Wafanyabiashara kariakoo ,wasiwe wanayanyamazia mambo ambayo wanayaona kabisha kwamba hii ni hatali kwao ,mwisho wa mwezi uliopita nilienda kariakoo madukani.na nimtaa huohuo ulipata ajali,nilikuwa natafuta kiatu.nikapita duka moja njia yakuingia na kutokea upande wa pili,wameweka ngazi za mbao kwenye mbao kunanafasi nilivyo angalia nilichokiona mwili ulikufagazi wote,😭 juu watu wanaendelea kufanya biashara zao kama kawaida,chini kumechibwa shimo wameweka nguzo kunajengwa sijui .😭 Wasiwe wananyamaza wakiona hiki kitu kinachafanyika hapa sio kizuri,waulizwe wafanyabiashara watawaambia ukweli huo. Mungu tusaidie ,mim yani hadi leo sina amani , kariakoo naogopa😭
Wafanyabashara wa kariakoo wengi Wana pesa nyingi ila Wana keep low profile sana na ndio wamiliki wa majengo asilimia 70,.....yani mtu anaduka unamuona kama fala ila ana magofofa 7 pale kariakoo
Shida uongoz wa saiv wanamasihara sana, ilitakiwa the same day wawe wamesha shikwa ,sasa polis wote wakajaa kariakoo af wakabaki kuzubaa.. 😢 # huu uongoz wa huyu mama n mbovu sana
Ningekuwa kwa Jpm saa 1 ni kubwa sana wangesakwa kama mbu mfano ule Boss J4 anafaham ukwel wa magu dah hii nchi ngumu sana😂 mbona wangekuwa wapinzani chapu tuu defender xinazingilia maboma yao uck kucha ile nguvu imeenda wap kwa mtu mmoja??

Magorofa mengi ya kariakoo yanatumika kama warehouse badala ya makazi kwahiyo uzito ni mara kumi
Sio wamiliki tu hata ,mama nae katorokea nnje watoto wake wakiwa chin yakifus
Acha kebei na dharau mkishughulikiwa mtalalamika.
Hujielewi wew
@@storytownTv huenda amekwenda kusaka msaada
Wafanyabashara wa kariakoo wengi Wana pesa nyingi ila Wana keep low profile sana na ndio wamiliki wa majengo asilimia 70,.....yani mtu anaduka unamuona kama fala ila ana magofofa 7 pale kariakoo
Shida uongoz wa saiv wanamasihara sana, ilitakiwa the same day wawe wamesha shikwa ,sasa polis wote wakajaa kariakoo af wakabaki kuzubaa.. 😢 # huu uongoz wa huyu mama n mbovu sana
Mama Fukuza mkuu wa mkoa fukuza wa chini yake Fukuza na kamanda fukuza systeam nzima ya ulinzi na usalama dar....
Ningekuwa kwa Jpm saa 1 ni kubwa sana wangesakwa kama mbu mfano ule Boss J4 anafaham ukwel wa magu dah hii nchi ngumu sana😂 mbona wangekuwa wapinzani chapu tuu defender xinazingilia maboma yao uck kucha ile nguvu imeenda wap kwa mtu mmoja??
Sasa kinachofanya mcheke ni nini? Hichokitu ni cha huzuni sana
Je hilo jengo limejengwa kiholela au kufuata sheria ....lazima vielelezo zipo pahusika kisheria !!!
Majengo mengi huko yamejengwa kiholelaa
Hata huko walipo wanarudishwa tu kwani majina airport hayapo
Walikua wanamkazia Niffer na Diva tuu !
"Kasoma sana mafile" 😁...kuwajibik muhimu
Yaap na warudishe kodi sasa za watu
SO FAR haina kiswahili chake??
Wa njombe akamatwe
Wamilikiwajengo Hilo simuyake kiswaswbi tenainawezekana wamefunganampila wa kufungiapesa inawezekana Hawa wenyegolofa wakawa wakinga
Wakinga
yaani siku zote wameshidwa kuwakamata mpaka watoroke
Watoa vibali mbona hamuwqzungumzi
Mmeanza mauza uza
Nyumba ya urithi
Serikali waitaifishe hilo jengooo tu
Zambwela bwana. Kwani kutoroka kwenda nje lazima upande ndege?
😂😂😂 jamaa hajatumia akili za nyongeza