Hilmi Hilal 259
Hilmi Hilal 259
  • 361
  • 563 138

วีดีโอ

Muungano huu ni wa Mkataba, sio wa kikatiba
มุมมอง 1234 หลายเดือนก่อน
Muungano huu ni wa Mkataba, sio wa kikatiba
Dr. Nasra Nassor, daktari wa wana anga kutoka Zanzibar akiongea na VOA Swahili
มุมมอง 415ปีที่แล้ว
Dr. Nasra Nassor, daktari wa wana anga kutoka Zanzibar akiongea na VOA Swahili
Huyu Ndie Sheikh Ally Bassaleh
มุมมอง 266ปีที่แล้ว
Huyu Ndie Sheikh Ally Bassaleh
KHUTBA YA SALA YA EID JUMUIYA YA WAZANZIBARI CANADA (ZANCANA) - ABU UBAYDA ISLAMIC CENTRE 2023
มุมมอง 912ปีที่แล้ว
Khutba baada ya sala a Eid el Fitr iliyokhutubiwa na Ustaadh Abdul Aziz kattika msikiti wa Jumuiya ya Wazanzibari Canada, Abu Ubaydah Islamic Centre, Toronto, Canada, 1 Shawwal 1444H, 21 April 2023.
Wazanzibari wameumizwa kwa kupigwa na kuuliwa, Watanganyika wameumizwa kwa kulishwa ujinga - Hilal
มุมมอง 567ปีที่แล้ว
Wazanzibari wameumizwa kwa kupigwa na kuuliwa, Watanganyika wameumizwa kwa kulishwa ujinga - Hilal
Watanganyika changamkeni kudai Tanganyika yenu, Utanganyika sio matusi Mujahid Osman
มุมมอง 156ปีที่แล้ว
Watanganyika changamkeni kudai Tanganyika yenu, Utanganyika sio matusi Mujahid Osman
Faida ya muungano kwa Wazanzibari ni kuuliwa kila baada ya miaka mitano - Bob Wangwe #mariaspaces
มุมมอง 193ปีที่แล้ว
Faida ya muungano kwa Wazanzibari ni kuuliwa kila baada ya miaka mitano - Bob Wangwe #mariaspaces
Mawaidha - Kutoa kwa ajili ya Allah
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
Mawaidha - Kutoa kwa ajili ya Allah
Katiba na ugatuzi wa madaraka, haki na wajibu wa wanachi part 1
มุมมอง 52ปีที่แล้ว
Katiba na ugatuzi wa madaraka, haki na wajibu wa wanachi part 1
URAIA, DIASPORA NA HAKI YA UZAWA - PART TWO
มุมมอง 60ปีที่แล้ว
URAIA, DIASPORA NA HAKI YA UZAWA - PART TWO
JE WAJUA KATIBA YA UHURU YA TANGANYIKA ILIRUHUSU URAIA PACHA?
มุมมอง 162ปีที่แล้ว
JE WAJUA KATIBA YA UHURU YA TANGANYIKA ILIRUHUSU URAIA PACHA?
Lissu ajutia kauli yake kwa Maalim Seif
มุมมอง 637ปีที่แล้ว
Lissu ajutia kauli yake kwa Maalim Seif
MTAZAMO WA KISHERIA KUHUSU KUPOTEA KWA JUMA WA JUMA
มุมมอง 696ปีที่แล้ว
MTAZAMO WA KISHERIA KUHUSU KUPOTEA KWA JUMA WA JUMA
Yuko wapi Juma wa Juma? Mwinyi na Samia wadai hawana taarifa
มุมมอง 3.3Kปีที่แล้ว
Yuko wapi Juma wa Juma? Mwinyi na Samia wadai hawana taarifa
Kupotea kwa Juma wa Juma - Mabodi na Nadir wahusishwa
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
Kupotea kwa Juma wa Juma - Mabodi na Nadir wahusishwa
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa utatuzi wa migogoro ya uchaguzi
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa utatuzi wa migogoro ya uchaguzi
HOTUBA YA TUNDU LISSU KUHUSU KURUDI TANZANIA 2023
มุมมอง 409ปีที่แล้ว
HOTUBA YA TUNDU LISSU KUHUSU KURUDI TANZANIA 2023
MASWALI NA MAJIBU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
มุมมอง 18ปีที่แล้ว
MASWALI NA MAJIBU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
UTAFITI WA LISSU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
มุมมอง 30ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
MASWALI NA MAJIBU Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo
มุมมอง 43ปีที่แล้ว
MASWALI NA MAJIBU Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo
UTAFITI WA LISSU - Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza
มุมมอง 19ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza
MIAKA 59 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TULIKOTOKA NA TWENDAKO
มุมมอง 162ปีที่แล้ว
MIAKA 59 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TULIKOTOKA NA TWENDAKO
GUMZO LA GHASSANI - Rais Samia, maridhiano na mwanzo mpya
มุมมอง 134ปีที่แล้ว
GUMZO LA GHASSANI - Rais Samia, maridhiano na mwanzo mpya
MASWALI NA MAJIBU - UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi ni Tishio la Uchaguzi huru na haki
มุมมอง 69ปีที่แล้ว
MASWALI NA MAJIBU - UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi ni Tishio la Uchaguzi huru na haki
UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi na Tishio la Uchaguzi huru na haki
มุมมอง 15ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi na Tishio la Uchaguzi huru na haki
MASWALI NA MAJIBU UTAFITI WA LISSU Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na Matatizo Yake
มุมมอง 30ปีที่แล้ว
MASWALI NA MAJIBU UTAFITI WA LISSU Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na Matatizo Yake
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na matatizo yake
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na matatizo yake
MASWALI NA MAJIBU - Mfumo wa uandikishaji wapiga kura, haki ya kupiga kura na demokrasia nchini
มุมมอง 19ปีที่แล้ว
MASWALI NA MAJIBU - Mfumo wa uandikishaji wapiga kura, haki ya kupiga kura na demokrasia nchini
UTAFITI WA LISSU - Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura Haki ya Kupiga Kura na demokrasia nchini
มุมมอง 5ปีที่แล้ว
UTAFITI WA LISSU - Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura Haki ya Kupiga Kura na demokrasia nchini

ความคิดเห็น

  • @BnjrMkwizu
    @BnjrMkwizu 13 วันที่ผ่านมา

    Kwani walimuua huyu

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 16 วันที่ผ่านมา

    Sisi wazanzibar hatuishi vizuri hatuna raha kwa jinamizi hili na nyinyi watangazaji muna uccm tuulizwe tulizwe tunahitaji nini lisu anajua siri nyingi kuliko wewe hukuepo wakati lisu anajua hayo wewe ulikua ukisoma tafadhali

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 16 วันที่ผ่านมา

    Sio wazanzibari wenyetofauti wewe nddio mwenye tofauti na nafsi yakooo tafadhali sisi wazanzibari sote tunadai mamlaka kamili zanibar moja zanzibar mpya yenye mamlaka kamili pia sio kama hatuutaki bali unatunyonya na kutufanya colonial hatukuhitaji wewe mtangazaji

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu ampe pepo shujaa huyo... Alikemea uovu kwa mkono wake

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 23 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 huy alifia kipig

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 25 วันที่ผ่านมา

    Mzee huyo angeandika Kitabu, kwa ajili ya vizazi vijavyo

  • @Hussein_Mustafa_Parmar
    @Hussein_Mustafa_Parmar หลายเดือนก่อน

    Marxism socialism communism brutal and dictatoship of Nyerere

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 หลายเดือนก่อน

    Kunawatu wajinga aseee

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s หลายเดือนก่อน

    Hemu asimame kiongozi mkuu wa nchiii hiii kisha atueleze kinaga ubaga hichi kilicho tokea hapa haswa kilikua nini na kinamaana gani na tafsiri yake ni nini kimsingi

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwa toka lini Zanzibar msikiti ukawa na nguvu kama Serikali askari anaingia mskitini na viatu na kupiga watu mbona kanisani haendi kuwapiga kanisani ni kweli Sheikh kanisa lina nguvu kuliko Serikali

  • @yusuphmohamed8560
    @yusuphmohamed8560 หลายเดือนก่อน

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun. Kijana aliteleza kama binaadam kumpiga baba yake kibao amefanya kosa kumpiga baba yake. Baba wa mwenzio ni baba Yako. Ahsanteni kwa ushirikiano.

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l หลายเดือนก่อน

    Zanzibar I've independent hatutaki kitu. Hakuna kariba wala tiba.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน

    So sad

  • @MussaJangwa
    @MussaJangwa หลายเดือนก่อน

    Hii ndo tofaut ya uislm na dini nyingne Yaani ktk uislm ukileta ujinga hatukuachi salama

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 หลายเดือนก่อน

    Jembe hili

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar wanachukiana wao kwa wao kuliko hata wanavyotichukia Tanganyika. Wakipta nafasi ya kujitawala basi damu itamwagika sana Zanzbar na inaweza isiwe nchi inayotawalika kwa miaka mingi sana

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akurehemu nakukumbuka kwa ulivyokua mkweli

  • @111dudi
    @111dudi 2 หลายเดือนก่อน

    The sultans never did this.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio adabu yenu wazanzibari amkeni msiwe wapofu

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe huu muungano ni shida ilianzia toka kwa karume mwenyew duuu

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 3 หลายเดือนก่อน

    Innallilah wainna ilaih rajiun hawa wanaouliwa ni waislamu wenzetu duuh

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน

      Waislam wanakufa syria lebanon na Gaza

  • @Said-q1p7g
    @Said-q1p7g 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ni msenge sasa kama waarabu watarudi si shauri yenu pambaneni na hali zenu vinganganizi Kuna siri kubwa kama hujuw na unajw si hilo tuuh

  • @marcusmorrataantonius411
    @marcusmorrataantonius411 3 หลายเดือนก่อน

    Probably one of the finest presentation on constitution from the brightest & smartest minds in Tanzania. Salute Senior Councel Lissu

  • @eddynaeem6708
    @eddynaeem6708 4 หลายเดือนก่อน

    ebo mtu anataka matako akojowe wewe unamwambia subiri kwanza tulale mpaka asubuhi hiyo karume ndio faida ya usaliti ulilisaliti Taifa la Zanzibar kwa tamaa zako binafsi mtwana wewe lakini iko siku Taifa letu litainuka ( one day our nation will rise up)

  • @angojothammbossa6385
    @angojothammbossa6385 4 หลายเดือนก่อน

    Tunajua hakuwa Nyerere peke yake na haya mambo msiyanyamazie na yaandikwe

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 4 หลายเดือนก่อน

    Wanzanzibar leo et mnasherekea siku ya mapinduz hamjui kuwa siku hiyo zilipotea roh za watu tena waislam wenzetu ndio walouliwa mujuwe t mukisherekea bc munasherekea damu za watu namutawalip zoho zao sk ya sik

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 4 หลายเดือนก่อน

    Muungano,kwa,wazanzibar,unafaidakubwa,kwasabu,watu,wanauliwa

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa baba miungano huu ni wa kidhalimu Mama samia atatue shida za muungano huu

  • @MrSeanflavournh2vr
    @MrSeanflavournh2vr 4 หลายเดือนก่อน

    Watanganyika hatuutaki muungano, wazanzibari nawo hawauutaki muungano.wanaotaka muungano ni ccm . Sisi watanganyika tushikamane tutoe ccm madalakani.na nyie wazanzibari mtoeni ccm madalakani ili tuondoe muungano

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 4 หลายเดือนก่อน

    Kafuata Nyayo Wolfgang Dourado, Mwanasheria Mkuu wa Rais Abeid Karume🙏👍

  • @AbubakaliShabani
    @AbubakaliShabani 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akurehem mzee irunga

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 5 หลายเดือนก่อน

    Mm naona ikiwa samia suluhu hassan ni mzalendo na mzaliwa wa Zanzibar atavunja muungano kama mzalendo wa kweli

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 หลายเดือนก่อน

    Lissu apa anasema uongo ... hakuna aliesema katiba isuburiwe mpaka 2025 isipokua CCM ... Lussu kapoteza credibility kwa hili

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 หลายเดือนก่อน

    Inna lillah wainna ilayhi 😭😭😭😭

  • @RizzyKiboko
    @RizzyKiboko 5 หลายเดือนก่อน

    Eeeh mola wetu yaonee mapenz yetu juu ya mja wako tunakuomba umuondolee adhabu ya kaburin na umpe daraja ulipendalo uko mbinguni

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @salumkhamis-tp4cp
    @salumkhamis-tp4cp 5 หลายเดือนก่อน

    Allahum ghufillahu wathabithu

  • @JumaNdago-i5t
    @JumaNdago-i5t 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo yahaya nimzee mjinga nahajui uwamuzi wamtu zanzibar 1

  • @alinassor391
    @alinassor391 6 หลายเดือนก่อน

    Astaffirullah wewe ni mjinga sana wewe km si maalim ungepewa ubunge

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 6 หลายเดือนก่อน

    Lakini hii dunia kuna minjemba ya ajabu sana

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 6 หลายเดือนก่อน

    Emu pia angalia kwa vyema kabisa apo lissu anapo pinda kwenda ndani kuna bango la kijani lina onesha alama ya mtu alie vaa maski sii tena ameandika "Take care"

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k 6 หลายเดือนก่อน

    Anafataaslah tu

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k 6 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki huyo

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unachuki na lissu ama vp emu angalia vizuri ni wazungu gani wana mshangaa na hali ya kua hao wazungu wamevaa iyo maski pia jamani mbona ivi

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k 6 หลายเดือนก่อน

    Muongo

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi walinzi.wake walikuwa wapi ni wa kufukuza kazi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @sharifahmed7346
    @sharifahmed7346 7 หลายเดือนก่อน

    Jazaka LAAH khaira Mohammed Said na historia ya Uislamu na Tanganyika , ALLAH akupe kila la kheri na baraka

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 7 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwaje akampiga kibao

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.