IBADA YA MKESHA WA CHOZI LA MWANAMKE NI DHAHABU NA NABII DKT. JAMES NYAKIA LEO TAREHE 14/12/2024.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
- Prophet James Nyakia - SOJA MEGA ONE CHURCH
Nabii Dkt. James Nyakia ni Nabii ambaye Mungu amemuwekea nguvu ya kuona jambo lolote ambalo binadamu amefanyiwa katika maisha yake, nani aliyefanya, lini alifanya, na kwa nini alifanya.
Pia, Mungu ameweka nguvu katika viganja vya mikono yake ambapo kupitia nguvu za Roho Mtakatifu, viganja vya mikono yake hugeuka na kuwa kioo au kompyuta na kumuwezesha kuona ugonjwa wowote katika mwili wa binadamu, uwe katika figo, ini, tumbo, au kichwa na Roho Mtakatifu hutoa suluhisho la kudumu.