KUMBE MARTHA MWAIPAJA ALIYATABILI HAYA, 'JITAHIDI KUFICHA SIRI ZAKO NDUGU ASIJUE' TAZAMA ALIYOYASEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 16

  • @TumainiMmbaga
    @TumainiMmbaga 2 วันที่ผ่านมา

    Martha,maneno pia yanasaidia kuturekebisha,hakuna Mtu anayemjua Mungu wa kweli,kuwa na ushirika na binding kama huyo Joan,maneno yake,matendo make,vaa yake,Inaonyesha ndani yake kuna nini,Bwana alisema mtawajua kwa matendo yao ,pia mtu anayemjua Mungu hawezi kuwatendea,wazazi ndugu ,kinyume hata kama ni wabaya,lakufanya kwako,tubia ulipoanguka rudi kwa wazazi ndugu mpatane,mrekebishe Joan kwa labia zote mbaya,km hatabadikika jitenge naye,ukiendelea naye na kuona ni sawa hutafika mbali.Shaloom

  • @KhadijaWakesho-vt8bc
    @KhadijaWakesho-vt8bc 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu amtie Martha Nguvu

  • @LilianAchayo-b9b
    @LilianAchayo-b9b 2 วันที่ผ่านมา +3

    Umeandaliwa kuwa suluhisho kwa mapito ya wengi, kwa macho, akili, na hekima ya nyama wengi watakuhukumutu lakini pia watukukumbuka baadaye, unanibariki mimi

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z 2 วันที่ผ่านมา

    Dada hatimaye umesema. Yaani hapo point tupu. Dada Martha wewe ni dhahabu. Nakubali sana.

  • @AnneySyalo
    @AnneySyalo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu amutie nguvu

  • @MarthaMwani
    @MarthaMwani 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli Mungu amtie nguvu amalize kwa amani🙇🙇

  • @zaharamustafa-t1l
    @zaharamustafa-t1l 3 วันที่ผ่านมา

    Nampenda pia mama kama kweli ni mwanae asingesema mitandaoni

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 3 วันที่ผ่านมา

    Safiiiiiii,Mungu akikujua inatosha

    • @TresiaRadhid
      @TresiaRadhid 2 วันที่ผ่านมา

      Hauna haja ya kujulokan na watu kuw unatabia ipi

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hunachakusema kukataa mama

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @EmmanuelMwakibete
    @EmmanuelMwakibete 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanang mm aibu yake kuiweka mitandaon ili watu wote wajue jaman kukaa kimya ndo jibu cz huwewez shndana na ndugu

  • @GrâceMulunda-h7o
    @GrâceMulunda-h7o วันที่ผ่านมา +1

    Lakini tu lomba nini wote mukae pamoja ili mulitatuwe

  • @fezaamisi5744
    @fezaamisi5744 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Cecyscola
    @Cecyscola 3 วันที่ผ่านมา

    Mnafunika dhambi bure, Martha saidia mamako,na uache ulele

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p วันที่ผ่านมา

    Watu awakusemi bali huyu mtoto anapo lopoka anasem bintirici anataka mtengeneze kanisa linaanzia nyumbani