Shekhe yuko sawa kabisaaaa na anaongea anachokiongea kwa elimu na sio kusikia. Sasa wewe unayesema kua ni shekhe wa Sufi,kumbe ugonjwa wako uko kwa masufi,subhaanallaah.
Kumbe wakubali kuwa maulidi yana upotovu Siku hizi,Bali hayo yali semwa na Mtume wetu (Rehma na Amani ziwe juu yake) alipo sema “Na nawatahadharisha nyinyi na uzushi katika mambo kwani kila uzushi ni bid'ah na kila bid'ah ni upotevu na kila upotevu ni Motoni”. Sulihisho nikuliwacha hilo jambo laa uzushi...
Shukran Sana sheikh Wallah mimi naimba Qaswida lakin nakutana na changamoto nyingi Sanaa Wallah sheikh naomba unitafute wasap Wallah nakuomba Sana sheikh naitwa barakat namba yangu hii Hapa 0714 923 846
Tatizo kubwa la hawa wenzetu wanajifanya kupinga kila kitu hawajui nini bidaa kisheria na kilugha na mashekh wao hawawasomeshi kwa kua wanajua na wao wataingia ktk bidaa,mimi mwenyewe nasoma kwa mashekh wao hao lakini ukitaka kufaidi nenda ukasome ili ujue udhaifu wao
Wewe unajua nini unataka kauli za maulamaa yeye sheikh Mpaka hapo ni ulamaa au unajua maulamaa ni watu gani au unafwata tu mkumbo wa kusikia maneno ulamaa kama hujui ni mwanawazuoni na maana ya mwanawazuoni ni yule aliyesoma ikisha akafundisha yaan hapa tunapata mambo mawili mwana wa zuoni Kakaa madrasa ikisha nae akakaa madrasa kufundisha ndo linatokea neno mwana wa zuoni acha kufata mkumbo ndugu yangu we wenu shia wanaathiri Sana bila kujua chochote shukran Sana sheikh kwa ufafanuzi huu Allah akubaariki Sana Wallah
Khaalid Cheo wewe humfati mtume ungekua unafata sunna za mtume usingetoa kauli yako hii coz mtume alikua na maneno laini hata kwa makafiri lakin ww unakebehi hata kwa waislam wenzio sasa mi nakwambia kama hujamuomba msamaha shekhe basi jua unadhima mbele ya Allah
Suali jengine jee kuna dalili yoyote kutoka kwa mtume au swahaba wake kua walipiga miziki? Naomba dalili Isijekua waislam wanafa nya bidaa Na bidaa ni upotevu
Maana miziki imezidi khatari yy
Hio sio bidaa waislam
Wanawake wari kuchanganywa na wanaume vibarehe wanacheza pamoja miziki hio jee yafaa au dufu skuiz mtihaniy
Shekhe yuko sawa kabisaaaa na anaongea anachokiongea kwa elimu na sio kusikia. Sasa wewe unayesema kua ni shekhe wa Sufi,kumbe ugonjwa wako uko kwa masufi,subhaanallaah.
Mashaallah
Aaamin,shekh Allah akupe ulinzi wake.
Zunguo nisawa shekh kubali halihalisii rukya kiarabu na qaasuda sawa
Shekh Shukran
Allaah akuongoze uiyone haki.kwani haki aipatikani tu.ispokua kwa rahma zaallaah.
Mimi shehe namkubali sana
LA hawla wala quwata illah billah!
Sheikh wang. Mbona unatetea mziki bwana.......
AYA 35 SURAT AL ANFAL .. Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi Anasema nini kuhusu miunzi na makofi ktk IBADA?!?
I like it
mashallah
Na guta
Insument ndio mbayaa
Hakika tumelewa shekh
Swadakta
Hujajibu swali mwalimu...???
Assalamu alaikum yaa shekh jee minanda miziki hio inopigwa nayo ilifanywa wakati wa mtume
Je ilikuwepo?
Kumbe wakubali kuwa maulidi yana upotovu Siku hizi,Bali hayo yali semwa na Mtume wetu (Rehma na Amani ziwe juu yake) alipo sema
“Na nawatahadharisha nyinyi na uzushi katika mambo kwani kila uzushi ni bid'ah na kila bid'ah ni upotevu na kila upotevu ni Motoni”.
Sulihisho nikuliwacha hilo jambo laa uzushi...
shekh swali hujajibu.maana jamaa alimaanisha minanda ktk kaswida inafaaa???
Ovyoo
Jee utapinga kua Mtumi hakusifiwa? Jee utapinga kua Mtumi hapakuimbwa kwa hayo mashairi,Qaswida,Nyimbo mbele yake? Acheni chuki juu ya Waislaamu wenzenu.
shekhe kaongea ukweli ila sikuzote ukweli unauma na ikiwa ndo kazi yako lazima upinge ilo lakini ajakosea
asante sana
Huyu shekhe kajitahidi kutetea , lakini hajatoa dalili zakisheria ,,,,, (shekhe dini imekuja kwadalili nasio manenotu)
Shehe usizunguke kitu chochote chenye nay na zumari nisawa nanyimbo hata. Kama. Maneno matam. Kama asali. Ilivokuwa mna vinanda haramu tusihalalishe haram kuitete ikawa halali kasida zenye vinanda niharamu
Shukran Sana sheikh Wallah mimi naimba Qaswida lakin nakutana na changamoto nyingi Sanaa Wallah sheikh naomba unitafute wasap Wallah nakuomba Sana sheikh naitwa barakat namba yangu hii Hapa 0714 923 846
Sheh tanguliza dalili kuliko akili huyu Sheh wawap jikhuraf lakutupwa
Sadiki yahaya Semwali dalilizenyewe.unazijuwawewe
We we unaetaka shekhe atoe dalili unauwezo wakijua dalili?hamjitambui
Tatizo kubwa la hawa wenzetu wanajifanya kupinga kila kitu hawajui nini bidaa kisheria na kilugha na mashekh wao hawawasomeshi kwa kua wanajua na wao wataingia ktk bidaa,mimi mwenyewe nasoma kwa mashekh wao hao lakini ukitaka kufaidi nenda ukasome ili ujue udhaifu wao
Unatagiwa dalili una sema upewe dalili yaani una maskio lkn huskii na huna macho lkn huoni kajitafute wewe
Uyo ni shee wakisufi shee la bidaa.
Khaalid Cheo Naomba uniombee na mm mola aiongoze njiyake ilio njema
Wewe unajua nini unataka kauli za maulamaa yeye sheikh Mpaka hapo ni ulamaa au unajua maulamaa ni watu gani au unafwata tu mkumbo wa kusikia maneno ulamaa kama hujui ni mwanawazuoni na maana ya mwanawazuoni ni yule aliyesoma ikisha akafundisha yaan hapa tunapata mambo mawili mwana wa zuoni Kakaa madrasa ikisha nae akakaa madrasa kufundisha ndo linatokea neno mwana wa zuoni acha kufata mkumbo ndugu yangu we wenu shia wanaathiri Sana bila kujua chochote shukran Sana sheikh kwa ufafanuzi huu Allah akubaariki Sana Wallah
Khaalid Cheo wewe humfati mtume ungekua unafata sunna za mtume usingetoa kauli yako hii coz mtume alikua na maneno laini hata kwa makafiri lakin ww unakebehi hata kwa waislam wenzio sasa mi nakwambia kama hujamuomba msamaha shekhe basi jua unadhima mbele ya Allah
Huyu Ustaz anaye zungumza siyo suffi. Suffi ni wale Masahaba 81 au 83 RadhiAllahu Anhum; walio anguka Shahiid Kerbala walipo ondoka pamoja na Hazarat Imam Hussein ibn Aaly ... Wale walikua wanyenyekevu sana kwa Mwenye-Enzi-Allah-Subhana-Mlezi... AlHaamduLILLAH..
Maa-Shaa-Allah..
Ushasema
Suali jengine jee kuna dalili yoyote kutoka kwa mtume au swahaba wake kua walipiga miziki?
Naomba dalili
Isijekua waislam wanafa nya bidaa
Na bidaa ni upotevu