🚨Simba yaishitaki Coastal Union sakata la Lameck lawi,Afisa habari Coastal Athibitisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #football #yangatv #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #youtube

ความคิดเห็น • 29

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 หลายเดือนก่อน

    Kitaumana huko juu Kwa juu kama nyuki

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig หลายเดือนก่อน +1

    Tamaa ni mbaya chamoto mtakiona

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    WEWE NI MWONGO SANA MNAMHARIBU SANA LAWI.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    NYIE MNATAMAA SANA. MMEMSHAWISHI LAMEKI LAWI ILI AANDIKE BARUA. MNAMKOSEA SANA LAWI.

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 หลายเดือนก่อน

    Coastal union kunakoelekea mtatuudh watu wa Tanga inaonekan kijana atafungiwa na timu itawajibika

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂kitawakuta

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan หลายเดือนก่อน

    Achani zenu tamaa mbaya munoooo

  • @GabrielMkuki
    @GabrielMkuki หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa tff ndo walioanzisha maana ndo wanataka kumuuza

  • @silasjacob-j2l
    @silasjacob-j2l หลายเดือนก่อน

    nyie costal niwapuuzi mnamshawishi ili nyie muuze nje mmebugi

  • @tempochoir
    @tempochoir หลายเดือนก่อน

    Coastal acheni janja janja ....soka letu halipo huko kwa sasa ..

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    Tamaa mbaya cost union kucheleweshwa kwa hela siku 9 mna zingua dirisha lilikua halijafunguliwa, nb mwamnyeto walikaa mwaka mzima wakalipwa inamaana mwamnyeto hakua wamaana kwao? Waache sarakasi

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d หลายเดือนก่อน

    Coastal ni wasenge tamaa mbona mamnyeto mlikopwa mbwa nyie na mpaka Leo hamjalipwa fara hawa mashoga sana

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 หลายเดือนก่อน

    Yani uyu jamaaa ni muongooo😂😂😂

  • @williamkajala8005
    @williamkajala8005 หลายเดือนก่อน

    Subilieni Iwanyeshee, Simmeyataka?

  • @user-tm3wk7qt4h
    @user-tm3wk7qt4h หลายเดือนก่อน

    Kimenuka

  • @hamisijuma5010
    @hamisijuma5010 หลายเดือนก่อน

    Cost wanajikanyaga

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 หลายเดือนก่อน

    Mtaongea mengi

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน

    Coastal mmefanya uhuni na mmeponzwa na tamaa. Mlipokubaliana na Simba hamkuwa na deal la Belgium

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 หลายเดือนก่อน

      Hilo dili la ubelgiji ni uongo uhakika ni Haowanaojiita Wabelgiji ni Yanga walimshawishi mchezaji ..ndio maana walikuwa wameamua kumtema Gift Fred ila mambo yamekuwa magumu wanataka wamrudishe Fred

    • @mwanangusana
      @mwanangusana หลายเดือนก่อน

      ​@@nkoydavid9658😂😂😂😂 yanga hawana shida na lawii .... Pambaneni na hali zenu 😂😂😂 ... Yanga imevuka kwenye hatua za hovyooo😂😂😂

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

      Huna akili usajili wa ndani utafananisha lawi na nani kwa beki?​@@mwanangusana

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 หลายเดือนก่อน

    Coastal hamna viongozi.. Mpira wa miguu ukiwa timu kubwa lazima ufuate sheria siyo uswahili uswahili.. Mnaidumaza timu kwa hizo akili zenu za ubabe wa kimbumbumbu

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 หลายเดือนก่อน

    Mbona maelezo ya mwanzo na Leo yanakinzana kabisa? Mwanzo walisema club haijalipwa pesa yote, Leo wanasema mchezaji alisema hajalipwa pesa yote !ajabu sana yaani hata ukimsikiliza msemaji unaona Tu kwamba kuna mahali wamejichanganya ngoja tusubiri tuone Nani mkweli?

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 หลายเดือนก่อน

    Anajikanyagaaa😂😂😂daaah
    Na baada iyo pesa kuingia hawakujibu walikaa kimya😂😂waache kumjandamiza mtoto wa wa watu

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 หลายเดือนก่อน

    Hapo ndio mtajuwa hao wanaowashawishi kma hamuijui Simba.

  • @gaudencehaule7398
    @gaudencehaule7398 หลายเดือนก่อน

    Ukichunguza sana utagundua Kuna vgogo wapuuz wapo nyuma ya coast

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw หลายเดือนก่อน +1

    Tff hawana budi kwa simba kuna sheria inatumika inaitwa BUSARA wataitumia kuinyonga coastal Union

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndio mnawarubuni Watu , HAKUNA Cha busara Bali Kuna utaratibu na kanuni. Tatizo lenu mnawasikiliza COASTAL UNION pekee na hata Hawa wachambuzi wanafeli. Nilazima ubalansi stori kwa KUHOJI pande zote. UKWELI nikua , Simba walishamalizana na kukamilisha kila kitu. PESA ukiicheleweshwa kidogo, HURUHUSIWI KUVUNJA mkataba. INATAKIWA kumkumbusha mnunuzi na kumpa siku 10 ukisubiria Na ndio Simba walitakiwa kulipa pesa, Mwisho tarehe 31/06/2024 Ila walichelewa na hatimaye wakakamilisha tarehe 08/07/2024. LAWI Ni Mali halali ya Simba. Sio kwa busara Bali kwa kanuni na Sheria. Kukawiza pesa hakuwapi uhalali Coastal kuvunja mkataba. Walitakiwa kuwaandikia Simba barua na kuituma kwa email. COASTAL hawakufanya hayo. Na Simba hawakuzidisha siku 10 Tena .
      AHSANTE

    • @oliverwhite1676
      @oliverwhite1676 หลายเดือนก่อน

      Wewe unauwakika cost union anaonewa!?