivi kitaaluma risasi ikipigwa juu huwa kawaida hua inapitia dirishani mpaka kifuani au juu ya paa
Au police inafaa kufyetua risasi kwamuelekeo wa wananchi kwahi
PHD yako naomba unijibu
Mama police
Upo sahihi nao walikua wanajitetea
Wao pia wanaokoa maisha yao
Kwahiyo ndo waue
Hapo tujifunze si wanaume si wanawake kutembea na watoto aitakiwi ukitembea nae unaambiwa mtekaji na unakuja kuuliwa mtihan kwakweli 😢😢😢
Cheki mawe hapo kituoni😢😢
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 💔😭
Kuna cku mda utaongea 2 waache waendelee
😢😢😢tz yangu
😭😭😭😭😭
Lakin majibu ya polisi yapo kawaida tuy yaan simple tuy ila Mungu atatutoa kwenye Hali kama hii siku moja ipo siku haya yote yataisha 😭😭😭😭😭
Dooo
Ukiona hivi wananchi wamechoka
Kwanini sasaivi watu wanakufa sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏾😭😭😭
Wew utapaa
Sasa risasi zimefyatuliwajuu vipi ziliingiachumbani uongotu wa police 😢
Ina sikitisha sana sana sana sana jaman hii tabia ya kuuwa raia it's Isha lin binafsi nimelia sio Siri yaan mtoto wa watu hajui hili wala Lile amepigwa risasi
Polisi siku zenu zinahesabika mbwa nyie
Naweza sema police wanamakosa lakini pia wananchi nao wananakosa
1, police wametengeneza taharuki mioyoni mwa wananchi na kushindwa kuaminika pengine wanapaswa kutoa hofe kwa wananchi wao ndio maana wananchi wanajaribu kujitetea kadli wanavyoweza ndio maana inafikia mahara madhara yanakuwa ni makubwa
2,wananchi ni kosa kujichukulia sheria mkononi taarifa hizo zilipaswa ziwafikie jeshi la police haraka wao ndio wangebainisha kama ni waharifu au raa
Wananchi tusijichukulie sheria mkononi lkn mpk uchunguzi wa Police ufanyike lkn pia hapa Uongo wa jeshi la Police umejitenga pembeni wameelekeza Bunduki kwa Raia wanasema walipiga juu na inawezekana hawakuwa na mabomu ya machozi Kituoni hapo walitumia silaha za moto tu.
Imebainika Police Wa Tz jifunzeni kwenye hili na kuweni na kujali uhai wa Waraia au Binaadamu risasi usawa wa dirisha ni aibu
Nakukosoa wananchi ndo wanamakosa
sasa hapo polisi wana makosa gani jamani>
Bahati mbaya pollisi walizidiwa na shinikizo
😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭heart broken
Inatia hasira mpaka mwili unakufa ganzi
Hao wananchi mm nadhan hawana kosa ila kosa ni viongoz ngaz husika hawatoi elim has katka maeneo dun kama huku vijijin dhid ya mambo kama hayo kwahyo polis ilibid waite msaada zaid katka vituo vya polis jiran ili kusadia kuwatawanya wananchi na sio kutumia siraha za moto damn
.
Yaan police wanatetea waarifu huku waki7babisha kifo kwa raia wema mmh ,na 2nawaripa kodi nzetu
Wahalifu kvp? Kwahyo kubeba mtoto wako ni uhalifu?
uongo uoo uliza sisi tuliokuwepo kwenye tukio. Police wanawalea waharifu
Sasa wameokoa nini hao. Shetani alitaka damu kwa nguvu na imepatikana
Maoni yangu jeshi la polisi limekosa imani kwa jamii ndiyo sababu tunashuhudia wananchi kujichukulia Sheria mkononi. Tukio la Lamadi na matukio mengi kama hayo jeshi la polisi wajitafakari.
tatizo wananchi hawana Imani na police ndio maana wanajichukulia Sheria zao, police wajaribu kuliangalia sana wawe marafiki wa wananchi na siyo maadui
Binadam sis nimtihan kweli mtu humjui mtot humjui inakuaje uaaza kusema wameibiwa nakutaka kuuwa
Tanzania hakuna serikali ispokuoa majambazi waliovaa sare
Siwapendi police mpaka kufaa
Na sis wananchi kunazid kujichukulia uamuz mkononi mtu kambeba mtoto wake ndo wampige
@@CharifaRachidi uongo Mr! Umesikia taarifa ya police iyoo,inamaana wanchi 800 wote wasiwe na akili situka ww hunaunachokijia.
Haya yote ninyie msiesimamia haki zawatu
Ona sasa mnasema mlipiga risasi juu imefikaje kifuani imetoboaje dirisha mbwaa nyie
Polisi wenye utaalam na weledi
Askari wote mlaaniwe
Hua mkikabidhiwa hizo silaha nahao majangili wenzenu hua wananchi mnawaona kama paka
Vinyago nyie
Police alifetua risasi ya nini?
Akili huna kituo kina silaha hicho sio kila anaefanya fujo apo analengo la hao watekaji wengine wazo nikupita na silaha , lazima askari afanye ivo pole kwa familia ya teresia
@@sadamissa5687sawa mwehu
Hee lulembele ucpime haya wameua wasonahatia
Police asiyekuwa na weledi na kazi yake... Hafu msemaji wa police aweki wazi kuwa aliyepigwa risasi alikuwa ndani... Risasi gani ya juu inaingia ndani? Mama apewe fidia
Mama akipewa fidia haitosaidia kitu
Watanzania tuwe Na akili tutajisababishia shida polisi lazima wjitetee
@@SaidSaidbakar sasa ndugu mtu kashakufa atafufuka?? Fidia huwa ina humuhimu pia ina maana yake wa aliye athiriwa na tukio
@@aediaygo8546 nikujitetea ni sawa kabisa... Kwa hiyo wewe unavyoona risasi ingefikaje ndani?au alikuwa anamfyatulia aliyekuwepo kwenye vurugu halafu akakwepa? Ni Bora angepigwa aliyekuwepo kwenye vurugu!! Au hujasikiliza taharifa vizuri ndugu??
@@aediaygo8546 kujitetea ni lazima.. Risasi inafikaje ndani kwa mtu asiyekuwepo kwenye vurugu?? Si Bora angepigwa aliyekuwepo kwenye vurugu?? Kutoa taharifa isiyokuwa na maelezo ya kutosha kwa wananchi ni weledi huo?? Usiwe kama kunguru
Serilkali irudishe amani mana watu wamekuwa waoga sana😢😢😢
Jeshi let la police linamakosa huwezi kutawanya watu kwa silaha za moto, hapo kwetu hakuna kitu kitafanyika watazika halafu watasema uchunguzi unaendelea. Mungu amtie nguvu huyo mama mwezetu.
Waliwatawanya kwa maneno hawakuelewa. Kwa machozi hawakuelewa. Ivi waona mawe hayo. Ina maana hata polisi wenyewe waliponea chipuchup maana walizidiwa
Police hapa kosa unataka afanye nn make watanzani tumekuwa wajinga sana kira wanapo ona mtu ana mtoto ety mwiz kuen na hakili watanzani achen ujinga baba ataongopa kubeba mwanae
Usema na jeshi Kuna muda lazima wajilinde....kwingine walikosea ila Kwa hili nahisi walikuwa kujiokoa na kuokoa pia
Walitumia mbinu zote zikafeli ikabidi watumie silaha za moto. Wananchi hawakuwa waelewa. Hao wananchi kama wangeachwa washinde wangesababisha mauaji zaidi na uharibifu zaidi
Risasi haikupigwa juu kama ingepigwa juu isingepasua kioo cha dirisha na kuingia nda . Mpaka kukatiza maisha ya binti mdogo wa miaka 18, hebu vaa viatu vya huyo mama kabla hujawatetea police kwanza.
Kumbe hiyo ni BAAT mbaya tuu
Askari kwa hili jaman wapo sahihi tusiwalamu jamn
Mmmh weee hapana mmh hapana usiwatete polisi na wakati polisi ndo wahanga kwenye maswala ya mauaji na utekaji nyamaza tu
Wewe nimjinga
Wewe ni mpumbavu
Utakuwa upinde sio bure
😭💔
😢😢😢