Uko vzr mkuu wa mkoa unatengezeza fursa za watu kupata rizik maaana hapo watu watakuja na biashara zao watu watapata pesa hongera sana Mungu awatangulie sana
Hongera sana Respect Mhe.. Makonda Kwa kuwa na mawazo mazuri kukutanisha watu WA aina tofaut kujenga na kumtengeneza connection, kutafuta fursa mbalimbali na kuwainua watu Kwa namna moja au nyingine... Mungu akubariki Sana Kwa wazo la kufurahahia mwisho mwa mwaka pamoja. Nakuombea Kwa mungu ufanikiwe zaidi na Zaid.. na ushike NAFASI ya uongozi WA juu zaid.
Hongera sana Mh, Mungu aku9e maisha marefu ili iweze kuwafariji wenye uhitaji. 💞🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Uko vzr mkuu wa mkoa unatengezeza fursa za watu kupata rizik maaana hapo watu watakuja na biashara zao watu watapata pesa hongera sana Mungu awatangulie sana
Hongera sana Respect Mhe.. Makonda Kwa kuwa na mawazo mazuri kukutanisha watu WA aina tofaut kujenga na kumtengeneza connection, kutafuta fursa mbalimbali na kuwainua watu Kwa namna moja au nyingine... Mungu akubariki Sana Kwa wazo la kufurahahia mwisho mwa mwaka pamoja. Nakuombea Kwa mungu ufanikiwe zaidi na Zaid.. na ushike NAFASI ya uongozi WA juu zaid.
Hongera sana Mkuu wa mkoa wa Arusha kwa ubunifu mzuri .
Makonda umetisha Nani kama viongonzi wa kanda ya ziwa mungu Ibariki 🇹🇿🇹🇿
Hongera mwamba ❤❤🎉
NDUGU YANGU MH: MKUU WA MKOA ARUSHA IKO VIZURI SANA mkuu wangu mzuri sana sijuwi tu
Makonda kjana nzur sana nimekosa naul nawaombeni Dua mfunge salama mwaka nakuuanza salama
Makonda the great
mheshimiwa RC nakuona ukiwa mbunge wa Arusha pia utateuliwa kuwa waziri wa utalii
Yani sisi tunawaza tumpe nchi we unawaza uwaziri 😂😂😂😂😂😂
Eti bwana
Sahihi💯
Makonda ndioooo Mungu akusimamie kijana mwenye maono ya kitofauti usipende kukosa nami nakuja japo nipo mbali c wa mkoa utaniruhusu??
Hongera sana makonda ubarikiwe na Bwana
Tunakupmbea mungu Akutunze Daima
Ahsante sana❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Barikiwe sana
❤❤
Oya Wee Jamaa 🙌
T-shirt kama hizo zipo dukani kwetu
Miamia
Malonda naomba univariate niko mwanza nije
Makonda mbeya madudu ka yote