Kumbe ni Babu yangu mza baba aliteswa na Idiria Yuko wapi na yeye huyo Diria kwa familia yenu hatutomsau na atakwenda kujibu mbele ya Allah Fisadi dhuluma mwizi mkubwa wewe
Nashauri Zanzibar iendeshwe ki mamlaka ya visiwa Unguja na Pemba kila eneo liwe na Serikali yake. Mapinduzi 1964 ndio yaliyoifanya Pemba leo kuwa Zanzibar. Wakati wa ukoloni hata Mhe. Shamte chama chake kilikuwa ZPPP Zanzibar and Pemba People"s Party. Leo tupo pamoja nafasi zote Serikalini tuko wote lakini kelele bado zipo.
Jazaka Llah kheir sheikh Amani
Poleni sana wazanzibar, kwa yaliyowakuta wazee wenu.ALLAH AWAREHEMU
👍✌️👊.
Mhh Allah bless you
Hadi leo Zanzibar haijabadilika haya bado yanaendeles
Kumbe ni Babu yangu mza baba aliteswa na Idiria Yuko wapi na yeye huyo Diria kwa familia yenu hatutomsau na atakwenda kujibu mbele ya Allah Fisadi dhuluma mwizi mkubwa wewe
😢
Looh