Umeona hixo pasi za Agape duhu simba mnajua mno jmni ,sio wanawake sio wanaume dah mnavyocheza mi nfikiri tu ni wanaume dah kusikia jina lnatajwa kumbe ninwanawake💪💪💪💪🥰❤️❤️😍🥰😍❤️Mwaaaa simba nakupenda sanaa
@@BigDreamsWorldwide Siyo kila kipaji umepewa ukitumie. Vingine majaribu tu. Shida misingi ya wazee mibovu majumbani. Baba na Mama wakiweka mbali na utajo wa Allah na mtume wake, ndo vinapatikana vizazi viovu hivyo. Qur,an vs Sunnah ndo Maisha ya Muislamu.
@@BigDreamsWorldwide Mwanamke ni chombo cha thamani na chakuheshiwa. Makafiri wanawadharirisha kuwafanya chambo cha kupatia pesa. Ukiangalia 98% hapo, wameingia na mambo 2 kuwakodolea wanawake na huo uchezaji. Unatoka hapo,macho yameshiba uzinzi
Hki nimefurahia mno mchezo hiu wa wanawake simba.🥰🥰❤️🥰❤️🥰❤️🥰❤️ Simba Baba lao ,tzama ushindi hapo hao wanawake kaka zao wakiingia je , yanga mtakoma mwaka huu
Editor umesahau kuweka goli la kwanza, halafu kuna matukio mengi ambayo hamna haja ya kuweka kwenye video ambayo unaweka, inafanya video iwe ndefu bila sababu. Improve next time.
Goli la kwanza lipo wapi ? Dakk zote hizi zaidi ya 16 mnashindwa kuweka goli la kwanza 😠😡😠 Huuu uzembe hauwezi kuta sehemu yoyote duniani bali Tanzania peke ake. Hiz kazi za kupeani mtoto wa mjomba mtoto wa shangazi ndo zna zaa ujinga huu
Umeona hixo pasi za Agape duhu simba mnajua mno jmni ,sio wanawake sio wanaume dah mnavyocheza mi nfikiri tu ni wanaume dah kusikia jina lnatajwa kumbe ninwanawake💪💪💪💪🥰❤️❤️😍🥰😍❤️Mwaaaa simba nakupenda sanaa
Simba ndio Team Kubwa Tanzania na Africa
Naikubali sanaa simba sports club
Simba Queens ni 🔥🔥🔥🔥
Nawapenda sana wanasimba ❤️❤️❤️❤️
My l
We all la kllp
Naombenii like zng leo mm wa kwanza 😊
Asnte Mungu kutupa ushindi wa point 3 kwa simba qween
Wanasimbaaaaaaa!!!!
Simba hii inaweza ikacheza na yanga ya wakina tuisila na bado yanga wakafungwa🤣🤣🤣🤣😂
Mie naumia sana na kusikitika kitu kimoja. Khaswa hao mabinti wa kiislamu. Laiti wangejua laana wanayoipata hapo, wasingekubali kucheza mpira. Kuna Mabinti Masha,Allah wakuwaoa. Khaswa huyo Maryamu. Natamani nimuoe nimpe maadili ya Dini.
@@khalfanifarisy7398 inawezekana ni dhambi lkn je hapo ndo anatunzia pia familia yake afanye nn sasa na kipawa kapewa na Allah
@@khalfanifarisy7398 l
@@BigDreamsWorldwide Siyo kila kipaji umepewa ukitumie. Vingine majaribu tu. Shida misingi ya wazee mibovu majumbani. Baba na Mama wakiweka mbali na utajo wa Allah na mtume wake, ndo vinapatikana vizazi viovu hivyo. Qur,an vs Sunnah ndo Maisha ya Muislamu.
@@BigDreamsWorldwide Mwanamke ni chombo cha thamani na chakuheshiwa. Makafiri wanawadharirisha kuwafanya chambo cha kupatia pesa. Ukiangalia 98% hapo, wameingia na mambo 2 kuwakodolea wanawake na huo uchezaji. Unatoka hapo,macho yameshiba uzinzi
Kuna nusu fainal moja niliangalia nilisahau km ni wanawk ilikuw bonge la mechi ujerumn vs swiden na Leo pia tz nimeinjoy
Yanga kwa rafu tu wanaongoza ata kwa kaka zao
🤣🤣🤣🤣Mtoto wa chura ni chura tu
Simba kama simba
Dah Dada kama Kaka zao tu safiii sanaaa utasmini wanawake hao hki ni htri hii safiiiii Simba queens
Ahsanten sana Azam
Mbona yanga princes wengi uzao wa wende😂😂😂😂😂simba raha jmn
😂😂aloo we umebomoka
Simba queens❤❤❤🎉🎉🎉
Hiyo ndiyo simba jmni ni miraha tupi njivunia sana timu yamguu🥰😍❤️
Chama let simba
Huyooo kamishina anavotembeaa duuhh sopowaa
Ila wachezaji wasimba Wengi wazuri saana nibado visichanaa, lkn wezetu pande wapili wamejaa kina shishimbi😁😁.
Hki nimefurahia mno mchezo hiu wa wanawake simba.🥰🥰❤️🥰❤️🥰❤️🥰❤️ Simba Baba lao ,tzama ushindi hapo hao wanawake kaka zao wakiingia je , yanga mtakoma mwaka huu
Aisee Simba Queens mnajua mno
Simba ukiwa mshabiki ni raha sana unanenepeana tu furaha
Simba Raha Sana 🤣🤣🤣💥💥💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏻🇹🇿🇹🇿
Hakika ndugu ❤️💯💯💯
@@emanuelmichael9784 🔥🔥🔥💪🏻💪🏻🦁🦁🦁
Nmependa sana huyo dada wa Simba na Yanga ..huo ndio ushabiki ..sio vita
Jesy number 17 anaitendea haki kama clotus chama
Up in
Azam editor wenu wa highlights vp...mbn tu naanza kuona goli la pili kabla ya la kwanza?
Pppppp0
Kipa wa yanga viazi
Yaani bora ata kiazi ni yai ndugu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti nini😂😂😂😂😂Wana shishimbi wao.
Hahahah
mambigwa waligi kuu simba onl
Huyo mawete ana baraha
Simba baba lao
Opa Clement ni mtu na nusu .. ila kwa ujumla tu Simba wanavipaji sana
Hii highlight yakiboy haionyeshi goli ya kwanza
Simba baba laooo
Yanga wanawake wanashishimbi wao😅😅
Simba Raha
Duh Yahan simba kweli timu sana Asa msimu. Watakuaje?
Simba Ni Simba tuu Kama kaka zao
Jmn wanacheza chelsea hapo lakn ukitazama kwa makini kumbe n simba
Damond
Editor umesahau kuweka goli la kwanza, halafu kuna matukio mengi ambayo hamna haja ya kuweka kwenye video ambayo unaweka, inafanya video iwe ndefu bila sababu. Improve next time.
Simba raha bhn
Nijeshi kubwa
Mnazingua goal la kwanza mbona hatulioni??🤦🤦
Mmeamua kutoa goli la mwanaisha utopolo fc nyinyi
Simba piga haoo utopolo
Mamelod
Simba mpaka hukuuu??! Daaah mtuachien sehem moja bhn
Subutuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaaaa kuimba kupokezana,tulieni tu,the time is coming
hahahaha watumnavituko
Kwa cmba hii hatari xan
Goli la pili hamjaweka
We yanga tu😱😱😱😱😭😭
Hmn kitu
Huyo mawete Kama chama daaaaar ataleee
Donisia Daniel anacheza timu gani jamani manake yule mtoto ni balaa
Simba raha 😆😆😆
Goli la kwanza lipo wapi ? Dakk zote hizi zaidi ya 16 mnashindwa kuweka goli la kwanza 😠😡😠
Huuu uzembe hauwezi kuta sehemu yoyote duniani bali Tanzania peke ake.
Hiz kazi za kupeani mtoto wa mjomba mtoto wa shangazi ndo zna zaa ujinga huu
H
U
Astaghafirulah, hizi sura nyengine ni wanawake kweli?
Mbona magori hamuja tawala yote tuyaone vizuri
D
Asante simba
Si muite kwa Kiswahili? Yanga Princess ndiyo nini? Makosa lugha za watu
Abe
Mo kafiri hana lolote.
mwapossa