MISS TZ Asimulia MADAWA ya KULEVYA Yalivyotaka KUMUUA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 274

  • @lehaally7846
    @lehaally7846 4 ปีที่แล้ว +55

    Jamani mwambieni uyo Dada namwitaji mtoto wake nimlelee jaman hata kisheria tuandikishiane mie naishi Zanzibar plz😭😭😭

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 4 ปีที่แล้ว +4

      Hongera sana mungu akuzidishie zaidi na zaidi

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 4 ปีที่แล้ว +2

      Watafute hawa global watakuunganisha nae

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 4 ปีที่แล้ว +1

      Tuma namba zako

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 4 ปีที่แล้ว +1

      Nitumie namba zako nikuunganishe

    • @lehaally7846
      @lehaally7846 4 ปีที่แล้ว

      Asante nitawatafuta

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 ปีที่แล้ว +24

    Mwenyezi Mungu naomba uwasamehe na uwasaidie

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 5 ปีที่แล้ว +29

    Duuuh maisha haya tumshukuru mungu kwawale tulokuwa na uafadhar wakutambua mabaya na mnzur 👏👏👏

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 4 ปีที่แล้ว

      Yaani we acha tu

    • @janethndeule853
      @janethndeule853 4 ปีที่แล้ว

      Ni sahihi

    • @issaswedi6974
      @issaswedi6974 ปีที่แล้ว

      HIVI UNAJUA?
      Kwa wale walioathirika kwa kutumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu especially vijana na hii inatokana na kutomcha mwenyezi mungu lakini hata hivyo kwa wale waliosarika tayari bado hawajachelewa kwanza watubie kwa Allah na wafanye matendo mema alafu Cha pili watumie dawa inayoitwa PHV solution ambayo imefanyiwa utafiti kwa miaka 25 na muhisika lengo lake lilikuwa watu wakiitumia dawa hii wamche mwenyezi mungu .
      Hii dawa inasaidia kuondoa athari zilizoachwa na madawa ya kulevya Katika mwili vile vile na kutibu magonjwa sugu Kama vile UKIMWI , saratani , ugumba , siko seli , homa ya ini ,mkanda wa jeshi nakadhalika hii ipo kwenye mfumo wa Gene Therapy ambayo Ni mfumo mpya tofauti na dawa hizi za hospital za mfumo wa sumu wa conventional medicine na vile vile tofauti na dawa za asili ambazo hazitengenezwi kitaalamu Yani hazina vipimo maalumu sababu wanafanya kwa experience na sio wamefanya research
      Dawa zetu hizi hazina madhara yoyote mwili yaani side effects sababu Ni maboresho ya dawa za kisasa na dawa za asili mjumuisho wake na kwa vipimo maalumu ndio unapata dawa zetu za PHVs solution
      Kwa maelezo zaidi na elimu piga simu number 0694027242
      Nukta ya kuzingatia ; Njia Bora ya Maisha ni kumcha Mwenyezi mungu ( Mfalme wa mbingu na ardhj na kila kilichomo )

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mimi nawapongeza mnooo kwa maamuzi mliofikia na kuachana na madawa wanangu,pia msiogope Mungu aliyewasaidia kuacha atawaunganisha na familia na ndgu zenu mtaaminika UPYA na kuwa washauri wazuri kwa KIZAZI HIKI tunawapenda SANAAAA

  • @swaumukareemu9247
    @swaumukareemu9247 4 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭kweli matatizo ya nazidiana... Alhamdulillah tuombeane dua in sha allah mungu atusimamie.. nimezaa nikiwa mdogo nikatelekezwa na family baba mtoto na chenga... 😭😭😭😭😭😭😭 inauma sanaa nashukuru mungu hapa nilipo hutakiwi kukata tamaa

    • @venstonvedasto
      @venstonvedasto 4 ปีที่แล้ว

      Polee sana

    • @swaumukareemu9247
      @swaumukareemu9247 4 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah

    • @milkamugeni7940
      @milkamugeni7940 4 ปีที่แล้ว

      Pole dada ni kila sehemu hata mm najiangaikia na wanangu watatu baba yao hataki hata kuskia kma ana watoto but nashukuru sai niko saudia sikosi riskii hapa usikate tamaa jitahidi hata kma ni kuchoma viazi ila mradi mwanao apate kula

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 5 ปีที่แล้ว +13

    Tuombee taifa na vijana wetu sana zaidi ya sana...hili janga ni kubwa kuliko tunavyofikiria...Lord intervene 😢😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 4 ปีที่แล้ว +10

    Allah awafanyiye wepesi kwenye hilo in shaa allaah

    • @maida2710
      @maida2710 4 ปีที่แล้ว

      Ewe mungu muumba wa yote wafanyie wepes kila hatua

  • @hitaprayer5996
    @hitaprayer5996 4 ปีที่แล้ว +3

    Nmefanya kazi hapa mwananyamala.... Najua watu wanao Tumia methadone wanayopitia....... Mungu awasimamie

  • @نايفالشمري-ط3د
    @نايفالشمري-ط3د 4 ปีที่แล้ว +6

    I deliver u from this situation
    May God see u through in mighty name of Jesus christ

    • @fbr5113
      @fbr5113 4 ปีที่แล้ว

      AMEN. NA WAUZA MADAWA YA KULEVYA WOTE WAACHE KUHARIBU VIUMBE WA MUNGU AU WAPOTEE KABISA TANZANIA NA DUNIANI

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah🙇 mshuru mungu ukiwa kheri ajarishi changamoto zako kumbe wengine ndo wana matatizi iv😢😢

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว +9

    Baba Mungu wape neema ya kukujua na uwasaidie katika Hali zao.

  • @jescamassawe2519
    @jescamassawe2519 4 ปีที่แล้ว +5

    I feel sorry for them jamani may God help them to recover soon

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +12

    Ndugu zangu waliofurahia mabadiliko ya Ndgu zetu naombeni like zenu tuwatie Moyo.huko MITAANI kwetu na majumbani tusiwanyanyapae

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 2 ปีที่แล้ว

    Ee mwenyezi Mungu utunusuru na mitihani mizito ya kimaisha. Amina.

  • @ndigwamwaki402
    @ndigwamwaki402 4 ปีที่แล้ว

    Daahh asante mungu kwa kiniepusha nahaya Majanga,,,mungu awaponye wapendwa

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu wasaidie awa watu ufufue matumaini yao yaliyofifia,,,Amen

    • @minjacsd1874
      @minjacsd1874 4 ปีที่แล้ว

      Du mungu awaponye awape nguvu pia mungu awalani wanauleta na kuangamiza nguvu za vijana

  • @marcomuhoja5981
    @marcomuhoja5981 4 ปีที่แล้ว

    Pole jamani Mungu awatangulie

  • @milkamugeni7940
    @milkamugeni7940 4 ปีที่แล้ว +1

    Kidogo ninachokipata nashuru kweli hali ya maisha inaweza kukufanya ufanye mambo yasiostahili kabisa Mungu wasaidie wote wanaoangaika kimaisha

  • @josephmatonyi1802
    @josephmatonyi1802 4 ปีที่แล้ว +6

    Gonga laik kama umesikia nilimuibia mwanaume nikapigwa ngum jino litatoka

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 4 ปีที่แล้ว +8

    Allah atufanyie wepesi n vizazi vyetu

  • @yvefoods3752
    @yvefoods3752 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaa ki ukweli ina umiza sana 😭😭😭😭mungu awaone tu na awapatie maisha

  • @zedyrapper8183
    @zedyrapper8183 4 ปีที่แล้ว +11

    Kama umewaona mademu walidata wanasinzia tuuu like twende sawa mungu awasaidie🙏🙏🙄

    • @faithdaniel5652
      @faithdaniel5652 4 ปีที่แล้ว

      Dah mpaka nime cheka wallah wadada wazuri tuu

  • @africangirls482
    @africangirls482 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atunusuru navizazi vyetu kwenye hili janga usihukumu kwasababu hatuijui kesho yetu

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 ปีที่แล้ว

    Yaa rabb tuongoze ktk njia iliyonyooka allah awanusuru vizazi vyetu wasijue kumwuasi allah bali wale vizazi vya Kumcha allah wenye taqwa

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว

    duuuy mtihani sana 😀😀😀😁😀😀😀😀😀vingine vinashekesha sana eti nilimuibia mwanaume akanipiga akanitoa jino

  • @pilikasimu1593
    @pilikasimu1593 4 ปีที่แล้ว +1

    So sad mungu atusaidie sana

  • @virussella9979
    @virussella9979 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada mwenye Tatoo anasauti ya uimbaji mm nimemuona

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 ปีที่แล้ว +1

    How can I get contact za huyo former miss Tz she's so beautiful and still she can make it it's not too late can bring her to Nairobi nimpeleke rehab atareform

  • @gracemushi1283
    @gracemushi1283 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Imelda kipindi kizuri sanaaaa

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nilichokipenda wako real sana mungu atawasaidia hawatorudia teana

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +2

    Ya Rabby tupee mwisho mwema😢😢😢

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 ปีที่แล้ว +8

    Allah atunusuru na vizazi vyetu, jamani mpaka watu wazima mola wangu, janga hili

  • @aminaalamina7550
    @aminaalamina7550 4 ปีที่แล้ว

    Munguawavue ktk jangahiloo inshaallah

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

    Nduguzagu a.m. from zanzibar. Nilikibia home zanzibar sababu.ya unga.nimeka. Mombasa old port kichawagu. Mody.sealar 18.years ago. A.m. the members storywway ship today may life.nikikubuka nalia sababu.ya.unga. message from USA 🇺🇸😂never trust people only God

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, mtihani kwakweli 😭

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 4 ปีที่แล้ว

    Unajuwa wanaotumia madawa ya kulevya na yakawaingia haswa basi wote wanafanana kwa kweli wote hao sura moja

  • @tausishabani8778
    @tausishabani8778 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atuepushie balaa Kama hilo pia na vizazi vyetu kuna watu wana pata tabu jamani eeeh Mungu awafanyie wepesi mrudi katika hari zenu

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 5 ปีที่แล้ว +14

    huwezi jua usihukumu tuombeane uzma

  • @mainermtabazi2659
    @mainermtabazi2659 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh mungu atunusuru tusikate tamaaaa jamani mmmh naipenda Sanaa hii channel inanifundisha Sanaa☑️☑️

  • @datiusnjungani2784
    @datiusnjungani2784 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awape Nguvu

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana,,kweli unga hauonjwi

  • @rukiamwakinyo5324
    @rukiamwakinyo5324 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah Allah atulinde na vizazi vyetu😪

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 4 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo waandishi wa habari mahili, maake wanatujulisha maisha ya wenzetu kwa umahili kabisa. Mungu awape nafuu

  • @tomlukonge293
    @tomlukonge293 3 ปีที่แล้ว

    Daah so sad, Global tv fanyen kitu tuwasaidie kwa pamoja awa ndugu zetu.

  • @biusimohamed1049
    @biusimohamed1049 4 ปีที่แล้ว

    jaman adi huruma poleni sana

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 4 ปีที่แล้ว

    Oh my God 😭, this is so sad... i think serikali inahitaji kuipa kipau mbele kampeni ya kutokomeza madawa zaidi na zaidi... look at how youth are destroyed 😭. Mungu atusaidie

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 4 ปีที่แล้ว

    Poleni Kwa Hillo

  • @lailamohammed320
    @lailamohammed320 4 ปีที่แล้ว +5

    Sio ya kucheka lakn dah ad hurumaa japo mtu alianza mwenyew lakn tuwaombee jaman

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 4 ปีที่แล้ว

    Allha atulinde na vizazi na tuwe na mwisho mwema

  • @bupejohn2926
    @bupejohn2926 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani adi uyo mama mtu mzima anafanya ujinga kama uo? Wakati yeye ndo angekuwa mshauri wa binti zake😭

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว

    Najua familia zilikata tamaa sana ila Mungu azijalie kuwapokea na kuwaamini UPYA NAJUA WAZAZI WENU WALIUMIA SANA ILA MUNGU ANAJUA NI KWA NINI ALIRUHUSU MAJARIBU HAYO YAWAPATE NAWAPENDA SANA

  • @mr_convex
    @mr_convex 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu awanyohoshee mkono nyote wavuta mihadarati 😭😭😭

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi nilikuwa napata matibabu ya methadone hapo hapo mwananyamala siptali nashukuru nilimaliza matibabu na sasa nimerudi katika jamii. Tiba inakubali.

    • @noreenrowland6063
      @noreenrowland6063 2 ปีที่แล้ว +1

      Jaman methadone ni dawa au

    • @lizlovedbyGod
      @lizlovedbyGod 2 ปีที่แล้ว

      @@noreenrowland6063 ni dawa flani inaondoa arosto kabisa lakini unainywa kila siku.

  • @rosechild5021
    @rosechild5021 4 ปีที่แล้ว +1

    I wish that I can help them but I’m in the UK

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Bona wadagaji wanakuwa wegi tanzania jomana umalaya hauwezi isha naire madawa ya kulevya mukuu wamukowa atusaidiye apambane namadawa ya kulevya namutakiya amani yamungu hawa wamama wanateseka mungu wasaidiye watu tanzania namadawa tena kenya warisemaka tanzania jo watumiya madawa yakulevya sasa ona nasha ga sana

  • @haidarali839
    @haidarali839 4 ปีที่แล้ว

    poleni sana wahanga wa madawa

  • @edwardnyihande4168
    @edwardnyihande4168 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wasaidiw

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 5 ปีที่แล้ว

    Kweli Kaka unga sio mzuri

  • @nasranassor2333
    @nasranassor2333 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awaepushie insha,allah

  • @barbarasara4033
    @barbarasara4033 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada hajui kuuliza hata maswali............Wakati ana mimba alikuwa bado anatumia madawa ya kulevya?????? Cha pili kwann wasitolewe kizaz

  • @Daphne362
    @Daphne362 4 ปีที่แล้ว +6

    Duuuh yani watu wanasinzia tuu ewe mungu wahurumie waja wako☝☝☝jamani yule kaka mubaheria mzuri

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +3

    Jaman 😭😭😭

  • @mariamkingu9577
    @mariamkingu9577 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awasaidie jamani

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awasaidie inasikisha sana hadi nimelia

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 4 ปีที่แล้ว

    Jamani miss kahama kashakuwa hiv jirani yanguu duh

  • @barbarasara4033
    @barbarasara4033 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu kama hawa wanatakiwa watolewe kizaz

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuja hapa baada ya kuona kiboko na mkewe wamehukumiwa miaka 20 .20 kila mmoja. Maana wanauza dawa wanaoathirika ni vijana tegemezi

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว

    Huyo dada ugumu wa maisha cyo kwake tu

  • @hawaafrica803
    @hawaafrica803 4 ปีที่แล้ว

    Eeew m.mungu tuepushe na janga hili

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 4 ปีที่แล้ว

    Huruma jamani.
    Serikari ikomeshwe kwa dhati madawa ya kulevya iwakamate waingizaji wakubwa

  • @annkirethi3812
    @annkirethi3812 4 ปีที่แล้ว

    Jamani nimesikitika sana,😢😢😢😢huyo dada anavyojiamini eti kutembea na wanaume ili kupata hela

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว

    Mnajitia kutumia madawa mnasingizia maisha wengine mlikua na kazi zenu mkafukuzwa kwa madawa ujinga tu

  • @sandrambambazi4141
    @sandrambambazi4141 4 ปีที่แล้ว

    Pole dada

  • @caskazinvibes682
    @caskazinvibes682 3 ปีที่แล้ว

    KWANINI SERIKALI WASIWACHUKUE MATEJA WOTE NAKUWA WEKA CAMP WAACHE TU MIMI MOYO UNANIUMA SANA

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi kwanini wala unga vijan wa kiume huwa wanapenda balagashia😊😁

  • @husseisalimumaula3867
    @husseisalimumaula3867 2 ปีที่แล้ว

    Serikali ijitahidi kuzibiti madawa ya kulevya kwani kila kwenye familia watu hawa wapo

  • @benthomasy8469
    @benthomasy8469 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli ss ambaye hatujaingia huko tuwashukuru sana wazazi wetu kwa malezi mazuri

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 4 ปีที่แล้ว

    Aisee jmn Hawa watu wanafanana kwa kweli dah 😂😂😂😂

  • @joromimwanga3274
    @joromimwanga3274 4 ปีที่แล้ว +1

    Raisi Magufuli tutakukumbuka sana ktk uongozi wa awamu hii ya tano.

  • @josboy5384
    @josboy5384 4 ปีที่แล้ว +2

    Arafu msimulike watu kwenye miguu mnawazalilixha bhana kwan hapo hamjui mlichokifata?

  • @aineagobachivu588
    @aineagobachivu588 4 ปีที่แล้ว +2

    dah aisee

  • @veronicacharies970
    @veronicacharies970 4 ปีที่แล้ว +3

    Doh 😭😭😭😱 jamani jamani🙏🙏

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 4 ปีที่แล้ว +2

    Tupeni number au contact zahapo tusaidiane

  • @elizabethjoseph2116
    @elizabethjoseph2116 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh mpaka bibi jamani anavuta unga

  • @kessynurutajiri3075
    @kessynurutajiri3075 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah!!

  • @faithdaniel5652
    @faithdaniel5652 4 ปีที่แล้ว

    Dahhhh siyo ya kulia wala ya kucheka ila nimejisikia vibaya sana msivute unga jamani mnapotea ndugu zangu

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 ปีที่แล้ว +2

    INATIA HURUMA MISS KAHAMA NAMFAHAMU 😭😭😭

  • @florameza3491
    @florameza3491 4 ปีที่แล้ว

    Ila wanaouza madawa na kuharibu vijana wao wakitajirika mungu anawaona

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭nimependa anaongea ukweli dah

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 4 ปีที่แล้ว

    Yaani licha ya khali aliyokuwa nayo huyu dada anajielewa sana anajuwa nini anachokiongea maombi yangu Mungu akukumbuke na akubadilishe akusimamie akuepishe namadhara......

  • @farisfaris3244
    @farisfaris3244 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kama wanalia Hao wengine mmh jamani Unga mbaya eenh Wanatoka machozi😭😭😭😭

  • @maicgado58
    @maicgado58 4 ปีที่แล้ว

    Uruma kweli

  • @thomaskeya4092
    @thomaskeya4092 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu tunusuru ss ni kizazichako

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamna cha miss tz hapa usipoteze muda wako only if you wanna hear wanavyosema

  • @barakamungure830
    @barakamungure830 4 ปีที่แล้ว

    mungu jaman huyo mtoto

  • @poulmbogo1770
    @poulmbogo1770 8 หลายเดือนก่อน

    Vijan tupinge vikali madawa yanatisha ndugu zangu ukikutan nao live utalia

  • @amminyussi3548
    @amminyussi3548 4 ปีที่แล้ว

    Yani nikisiliza nashindwa kujizuia

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 5 ปีที่แล้ว +2

    Allaha tunusuru na hili janga
    no one noz 2moro

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 4 ปีที่แล้ว

    Nani kama mama jaman

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 4 ปีที่แล้ว

    ee mungu wasaidie hawa watu