Masikini!!!!!! 😢loveness Unaibiwa penzi lako ila nimeshangaa Ben. Umalaya wake. Wote kamkataa zuu. Mm nikushauli kitu loveness mwanamke akiamua kumubadilisha mwanaume. Anabadilika kweli ila mwanaume. Kumubadilisha mwanamke. Ni vingum Aiwezekani safi sana stl. Imetulia❤❤
Ivi kikoti ni mchawi kweli watoto wanaogopa kuangalia 😮 ):: sehem ijayo 10 itakuaje buda na mke mchawi na Beni na lavenesss na zuu na chaupepo )) tuanasubiri kwa ham???)mm napenda❤❤❤❤❤❤❤ love sitoli sijui itakuaje msichelewe kutoa sehem ya 10
Mm nataka kujua wewe Beni kati ya chaupepo na Loveness unampenda nani (?) Mm nimegundua chaupepo Anapenda sifa san ila loveness Anamapenzi ya zati kwako beni❤❤ Tumeona loveness kamwambia lafiki yake( je?) tunajiuliza ben wewe unampenda loveness??

Atali sana hiii kazi duuuj anko kipele atari washika wako pw sana
Tunakufatilia love tunajiuliza nini ulikutana nacho chumbani kiasi kwamba Unashindwa kujiachia penzi lako kwa Beni❤❤ /::: tunatamani kujua
Kaz nzuri nimeipenda
NISOME KAMA JAX CHATA
KUTOKA KENYA
Chaupepo msenge sura mbayaaa😮😮
Sasa tumeelewa kitu kumbe loveness unampenda Ben kweli 😂😂 ❤❤❤ tunataka kujua Ben nae Anakupenda Au Akupendi(???)
Bonge Moja la movie Letcia , Chaupepo ni noma
Sema cameraman anatuangusha Vibaya Kuna vitu havizingatiii
#ANKO KIPESILE 🔥
😅😅😅😅bunda Na mwenzako much love guys 😅😅😅
Kazi mzuri mnoo hongereni sana
Enyewe loveness tuambie umeona nn chumbani mama😂😂
Kazi nzr sana ❤❤❤❤❤❤❤
Waooooo kazi nzuri Sana ❤❤❤
Asante sana!
Zuu na loveness. Mjitaidi sauti
Asante sana 🙏
Loveness na zuu mumetukwaza jitaidini sauti ipo chini japo tumesikia kwa shida sana😢(???)
Yani hii mover kipesile asipokuwapo haibambi kabsa au nyie mwaonaj m namtaka kipesil hpa😂
Nimekua wa nane 😮😮😅😂😊❤😊😊❤😊❤😊😂😅😂kwa 😂
Kazi nzur sana kaka beny niko pamoja nawewe mpaka hiishe😊😊😊
Asante sana kwa support! 🙏
@Benny-Shizzol nawapenda sana yan uko vizur
Kama unamkubali Benny gonga like tujuwane
Koo zuu kumbe ni Moja kati ya marafiki wa nafki 😏😏,jmn dunia hadaa ulimwengu shujaa 😏😏
❤❤❤❤❤
Uyu chaupepo anajidai Malaika utadhan hanyi mavi😂
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Yani Buda we kiboko unanipa raha kweli kweli.
Mm nataka kujua wewe Beni kati ya chaupepo na Loveness unampenda nani (?) Mm nimegundua chaupepo Anapenda sifa san ila loveness Anamapenzi ya zati kwako beni❤❤ Tumeona loveness kamwambia lafiki yake( je?) tunajiuliza ben wewe unampenda loveness??
Lakini Ben nìkaaa anampenda loveness
Penda sana❤❤
Huyo chanyeusi unatreat mwingine vibaya sana hata kama haupendezi kabisa na matamushi yako😢😢 kwa huyo mwingine
ℂhaupepo sura yenyewe mbaya kutukana mwenzio sasa dah
❤❤❤
😂😂😂😂 ila budaa
Asante sana
Jamani buda na benny wamenifanya nimecheka kama kubwajinga et kama vampaya😂😂😂ila buda utakufa vibaya wewe eti utamsikia yupo muhimbili😂😂😂
Wa mtoeee chaupepo ana harb movie
Tunataka KIPESILE sisi
Atarudi soon
🤣🤣🤣buda jameni
Best Film🔥🔥
🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Ivi nani anaemwelewa huyu mzee mkuu wa wachawi mbona anacheza kama mtoto anaejifunza kuongea anasoma sn scpit
🔥🔥🔥
BULLA JAU
💥💥💥💥
😂😂😂😂
Shokali
Leticia chaupepo anakushinda??aamka onyesha ujasiri
Unyama Mchelee
🎉
Ss hii movie bila kipesile ci tamu
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥