RADO : NAMLAUMU JOTI/FID Q ATULIE KWANZA/NIMESAIDIA WENGI MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • RADO : NAMLAUMU JOTI/FID Q ATULIE KWANZA/NIMESAIDIA WENGI MWANZA

ความคิดเห็น • 35

  • @SelemaniYahaya-v3w
    @SelemaniYahaya-v3w 2 วันที่ผ่านมา

    Chemchem mwan kiraka rado much respect sana

  • @jumahkipingu7339
    @jumahkipingu7339 16 วันที่ผ่านมา

    Rado kirakaaaa

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa ebana we mie mfipa kumbe wafipa tunatisha sana sana kwenye muziki

  • @mosesrugemalila
    @mosesrugemalila 11 หลายเดือนก่อน +3

    Soggy umesimama vizuri Mjini Fm Big Up

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k หลายเดือนก่อน

    Rado vp tena nijina lamwanangu huku.zanzibar

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 11 หลายเดือนก่อน +2

    safi nawakubali

  • @masongatz
    @masongatz 8 หลายเดือนก่อน

    Awesome interview

  • @richardarord8344
    @richardarord8344 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurai sana mchizi rado the master kulud kwenye game.

  • @contempo_builders
    @contempo_builders 11 หลายเดือนก่อน +3

    Usiulize Baaaabu... Pigia mstaaaari.

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa baucha record..daaa ebana maisha haya sio poa

  • @masopazetitle1711
    @masopazetitle1711 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nomaaa mnooo

  • @GabrielShauri-il2oh
    @GabrielShauri-il2oh 8 หลายเดือนก่อน

    Kiraka toka kino

  • @kingnebuchadnezar
    @kingnebuchadnezar 11 หลายเดือนก่อน +2

    Usoo wa mee na man upepo 🤛🏿🤛🏿

  • @EvanceBujiku-dc9rh
    @EvanceBujiku-dc9rh 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana soggy,kimbunga, soggy mwambie rado namsalimia mimi tall bati, niko inje ya inchi.

  • @frankmarmo8113
    @frankmarmo8113 11 หลายเดือนก่อน +1

    chief wa rumanyika,safi sana nimependa unavyo muuliza Rado na yeye anaelezea /kujibu maswali kwa ufasaa na utulivu wa hali ya juu hakurupuki ,sasa soggy ningetamani ungefanya remix ya hicho kibanda cha simu ili kuwaonyesha watoto wa digital kwamba tumetoka mbali alafu huwe amini niyayo hii track na video yake na huwa naisikiliza na kuwawkea watoto wangu na kuwambia tumetoka mbali sana tulikuwa tunambipu mtu kwa hela ahahahahah

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Soggy mwambie Rado chemchem sana

  • @youngnacho
    @youngnacho 8 หลายเดือนก่อน

    Niatariiiiii

  • @NurdinBabu-b3g
    @NurdinBabu-b3g 11 หลายเดือนก่อน +1

    kumbe kwenu n sumbawanga rado mana wafipa asili yao n sumbawanga

  • @lameckbuya7569
    @lameckbuya7569 11 หลายเดือนก่อน +1

    Radooo

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bab kubwa kifaa Rado

  • @ngabokarimu540
    @ngabokarimu540 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah Rado wee hivi watengenezaji wamidundo yahivo wamepoterea wapi kipindi Hicho weacha2

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Tosh ni mnyama sana

  • @MussamahiziMaboku
    @MussamahiziMaboku 11 หลายเดือนก่อน

    Rado mnyama,mi mwanao kush gang hapa

  • @jacksonmkwela6824
    @jacksonmkwela6824 11 หลายเดือนก่อน +5

    1 lv pindi la kijanja watoto wa 2000 hawawezi elewa hii kitu🖐️ na enjoy sana nikichek pindi...Unyama

  • @GabrielShauri-il2oh
    @GabrielShauri-il2oh 8 หลายเดือนก่อน

    Chem chem

  • @user-pq5xe1xx7o
    @user-pq5xe1xx7o 11 หลายเดือนก่อน

    ChemChem 🔥🔥🔥

  • @youngcee3145
    @youngcee3145 11 หลายเดือนก่อน

    Naelewa sanaaa pindiii hili appreciate

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Bro yupo real sana

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Heshima sana

  • @shd12m55
    @shd12m55 8 หลายเดือนก่อน

    Oya muiteni fanani mzee wa HBC mchawi wa rap aliezimika ghafla

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa heshima sana

  • @jacksonmadulanga7121
    @jacksonmadulanga7121 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba kabisa

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Hip hop imetulea ikiwepo wewe bro Soggy tangu kitambo ukija na Paul James kwa Big Kibamba,Kimbunga,Rado HESHIMA SANA

  • @kakigwa9189
    @kakigwa9189 11 หลายเดือนก่อน

    Chemchem