SIMULIZI YA MAPENZI: NI WANGU 3/3 ( MWISHO ) By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 319

  • @yussufadidja433
    @yussufadidja433 10 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda sana hii sauti ya Keke 🎉❤😊

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +21

    Sauti ya msimlizi inaongezea hisia...i love it..more lesson to learn

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi ปีที่แล้ว +4

    Huyu kakake ni mhuni aki sijapenda ila sio powa 😭😭😭😭😭😭asate Ankojay kwa sitori zuri sana

    • @Yaqin-r4m
      @Yaqin-r4m 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @wakiomimi7853
    @wakiomimi7853 ปีที่แล้ว +4

    Ankojay kwa ubora wake wa kula bata 🤣🤣🤣😂😂yamemkuta 😘😘😘😘😘😘😘😘kipenzi chetu twakupenda sana ankojay mungu akupemaisha marefu much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mariamjuma743
    @mariamjuma743 ปีที่แล้ว +7

    Asnte kwa kutumalizia simulizi 👌, Anko J ndo maan twakupenda

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 ปีที่แล้ว +5

    Story za Lisa Mwala ni safi sana na sauti ya Anko J yaongezea nakshi kwa mpigo !!! Hongera

  • @olivabata287
    @olivabata287 ปีที่แล้ว +5

    Aiseee kiukweli upovizuriii simulizi zako siozakitoto zimetulia mbaaayaaa nahilo voice laukweli kinoma nakuaminiaaa

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 10 หลายเดือนก่อน

    Woooow story tamu sana ankojay ❤❤❤❤ tumeipenda sana

  • @Sitikassimbakari
    @Sitikassimbakari ปีที่แล้ว +3

    Anko jay naubora wake 😂😂😂Anko jay nakupenda sana mungu akupe maisha mrefu 🇰🇪🇰🇪

  • @salumamina948
    @salumamina948 ปีที่แล้ว +4

    Njoon huku jaman mambo yameivaa ooooh wazee wa keko njoon

  • @agnesfadriquelan4134
    @agnesfadriquelan4134 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah tutaanzaje labda kwamfano kuacha kukuunga mkono 😊😊mwenyezimung azidi kuzibariki kazi zako mtuwetu❤❤🥰🥰🥰

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 ปีที่แล้ว +2

    Ooooooh!! Jamn nimechelewa kidogo Asante anko jay 🤗🤗

  • @ukhtysahu-s3v
    @ukhtysahu-s3v ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwanamke ni shetan hajui alipo toka 😊😊😊😊

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana yuri wewe nakutia❤❤❤❤❤❤ mungu apariki familia yenu nawapeda

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 ปีที่แล้ว +1

    Asante Anko J. Wadada marafiki wana mipaka rafiki sio mtabiri wala sio mshauri wa maswala ya nyumba za Watu. Rafiki hapaswi kujua biashara na nyumbani kwako mwiko. Siwema alitoa ushari mwisho akataka aolewe yeye. Sasa pateni picha.

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +1

    Daah hii simuliz iko p xaan asante Lissa mwala kwa simuliz tamuu🔥✌️🥰 na msimuliaji wetu mzuri mzuri anko jj hujawahi kosea✌️🔥🥰🙏

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 ปีที่แล้ว +2

    Waaah simulizi zingine zikiisha unashuta moyo nakujiuliza kwa nn imeisha😂😂BIG LOVE LISA MWALA NA ANKO JAY ❤️❤️🔥

  • @shoshobbyguu5989
    @shoshobbyguu5989 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana anty Lisa na hongera msimuliaji simulizi nxur sana ❤❤❤😊

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga ปีที่แล้ว +5

    Asante Kwa kutumalizia kiporo chetu kumenoga humu ndani 🔥🔥🔥🔥🔥 🤪🤪

  • @FurahaBishari
    @FurahaBishari ปีที่แล้ว

    anko jay sitro iko tamu imenifraisha kweli ❤ asante sana

  • @sabrinarashid7990
    @sabrinarashid7990 ปีที่แล้ว +1

    Asante anko jay Mmungu akupe umri mrefu tulokuwa mbali tunafurahia hadithi zako

  • @ElaineAkimana
    @ElaineAkimana ปีที่แล้ว +2

    Ankojay we unanifulahisha saaana kiufupi ubalikiwe saaana

  • @yasinnelson739
    @yasinnelson739 ปีที่แล้ว +1

    Anko jay apeweee ulinziiiiiii jmn😍😘😍😘😍😘😘😘😘😋

  • @gwinissmacha724
    @gwinissmacha724 ปีที่แล้ว +2

    Fantastic story anko j 👌

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Many many thanks

  • @عهُد-ب6ظ
    @عهُد-ب6ظ ปีที่แล้ว +1

    Shukrani anko jay na nyote wawili yaani na LISSA MWALA kwa kutupa kitu roho inapenda

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +4

    Twelve minutes 19 comment dhaaaa Anko unawatu wanaokupenda saba❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +2

      😊😊 Yeah, Nashukuru sana katika hilo 🙏

  • @NdukuEdward
    @NdukuEdward ปีที่แล้ว +4

    Simulizi Yenye Mafunzo Mazuri Dada wa Babu Alikosa Sana Alipofunguliwa Kilabu Alijuana Na Rafiki Wa Bwana Yake Akamudharau Bwana Yake Akawaanalala Na Wanaume Ovyoovyo Akafulizisha Hiyo Kazi Na Kuanza Kumudharau Mume Wake Mwishowe Amengilia Kazi Ya Kunza Ngono Mwenzake Alipatana Na Mwenye Kumuza Roho Yake Wakapendana Kabisa Wakaona Na saa Hii Wako 2 Boys 1 Girl

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +3

    Hapa napo mafundisho ni ya kumwaga asanteni Lissa na Ankojay

  • @MaryamMasudi-n3v
    @MaryamMasudi-n3v ปีที่แล้ว

    Ankojay anavomsifia scaila had me najiona Sio kitu khaaaaaaaa😂 ankojay unaweza msifia mwanamke Wako Hadi akajiona yupo peke yake duniani daaaah ankojay we noma sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @GhaithaMussahaji
    @GhaithaMussahaji 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ankoo j nimependa anavyoigwa jeena🤣🤣🤣🤣

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee saaana Lisa mwala pamoja na kipenzi chetu siyo mwingine anko jeyyyyy

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo ปีที่แล้ว +3

    Waoooh I like it anko jay

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 ปีที่แล้ว +4

    Hey Mwandishi alienda shule kweli daaahh, Anko napenda Ile sehemu ya kutiana kwa wale wapendanao unavyo elezeaga😂😂😂❤❤ I appreciate your work 😍😍

  • @salmasulleykrl71
    @salmasulleykrl71 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa mwendelezo tunakupenda Sanaa ankojay

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Nawapenda pia

  • @tatufaida-x3v
    @tatufaida-x3v 2 หลายเดือนก่อน

    Much love Kaka wish hata nikuonee ety🙈🙈

  • @fatumahamedi4467
    @fatumahamedi4467 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwandishi namsimulizi mungu awapeneema

  • @isabellachizi4346
    @isabellachizi4346 ปีที่แล้ว +8

    Wallah my story is here ,nimekamia kuskiliza tune from Saudi Arabia. Love your stories Anko j .sasa mwarabu akiniita sioni kaa nitaskia leo 😅😅😅😅

    • @janety1933
      @janety1933 ปีที่แล้ว

      Jamn mm nipo ilaq huku yaan hizi simulizi nzuli sana zinatupa furaha sana

    • @aminaballong231
      @aminaballong231 ปีที่แล้ว

      Yaan mashaghala wanatupatia nahiz kazi zetu huku

  • @Grace-xh6zq
    @Grace-xh6zq ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤ Asante anko j nilisbr kwahamu

  • @jeannekorona4016
    @jeannekorona4016 ปีที่แล้ว

    Wow jamani nimejifunza sana Anjo upewe ulinzi😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @ayishaHabibu
    @ayishaHabibu 4 หลายเดือนก่อน

    Simulizi ni nzuri sana .......❤❤❤❤❤❤❤

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz ปีที่แล้ว

    Anko Jay Elimu ya bure bana Asante sana bro kweli ni mafunzo mema nimejifunza mengi

  • @MwanaSuku
    @MwanaSuku 2 หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana ❤

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 3 หลายเดือนก่อน

    Sinabudi. Ya. Kuwashukuru. Lisa. Mwala. And. Ankojei. Kwakutupa. Furahaaa0❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ujaniangusha kwenye simulizi hongera saana

  • @janekaranja7651
    @janekaranja7651 ปีที่แล้ว +1

    This one is very 🔥, 🔥 nice ,your voice waoo

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 ปีที่แล้ว +2

    I hope cjachelewa sana leo, ankojay ahsante kwa burudani, ❤

  • @salumamina948
    @salumamina948 ปีที่แล้ว +12

    Ma super woman wakuje tujuane hapa kekooo oyeeeee

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 ปีที่แล้ว

    Hapo pa baba bame nifurahisha haki 😊 ila epukeni gonjwa la kansa ♋️ ya koo

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 11 หลายเดือนก่อน

    Wow story tamu jamani ❤❤❤

  • @MaSI-p5o
    @MaSI-p5o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Haki nimeamini mapenzi hayana mjuzi basi nikujiamini nakujua kilicho sahihi kwa maisha yako kipendacho moyo ni dawa jamani

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +4

    Hatimae tunamalizia simulizi yetu nzuri ,,tunajifunza mengi mno ,,Big love to 2 of you,,, LISSA MWALA AND ANKO JAY ❤❤

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +20

    Wakwanza leo tena nimewahi haya tunaendea na simulizi yetu asante 🥰🥰🥰🥰

    • @mwanajumamohammed4356
      @mwanajumamohammed4356 ปีที่แล้ว +1

      Shadya kuna story nzuri imesimuliwa na anko jey mambo story inaitwa Annastazia

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@mwanajumamohammed4356Ipo humu au simulizi mix kilee ndiyo ilipo kipenzi 🥰🥰🥰naitafuta hiyo simulizi kipenzi

    • @mwanajumamohammed4356
      @mwanajumamohammed4356 ปีที่แล้ว

      @@shadyasalum192 no aipo simulizi mix ipo mambo story mpenzi

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@mwanajumamohammed4356 sawa kipenzi naitafuta kipenzi hapa ili nisikile kipenzi

    • @mwanajumamohammed4356
      @mwanajumamohammed4356 ปีที่แล้ว

      @@shadyasalum192 ok swa

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 ปีที่แล้ว +1

    Asante anko j hatimae tumemaliza 🔥🔥

  • @salmakim557
    @salmakim557 ปีที่แล้ว +2

    Niko ndani ya simulizi,twendelee kupata utamu 🔥🔥🔥🔥

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg ปีที่แล้ว +4

    Moto Usha washwaa sasa shukran anko jay kwa muendelezo huu pamoja sana

  • @lovenessyesse9053
    @lovenessyesse9053 ปีที่แล้ว +2

    Wow Asante anko jey

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 ปีที่แล้ว

    Tamu kweli stori amazing..

  • @AnnNyongesa
    @AnnNyongesa ปีที่แล้ว +2

    Very nice simulizl leo😍😍😍

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you 🤗

  • @BahatiGracia-e1c
    @BahatiGracia-e1c 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani msimlizi utaniuwa nabijimaneno vyako vya Marhaba nakupenda

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante anko Jay tunainjoy

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 ปีที่แล้ว

    Clinton I need to be happy. Nimechoka kudharauliwa, kusalitiwa, sio wewe una act kunipenda nimechoshwa na uongo. Nitarudisha mahari. I say. "Mazing ZONG SINDIO Haya"

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c ปีที่แล้ว

    Nataji mengi kama hiyo jaman Asante umenitileya mawazo mengi give me more ako j

  • @ChristinesifaRuwa-ix9iy
    @ChristinesifaRuwa-ix9iy ปีที่แล้ว

    Pongezi sana yuri na skalia kwa uamuzi wenu happy family

  • @MwanajumaHamisi-yj5xv
    @MwanajumaHamisi-yj5xv ปีที่แล้ว +2

    Yan nimependa San hii cmulizi anko j aaaa umenikosha

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 ปีที่แล้ว

    Jamani anko Jay wewe noma❤

  • @loisebasilica7506
    @loisebasilica7506 ปีที่แล้ว +1

    Asante acnkojay ata Kama nimeçhelewa wacha nikae kitako

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sauti yako jay ❤❤simulizi tam

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Enjoy dear 😊🙏

    • @NoelahShadrack
      @NoelahShadrack 18 วันที่ผ่านมา

      👌​@@ankojay_

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt 11 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏asante Anko J n lisa mwala tunawapendqaa

  • @jackbujimu3220
    @jackbujimu3220 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ankoliiiiiiiiii wozaaaa umejua kunichekesha utambulisho wa Kim unamuhusu kwan euri Hana mdomo🤣🤣🤣 nimecheka Sana aisee anakimbiza ndege wa bro ake

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @FurahaBishari
    @FurahaBishari ปีที่แล้ว

    anko jay na ku miss sana kweli ❤

  • @dianabrownie1829
    @dianabrownie1829 ปีที่แล้ว

    Hilaaa da Lisa mwalaa hapan🙌🙌🙌🙌

  • @عهُد-ب6ظ
    @عهُد-ب6ظ ปีที่แล้ว +2

    Daaah ndio kuendelea tu pole pole kwa burudani murua na yenye mafunzo mengi

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 10 หลายเดือนก่อน

    Hujambo ankojey unasitali hongera

  • @zarinarahab
    @zarinarahab ปีที่แล้ว

    Hee anko jay wanivuna bavu na unadharau dogodogo aki unamwita kirunge kweli unamwambia kusoma balaa

  • @bellabelle1593
    @bellabelle1593 ปีที่แล้ว +1

    Nzuli sana hasante🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @zaynabumfamao6792
    @zaynabumfamao6792 ปีที่แล้ว +3

    ahsante anko jay

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Umekuwa wa kwaza et 😂

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 ปีที่แล้ว

    Woow long life haki daa hongera sana anko jay

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

    Asante Anko
    AsanteLissa
    Nawakuba 🔥🔥💥💥❤💪

  • @bayubahemandela4221
    @bayubahemandela4221 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal sn simuliz zako mno nikal

  • @FrancoHaulee
    @FrancoHaulee ปีที่แล้ว

    Asante san kaka angu simuliz zak Zinanikosha sana

  • @nyangasa-f8p
    @nyangasa-f8p ปีที่แล้ว

    Kumenoga humu ndani anko jay ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NestoryAndason-c5j
    @NestoryAndason-c5j 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤😅😅😅😅dah hiii noma!

  • @AzaQueen-cf8zb
    @AzaQueen-cf8zb ปีที่แล้ว +1

    Mimi huyu apa hhhh Anko shukuran kbs haya aca nisikirize badae na comment 🌹😘

  • @mariamkameesee
    @mariamkameesee ปีที่แล้ว +1

    Akuna simuliz tam kam ii jamna 😂😂😂❤❤

  • @jeffkyalo2673
    @jeffkyalo2673 ปีที่แล้ว +2

    Lisa mwala kiboko hatari❤

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 3 หลายเดือนก่อน

    Mmm. ANKOJEIUMEZIDI. KUREMBADOOO. SIMATASHTITI. YAVITOMBOOO. KAA. WEEKAKA. MWISHOO❤O❤🎉OO❤🎉❤

  • @oman6219
    @oman6219 ปีที่แล้ว

    Haha haaa haaa eti utambulisho gani uwo😂😂😂sasa

  • @stellasanga989
    @stellasanga989 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi inasisimua hatari nice story

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank you so much

  • @MaryamMasudi-n3v
    @MaryamMasudi-n3v ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂nimefurah kujuwa kucheka kichina😂😂😂😂😂 Nani mwingine amefurah kucheka kichina

  • @oman6219
    @oman6219 ปีที่แล้ว +1

    Mh Iyo Kali kisimi kinacheza chezea haaa haaa

  • @dorocasndunge1829
    @dorocasndunge1829 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana anko jay

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl ปีที่แล้ว +1

    Tulikuwa.twauaubiri.sana❤❤

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว

    Mapenzi wee n upofu kweli unayemfikiria kumbe si yeyeeeee

  • @EdinaAosa
    @EdinaAosa ปีที่แล้ว +1

    Kumenoga humu ndani bwana❤❤❤

  • @salumamina948
    @salumamina948 ปีที่แล้ว +1

    Wao wa kwanza wazee w keko mko wap

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 ปีที่แล้ว +1

    Nawapendaa horson na skeyla

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 ปีที่แล้ว +2

    Looo...Anko J...unavyo msifia skaila utadhani malaika 😂😂😂

  • @nackymrutu1869
    @nackymrutu1869 ปีที่แล้ว

    Story nzuri na imafundisha

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Lisa mwalla

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤Asante simulizi nzuri