MUHADHARA| VIZUIZI VYA KUIKUBALI HAKKI | DR ISLAM MUHAMMAD SALIM| MASJID GHURABAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024
- Muhadhara Wa Kielimu Ulio Tolewa Na Sheikh Dr Islam Muhammad Salim Katika Ziara Yake Nchini Tanzania Masjid Al-Ghurabaa Tanga Anuani:Vizuizi Vya Kuikubali Hakki
#اكسبلور #السعودية #منهج_سلف_صالح #مقاطع #المدخلي #alhilalymediapro #مكة #مدينة
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•
Aʟʜɪʟᴀʟʏ ᴍᴇᴅɪᴀ ᴘʀᴏ ||
𝐔𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐍𝐚𝐬𝐢 𝐊𝐰𝐚 𝐕𝐢𝐬𝐨𝐦𝐨 𝐕𝐲𝐚 𝐐𝐮𝐫𝐚𝐧 𝐊𝐡𝐮𝐭𝐛𝐚 𝐙𝐚 𝐈𝐣𝐮𝐦𝐚𝐚 𝐌𝐢𝐡𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐍𝐚 𝐅𝐚𝐰𝐚𝐢𝐝 𝐌𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐌𝐛𝐚𝐥𝐢
𝐘𝐨𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 @alhilalymediapro
/ @alhilalymediapro
𝐈𝐧𝐬𝐭𝐚𝐠𝐫𝐚𝐦 @alhilalymediapro
/ alhilalymediapro
𝐭𝐢𝐤𝐭𝐨𝐤 @alhilalymediapro
/ alhilalymediapro
🌹 انشر بارك الله فيك فمـن أحـب ألا يَنْقَطع عمله بْعد موتہ فَليَنْشُر العلم
•┈┈┈┈•
Jazaakallahu khayra
حسن حسن يا أيها المدرس
Jazzakalah khar shekhe nini muelekeo wako ktk daa,aw salafiy
Kwani unayodai ww sindo yanayozungumzwa humo ndani kufanyia mtu uwadui kisa hajamkubali fulani, usalafi mpk akufate ww ujue ni salafi hizo taasubi ndo zimewafanya kuharibu dini usalafi mpk akufate ww ndo ujue ni salafi sioo hivyo akiwafata sswahabia katika njia yake so salafi mtihani kweli
SASA ANACHO KISEMA SIO DAAWA SALAFY HATAJI QURAN NA HADITH NA MANENO YA SALAF SALEH HUMO AU HUSKII
Ww aanza kuikubali haqi kwanza
Haki Gani alo ikataa
Raddi kwa makhurafi wa kisufi wanaofanya dhikri za kupandisha majini😂😂 na filka dhwala nyingine zilizopinda
Dr Hutahadharisha Na mambo hayo Kila Mara
Mashaallah@@OfficialAbdulrashedalhilaly
Kwahiyo hata mtu kuikataa da'awatussalafiyyah kuwa hizbiyyah ni kwasababu ya mila zao za Uhizbi? Au ni kwasababu mara ya kwanz kuisikia da'awatusaalfiyyah??
Hawooo mnawaita hizby ni kwa matamanio yenu tuuh mmewatia katika uhizby kinguvu bila sababu ninyi hamumkubali mtu ni salafi mpk awafate ninyi sasa usalafi kuwafata ninyi au maswahaba na wema waliotangulia?
@@AbdulIssa-o7ehahah baba wacha ujinga ujinga mzigo baba
Soma dini yako kutoka kwa mtume swala na salamu zimfikie na maneno ya salaf
Wacha ta'asub mzee haqi ni Moja si mbili.
Nyny ni mahizbi hamuiwezi da'awatu salafiyya
ALLAH akuongoze
Pima Maneno Yako Kabla Haujasema
Kwani Unapo Sema Hizbiya Wajua Maana Yake Nini...?
@@ABDINURA-hb9ky Wewe Nd Urudi Ukasome Tena Manhaj Salafi Uweze Tofautisha Maana Waenda Kwa Kukaririshwa Tuh
@@OfficialAbdulrashedalhilaly la wallah mm sijakasirika Allah ndo mjuzi wa yote pia maneno yangu hamna makasiriko akhiy
Soma misingi ya kuwa salafi kwa ulamaa utajua ukweli uko wapi
Tusitumie akili zetu hii jambo la dini Lataka dalili na ufahamu wa salaf swaleh kwa mtume swala na salamu zimfikie
Allah akuongoze akhiy