🚨Mapya Yaibuka Sakata la Elie MPANZU Kutua Simba,Mambo yalipofikia na yalivyokuwa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • #football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

ความคิดเห็น • 15

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h หลายเดือนก่อน

    Simba wamesajiri 13.

  • @MkamaLucas
    @MkamaLucas หลายเดือนก่อน

    Jamani kunawatu wanaumia sana mnavyo chambua hao no 10 kunawatu watakubali tu

  • @hajmohamed1356
    @hajmohamed1356 หลายเดือนก่อน +1

    Alaf kibu mbona haonekan

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Kibu Yuko marekani anakula bata

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga siyo kwamba wanaongezea nyama tu bali wanasajili kama Simba wanavyofanya. Sasa hivi wamesajili wageni 6 Simba 7. Tofauti ni nini.

    • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
      @GOLDIANEDRICK-sm6xk หลายเดือนก่อน +1

      Wageni Simba ni zaidi ya kumi ndugu labda kama hufatilii

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

      YANGA wageni wangapi?​@@GOLDIANEDRICK-sm6xk

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@GOLDIANEDRICK-sm6xkharakaharaka, Aucho, pacome, Aziz ki, Diarra, Dube, chama, max nzengeri, Boka, baleke punde atatambulishwa mkiwa na pesa za kumtoa mazembe kwa mkopo. Na hapo kuna wengine

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 หลายเดือนก่อน

      Wachezaji wapya ni boca ,chama,beleke,dube nani mwingine Hawa w tz inafahamika ni loco

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 หลายเดือนก่อน

      Tofauti hujaiona?

  • @MickyAluis-y3m
    @MickyAluis-y3m หลายเดือนก่อน

    Hahaahah KIBU AMESHAONHEZA MKATABA SIMBA MIAKA 2,,,utopolo mtakunya

    • @yohanadavid8055
      @yohanadavid8055 หลายเดือนก่อน

      Mbumbumbu fc kibu goli 1 mechi 30, KOLO mlijaa ktk mfumo wa Kamwe

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน

    KIBU ATATAMBULISHWA YANGA KUFUNGWA USAJIRI

    • @ezzepuritykamwene2121
      @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน

      Mkataba wake na simba mbichi kbs hajautumikia hata simba day tu, je ikoje hii. 😅😅

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y หลายเดือนก่อน

    Avr imefungwa kwa Mkapa sasa kazi keao wanaosajiri wachezaji Gizani kwa kuwaiba ktk team zao wataumbuka tu chapu na haraka Pacome na wengine